Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Magamba yanawe2seka zamadamu (wasira) nimemuona usa river hata bendara ya gamba hana
 
Nilikuwa ninatamani huyu mzee prof Mlambiti kutumika kama mshauri kwa maendeleo ya nchi hii. Ninamkumbuka sana pale SUA lectures zake na vitabu vyake vya uchumi na ujasiliamali. Hongera CDM kwa kumtumia huyu mzee ni kichwa.

mzee wa rural economy..... wamemchakachua juzi ulanga...angekuwa mbunge huyu
 
mzee wa rural economy..... wamemchakachua juzi ulanga...angekuwa mbunge huyu

huyo mzee Mlambiti (Prof) ni moja wapo ya wataalamu wazuri sana wa uchumi amekuwa muda mrefu pale SUA-nadhani amestaafu.. kule ulanga nadhani wamemchakachua 2010 naskia alikuwa ameshinda,, huyu ni baadhi ya vichwa mabavyo vilitakiwa viwe mstari wa mbele kumshauri rais kwenye mambo ya uchumi, bt ndio hivyo tena hatumiki kisa yeye ni CDM damu.. hyo ndiyo bongo bana. Lakini naamini CDM akijapanga vizuri hasa vijijini na kuwa na umoja zaidi CCM imechoka ni full wezi na waporaji wa rasili mali zetu. People ........................2015 CDM oyee
 
17032012054.jpg 17032012051.jpg Ni katika viwanja vya Kabuoro kata ya Kirumba wananchi wakihudhuli mkutano wa kampeni za Udiwani kata ya kirumba.Dr.Slaa akisubiliwa kumnadi mgombea wa udiwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) ndg.Danny Kaungu.
 
Naomba watu wa Mwanza wahudhurie katika siku ya tarehe moja kama wanavyohudhuria mikutano ili watimize haki yao.
 
Kabuhoro ni kitongoji tu ndani ya Kata ya Kirumba jijini Mwanza...barabara zake hazihimili kupitisha Maroli na Mafuso...sasa maga.mba sijui watawafikisha vipi watu wao kule siku ya mkutano wao...labda watumie njia ya majini...wavuvi wa Kabuhoro wekeni sawa mitumbwi yenu...kama bodaboda wanavyofaidi kwa CCM na kwenu neema iko karibu.
 
teh teh teh magamba bwana wanahangaika sana mapokezi ya zitto tu ile siku ilikuwa balaa, leo mmebadilisha viwanja we lakini watu bado hawakuchoka kuifata cdm kokote kule, tunawashukuru sana watu wa mwanza tunaomba muikate ccm hapo tar 1
 
Hivi ccm hawajasimamisha mgombea mwanza?
Au wanaona aibu ya kukosa wasikilizaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom