Waliofukuzwa CHADEMA SAUT, Kesho kukabidhiwa kadi na Nape Nnauye

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,188
567
WALIOFUKUZWA CHASO SAUT,KESHO KUKABIDHIWA KADI NA NAPE Nnauye

Wakuu,nawaletea habari hii si kama tetesi bali habari kamili,Philibet Saimon rais wa sasa wa serikali ya wanafunzi SAUT(SAUTSO)2014-2015 pia alikuwa mwanachama wa CHADEMA na mgombea wa nafasi ya katibu wa BAVICHA ngazi ya tawi(CHASO SAUT)mwaka 2013-2014 nafasi ambayo hakushinda na mshindi wa nafasi hiyo akawa kijana Eliudi Msongole,pia akachukua form ya kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa tawi hilo mwaka 2013-2014,form ambayo haukuirudisha na akaingia nayo mitini baada ya kushinda tu nafasi ya urais wa chuo na kununuliwa na magamba, kwani inafahamika wazi ili ushinde nafasi yeyote ya kiuongozi chuoni hapa SAUT lazima uwe mwanachama wa CDM ama CDM wakuunge mkono ama ujifanye mwanachama wa chama hicho,kijana huyo pamoja na wenzake anatarajia kesho kukabidhi kadi ya CDM aliyogoma kuikabidhi kwenye uongozi wa tawi katikati ya mwezi wa 2 kufuatia habari za kiintelegensia zilizowafikia viongozi kwamba bwana Saimon kanunuliwa na kukabidhi kadi yake kwa mkuu wa wilaya Nyamagana.

Habari kamili ipo hivi,kesho jumapili majira ya kuanzia saa 7 za mchana CCM tawi la hapa SAUT wanatarajia kuwa na mkutano wa hadhara utakao hutubiwa na katibu mwenezi wa CCM taifa Nape Nnauye,pamoja na ajenda nyingine lakini habari zimevuja kwamba wanatarajia kukabidhi kadi za CCM kwa vijana wa CCM watakaokuwa wamejifanya kwamba walikuwa wanachama wa CDM na wengine ambao hawakuwa na chama wameombwa kushiriki zoezi hilo la kesho tu kwa ujira wa shilingi 20000 ili kuaminisha umma kwamba CDM SAUT imekufa na wameandaliwa waandishi wa habari wa kutosha tayari kwa ajili ya kuanza propaganda,

Miongoni mwa watakao rudisha kadi na kupewa kadi ya CCM ni rais wa sasa wa SAUT ,philiber Saimoni na Natus Charles a.k.a chief,(wote hawa wawili walikuwa wagombea wa nafasi ya urais chuoni hapo) na wengineo ambao kimsingi walikuwa wametimuliwa ndani ya chama na wengine kusimamishwa uanachama wao,wasaliti hawa wa harakati za kumwondoa mkoloni mweusi yaani CCM ,nyendo zao zilianza kutiliwa shaka wakati wa mchakato wa kumtafta rais wa serikali ya wanafunzi chuoni hapa ambapo kama ilivyoada kuanzia mwaka 2011 mpaka mwaka 2013 marais walikuwa makamanda wa CDM hali iliyopelekea viongzi wa CCM taifa na ngazi ya mkoa kuhaha kutaka kuweka mtu wao kwa madai kwamba siasa za CDM chuoni hapo zinakaribia kuiondoaCCM kanda ya ziwa, lakini watu wao wote waliokuwa wameandaliwa na CCM tawi la SAUT walishindwa kuwa na vigezo vya chuo vinavyomtaka mgombea ili awanie nafasi hiyo ya urais anapaswa kuwa na GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea vigezo ambavyo kimsingi vijana hao wa CCM waliokuwa wameandaliwa hawakuvitimiza bt wa CDM walikuwa na vigezo hivyo, hali iyopelekea majina yote 5 yaliyopitishwa natume ya uchaguzi wawe wa CDM kwa namna 1 ama nyingine,hali iliyopelekea viongozi wa CCM kitaifa wakiongozwa na Kinana,Nape,Mwigulu na mwenyekiti wao kitaifa kwa kuitumia idala ya usalama wa taifa mkoa na wilaya nyagana,pamoja na mkuu wa wilaya Nyamagana kuanza kutafta mbinu za kufanya lobing kwa mgombea aliyepitishwa na SENET ya uongozi wa chuo, ambae ataonekana c mwanaCDM ngangari na kwa mpango huo walianda sh milioni 7,talanta zilizomnasa vema rais wa sasa ambae alikuwa ni mwanaCDM ndugu Saimon,

USALITI ULIANZIA HAPA

siku ya pili tu baada ya jina lake kurudishwa kama mmoja ya wagombea urais chuoni hapo alipelekwa ofisi ya mkuu wa wilaya nyamagana na kada mmoja wa kambi ya Lowassa lengo ni kuhakikisha anapita mtu wao CCM Lowassa ili wamtumie mwakani katika kutoa matamko mbalimbali ya kumsapoti lowassa kwani wanamuandaa pia kumfanya kuwa rais wa TAHILISO ,taarifa zaidi zinadai alifanikiwa kuongea na katibu mkuu wa CCM kinana na kupewa ahadi ya kupewa cheo cha afisa elimu wilaya,ama ukuu wa wilaya pindi akimaliza chuyo,gari na akapewa fedha taslimu jumla ya milioni 5 kwa ajili ya kampeni za kuwania nafasi hiyo,baada ya taarifa hiyo kuangukia kwenye uongozi wa CDM tawi walijaribu kumwita akagoma kwenda hali iliyopelekea asimamishwe uanachama wake na baadae kufukuzwa ndani ya chama hicho tawini hapo sambamba na wanachama takribani 33 waliokuwa na makosa mbalimbali,ikumbukwe kuwa CHASO SAUT inatakribani wanachama hai 3600 kati ya wanachama zaidi ya 6800 waliopo chuoni hapo huku idadi ya wanafunzi chuoni hapo ikikadiliwa ni zaidi ya 11700.

UONEVU WA SERIKALI YA CCM,MEYA MABULA NA MKURUGENZI WA JIJI NA MKUU WA POLISI NYAMAGANA,WAZUIA UWANJA WA SHULE YA MSINGI NYAMALANGO USITUMIWE NA CDM BT WAMEWARUHUSU CCM KUUTUMIA KESHO.

Itakumbukwa kwamba tarehe 31 /5/2014 siku ya jumamosi kulifanyika kongamano kubwa la hadhara lililohutubiwa na viongozi wa CDM taifa likiongozwa na katibu mkuu wa CDM taifa ,Dr Slaa,Lissu na Suzani Lyimo,bt katika hali ya kushangaza na ya kushitushwa na kusikitisha pale viongozi wa tawi waliopofatilia vibari vya kufanya mkutano huo,walizuiwa na mkurugenzi wa jiji la mwanza na meya wa Nyamagana bwana Mabula,alizuia uwanja huo wa shule ya msingi Nyamalango kutumiwa na CHASO SAUT kwa madai kwamba viwanja vya shule vimezuiwa kutumika katika shughuri za kisiasa nchi nzima ,hali iliyopelekea uongozi wa CHASO SAUT kutumia shamba lililokuwa na mahindi waliopewa na mzee mmoja mwanachama wa CDM aliyeamua kuvuna mahindi ili kutoa nafasi ya mkutano huo kufanyika,kesho vijana kadhaa waliochukizwa na kitendo cha CCM kuruhusiwa kufanya mkutano uwanjani hapo wanatarajia kubeba mabango ya kumpinga meya,kuipinga CCM na taarifa ashapewa mbunge wa Nyamagana mh Ezekiel Wenje kwa hatua kamili huku akiambatanishiwa na nakala za barua zilizotumika kuombea uwanja huo kwa ajili ya mkutano ule

hizi hapa picha za eneo CDM walipofanyia mkutano tarehe 31 mwezi jana na nitaweka za CCM kesho uwanjani hapo(picha ndogo huyu ndo bwana Saimoni alisaliti halakati kwa vipande vya talanta kadhaa)

natambua naandika haya huku nimekata kucha tayari nikiwasubiri,bt kamwe kamnda huwa harudi nyuma wala si muoga

DSCN4300.JPG Saimoni Philibert.jpg DSCN4305.JPG
 
Wakati ukifika atajiona -------- kwa kusaliti ukombozi kwa tama ya fedha na mali msife moyo wadogo zangu makamanda sumu yetu tuzipeleke vijijini tunapokuwa likizo kwa kuwaambia maovu na wizi wa CCM ALUTA CONTINUA mpaka kieleweke......
 
hawajitambui hao,kila siku nasema mpinzani wa kweli hawezi kurudi ccm,hao wanasiasa maslahi,
 
rais wa SAUT kitu gani, Dr Amani, kitilia wameondosha sembuse rais wa SAUT?
 
Wakati ukifika atajiona -------- kwa kusaliti ukombozi kwa tama ya fedha na mali msife moyo wadogo zangu makamanda sumu yetu tuzipeleke vijijini tunapokuwa likizo kwa kuwaambia maovu na wizi wa CCM ALUTA CONTINUA mpaka kieleweke......

Kamanda msife moyo, songeni mbele hakika kazi yenu njema ya kutetea wanyonge Watanzania mtalipwa kwa wakati wake endapo kama hamtageuka sawa na hao Wasaliti wachumia matumbo wanaotarajia kulipwa ujira wao kesho sawa na wana wa Ibilisi na hakika dhambi hiyo ya Usaliti waliyoifanya hao misukule malipo yao ni hapa hapa Duniani. Viva Chadema, go Chadema CHASO SAUT.
 
Mkuu Nicholaus Kilunga Only UKAWA in Our Blood.. akina Amani Kabouru, Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe, Mwigamba na mende wengineo ndani ya Taasisi makini CHADEMA wako wapi Mkuu...CCM tushawajua hila zao, kwa Jiji kama la Mwanza, sina shaka na huko coz natambua wazi kwamba wanapoteza wakati tu. Wana-Mwanza tunajitambua kwa kile tunachokifanya, watatuua kwa mabomu na risasi za moto, ila wao hakika watakufa kwa presha ya dhambi wanazowatendea wanyonge na walipa kodi wa Taifa hili lililogeuzwa dili la wachache.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda msife moyo, songeni mbele hakika kazi yenu njema ya kutetea wanyonge Watanzania mtalipwa kwa wakati wake endapo kama hamtageuka sawa na hao Wasaliti wachumia matumbo wanaotarajia kulipwa ujira wao kesho sawa na wana wa Ibilisi na hakika dhambi hiyo ya Usaliti waliyoifanya hao misukule malipo yao ni hapa hapa Duniani. Viva Chadema, go Chadema CHASO SAUT.

UKAWA in Blood
 
Hakuna msaliti yoyote katika aina yoyote ya maisha yawe ya kisiasa au ya ndoa au ya urafiki wa kawaida aliyewahi kufanya usaliti akaishi kwa amani na furaha kama zamani. Mwisho wa usaliti ni majuto na laana. Songeni mbele Makamanda kuna watu ni wasaliti by nature tangu wakiwa matumboni mwa mama zao.

Mifano ipo, Yuda Escarioti,Mrema, Zana Za kilimo (ZZK) na Vijana wake Mwamakotoni na dada yake amabaye ni Chakula ya kina Nape Kinana, leo angalia Kitila alivyo, Nakaaya, Masumbuko Lamwai, Tambwe hiza et al..na watu hawajui tu kuwa unayoyaishi leo yametengenezwa na uliyoyafanya jana.
 
Mzee andiko lako ni zuri ila naona hukusoma jinsi ya kutunga insha. Unasoma Engineering?

tehhh tehhh.. kamanda hana muda na sarufi, fungua semi, funga semi, wala aya, au kuweka nukta yeye anajua kuweka mkato tu.. Msamehe bure mkuu.. ila taarifa yake imeshiba sana kwa muono wangu..
 
Aya rudini darasan mkasome, nyie endekezen izo siasa zenu warumi wakiwachenjia msirud kulalamika hapa
 
Namlaani na kumtabiria mabaya. Ni vigumu sana mtu kujiondoa akili ulizokuwa nazo na kuvaa za unafiki. Juhudi za waliokuwa nyuma yake kumpigania kamwe hazitapotea bure. Kama alichokifanya ni sahihi basi mwenyezi Mungu amjalie. ILA kama ni kinyume basi na alipwe kadiri ya hilo. Nafsi itamsuta na kamwe hatakuwa na furaha ya kweli kwa usaliti wake.
 
WALIOFUKUZWA CHASO SAUT,KESHO KUKABIDHIWA KADI NA NAPE Nnauye

Wakuu,nawaletea habari hii si kama tetesi bali habari kamili,Philibet Saimon rais wa sasa wa serikali ya wanafunzi SAUT(SAUTSO)2014-2015 pia alikuwa mwanachama wa CHADEMA na mgombea wa nafasi ya katibu wa BAVICHA ngazi ya tawi(CHASO SAUT)mwaka 2013-2014 nafasi ambayo hakushinda na mshindi wa nafasi hiyo akawa kijana Eliudi Msongole,pia akachukua form ya kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa tawi hilo mwaka 2013-2014,form ambayo haukuirudisha na akaingia nayo mitini baada ya kushinda tu nafasi ya urais wa chuo na kununuliwa na magamba, kwani inafahamika wazi ili ushinde nafasi yeyote ya kiuongozi chuoni hapa SAUT lazima uwe mwanachama wa CDM ama CDM wakuunge mkono ama ujifanye mwanachama wa chama hicho,kijana huyo pamoja na wenzake anatarajia kesho kukabidhi kadi ya CDM aliyogoma kuikabidhi kwenye uongozi wa tawi katikati ya mwezi wa 2 kufuatia habari za kiintelegensia zilizowafikia viongozi kwamba bwana Saimon kanunuliwa na kukabidhi kadi yake kwa mkuu wa wilaya Nyamagana.

Habari kamili ipo hivi,kesho jumapili majira ya kuanzia saa 7 za mchana CCM tawi la hapa SAUT wanatarajia kuwa na mkutano wa hadhara utakao hutubiwa na katibu mwenezi wa CCM taifa Nape Nnauye,pamoja na ajenda nyingine lakini habari zimevuja kwamba wanatarajia kukabidhi kadi za CCM kwa vijana wa CCM watakaokuwa wamejifanya kwamba walikuwa wanachama wa CDM na wengine ambao hawakuwa na chama wameombwa kushiriki zoezi hilo la kesho tu kwa ujira wa shilingi 20000 ili kuaminisha umma kwamba CDM SAUT imekufa na wameandaliwa waandishi wa habari wa kutosha tayari kwa ajili ya kuanza propaganda,

Miongoni mwa watakao rudisha kadi na kupewa kadi ya CCM ni rais wa sasa wa SAUT ,philiber Saimoni na Natus Charles a.k.a chief,(wote hawa wawili walikuwa wagombea wa nafasi ya urais chuoni hapo) na wengineo ambao kimsingi walikuwa wametimuliwa ndani ya chama na wengine kusimamishwa uanachama wao,wasaliti hawa wa harakati za kumwondoa mkoloni mweusi yaani CCM ,nyendo zao zilianza kutiliwa shaka wakati wa mchakato wa kumtafta rais wa serikali ya wanafunzi chuoni hapa ambapo kama ilivyoada kuanzia mwaka 2011 mpaka mwaka 2013 marais walikuwa makamanda wa CDM hali iliyopelekea viongzi wa CCM taifa na ngazi ya mkoa kuhaha kutaka kuweka mtu wao kwa madai kwamba siasa za CDM chuoni hapo zinakaribia kuiondoaCCM kanda ya ziwa, lakini watu wao wote waliokuwa wameandaliwa na CCM tawi la SAUT walishindwa kuwa na vigezo vya chuo vinavyomtaka mgombea ili awanie nafasi hiyo ya urais anapaswa kuwa na GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea vigezo ambavyo kimsingi vijana hao wa CCM waliokuwa wameandaliwa hawakuvitimiza bt wa CDM walikuwa na vigezo hivyo, hali iyopelekea majina yote 5 yaliyopitishwa natume ya uchaguzi wawe wa CDM kwa namna 1 ama nyingine,hali iliyopelekea viongozi wa CCM kitaifa wakiongozwa na Kinana,Nape,Mwigulu na mwenyekiti wao kitaifa kwa kuitumia idala ya usalama wa taifa mkoa na wilaya nyagana,pamoja na mkuu wa wilaya Nyamagana kuanza kutafta mbinu za kufanya lobing kwa mgombea aliyepitishwa na SENET ya uongozi wa chuo, ambae ataonekana c mwanaCDM ngangari na kwa mpango huo walianda sh milioni 7,talanta zilizomnasa vema rais wa sasa ambae alikuwa ni mwanaCDM ndugu Saimon,

USALITI ULIANZIA HAPA

siku ya pili tu baada ya jina lake kurudishwa kama mmoja ya wagombea urais chuoni hapo alipelekwa ofisi ya mkuu wa wilaya nyamagana na kada mmoja wa kambi ya Lowassa lengo ni kuhakikisha anapita mtu wao CCM Lowassa ili wamtumie mwakani katika kutoa matamko mbalimbali ya kumsapoti lowassa kwani wanamuandaa pia kumfanya kuwa rais wa TAHILISO ,taarifa zaidi zinadai alifanikiwa kuongea na katibu mkuu wa CCM kinana na kupewa ahadi ya kupewa cheo cha afisa elimu wilaya,ama ukuu wa wilaya pindi akimaliza chuyo,gari na akapewa fedha taslimu jumla ya milioni 5 kwa ajili ya kampeni za kuwania nafasi hiyo,baada ya taarifa hiyo kuangukia kwenye uongozi wa CDM tawi walijaribu kumwita akagoma kwenda hali iliyopelekea asimamishwe uanachama wake na baadae kufukuzwa ndani ya chama hicho tawini hapo sambamba na wanachama takribani 33 waliokuwa na makosa mbalimbali,ikumbukwe kuwa CHASO SAUT inatakribani wanachama hai 3600 kati ya wanachama zaidi ya 6800 waliopo chuoni hapo huku idadi ya wanafunzi chuoni hapo ikikadiliwa ni zaidi ya 11700.

UONEVU WA SERIKALI YA CCM,MEYA MABULA NA MKURUGENZI WA JIJI NA MKUU WA POLISI NYAMAGANA,WAZUIA UWANJA WA SHULE YA MSINGI NYAMALANGO USITUMIWE NA CDM BT WAMEWARUHUSU CCM KUUTUMIA KESHO.

Itakumbukwa kwamba tarehe 31 /5/2014 siku ya jumamosi kulifanyika kongamano kubwa la hadhara lililohutubiwa na viongozi wa CDM taifa likiongozwa na katibu mkuu wa CDM taifa ,Dr Slaa,Lissu na Suzani Lyimo,bt katika hali ya kushangaza na ya kushitushwa na kusikitisha pale viongozi wa tawi waliopofatilia vibari vya kufanya mkutano huo,walizuiwa na mkurugenzi wa jiji la mwanza na meya wa Nyamagana bwana Mabula,alizuia uwanja huo wa shule ya msingi Nyamalango kutumiwa na CHASO SAUT kwa madai kwamba viwanja vya shule vimezuiwa kutumika katika shughuri za kisiasa nchi nzima ,hali iliyopelekea uongozi wa CHASO SAUT kutumia shamba lililokuwa na mahindi waliopewa na mzee mmoja mwanachama wa CDM aliyeamua kuvuna mahindi ili kutoa nafasi ya mkutano huo kufanyika,kesho vijana kadhaa waliochukizwa na kitendo cha CCM kuruhusiwa kufanya mkutano uwanjani hapo wanatarajia kubeba mabango ya kumpinga meya,kuipinga CCM na taarifa ashapewa mbunge wa Nyamagana mh Ezekiel Wenje kwa hatua kamili huku akiambatanishiwa na nakala za barua zilizotumika kuombea uwanja huo kwa ajili ya mkutano ule

hizi hapa picha za eneo CDM walipofanyia mkutano tarehe 31 mwezi jana na nitaweka za CCM kesho uwanjani hapo(picha ndogo huyu ndo bwana Saimoni alisaliti halakati kwa vipande vya talanta kadhaa)

natambua naandika haya huku nimekata kucha tayari nikiwasubiri,bt kamwe kamnda huwa harudi nyuma wala si muoga

View attachment 163360View attachment 163364View attachment 163366

Kamanda,Rais Mandela aliwahi sema!" We have only two ways- submit or stricke" but in this nation which does not accept freedom of conscience,we shall never turn back! Am prepared to die"
Hakikisheni mnaongeza wanachama,mwacheni ajidanganye,hataenda mbali awaulize akina chagulani,mwapamba,shonza ,Lamwai,Kabour,na jidawi!!! Songeni mbeleeee,peopleeeeezzzzz!!
 
Yaani mlimsimamisha uanachama wa CHADEMA kipindi cha kampeni baada ya kuhisi kwamba kapewa mlungula na EL, hata hivyo ilipofika kipindi cha uchaguzi jamaa alishinda. Je, huoni kwamba CDM imekosa nguvu hapo SAUT hasa katika kipindi hiki ambacho karata yenu pekee ni UKAWA? Na mleta mada umekiri kwamba huyo Prezidaa wenu mmemtupia virago toka kwenye chama chenu then ulitaka ajiunge na chama gani zaidi ya chama imara ambacho ni CCM? Mtalia lia sana mwaka huu.
 
Aya rudini darasan mkasome, nyie endekezen izo siasa zenu warumi wakiwachenjia msirud kulalamika hapa
Tuliyasikia,politics is everyrhing in the humanbeing
life span,usiwadanganye wakalie kusoma kisha waje kuwa,third class!!
 
Back
Top Bottom