Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Wanaye mkuu wanaendelea na kampeni za kugawa noti,pombe na kununua shahada.

ok, waendelee kugawa noti na pombe, siku ya kupigakura noti na pombe watawapigia kura.
Wasukuma pokeeni pesa, kunyweni pombe zao ni kodi zenu hizo, siku ya kupiga kura hakuna mtu anawasimamia kwenye sanduku la kura. Kura ni siri yako
 
Umati tosha ila kweli ni wa kutoka kata ya kirumba ama wemekuja kusikiliza wakitokea kata nyingine
 
kwa heshima na taadhima kwa wanachama na wapenzi wachadema tutumie kila silaha kuhakikisha tunashinda arumeru...uchaguzi huu una maana kubwa sana kuelekea kuchukua nchi mwaka 2014...tusishabikie kwenye keyboard tu..tuwawezeshe makamanda waliko msitari wa mbele
 
Mmmh nami nimejiona ktk picha hapo lkini ccm wametia haibu,,wametuponda mawe na kama haitoshi wakawaita wajomba zao wakatutia mabomu...jamani nia aibu na sijui haki itapatikana wapi,,,,wazee,,akina mama,,vijana woote wake kwa waume ndo wamezidi kuichukia ccm
 
Tuko pamoja, pamoja tutaushinda udhalimu na ukandamizaji wa mabwanyenye wa kijani
 
Akiwa katika kampeni za mgombea udiwani jijini Mwanza Dr slaa alitajwa na wanainchi wa Mwanza kwamba yeye ndiye mshindi wa kura ya Urais 2010 na kwamba wakazi wa Mwanza hawamjui kama JK NDIYE KIONGOZI,na kwa kudhihirisha hilo Umati mkubwa wa wakazi wa Mwanza walihudhuria katika mkuano wake na wengi walishangilia na kusikika wakisema RAIS,RAIS,RAIS,RAIS,RAIS Kama hiyo haitoshi wakaazi hao wa JIJI maarufu kwa jina la ROCK CITY waliongoza musafara huo mkubwa wa aina yake kutoka katika viwanja vya Shule ya msingi Kabuhoro kwa ustaarabu kabisa huku wakiimba nyimbo balimbali za Chadema.


CCM walikoroga na washinndwa kulimeza.
Ni baada ya kuanzisha vurugu mbele ya umati mkubwa wa wapenzi wa Chadema walipokuwa wanatoka kwenye mkutano wao wa mgombea udiwani maarufu kwa jina la masamaki.Naomba kuwasilisha.
 
Ifikapo wakati wa kuandikisha wapiga kura watu wote waandikishwe na kwa wakati huu tuhakikishe hakuna forgery. Atakayejaribu kichwa chake kiwe halali ya chadema.
 
ifikapo wakati wa kuandikisha wapiga kura watu wote waandikishwe na kwa wakati huu tuhakikishe hakuna forgery. Atakayejaribu kichwa chake kiwe halali ya chadema.
wanachadema kura hizi ndo hatma yenu, jamani zilindeni kura zenu kwani naamini mmeshashinda zaidi mkilinda chaguo (kura) Zenu tu
 
Nilikuwa ninatamani huyu mzee prof Mlambiti kutumika kama mshauri kwa maendeleo ya nchi hii. Ninamkumbuka sana pale SUA lectures zake na vitabu vyake vya uchumi na ujasiliamali. Hongera CDM kwa kumtumia huyu mzee ni kichwa.
Kazi yake ilikuwa kutembea kona moja ya stage na kurudi huku akisoma kitabu chake.
 
nafikiri udiwani huko ccm wasahau kwani wenje ametujengea heshima sana huko mwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom