Dr Slaa,Lissu na Mdee kutikisa SAUT Mwanza jumapili ijayo

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,173
1,250
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr Wilbrod Slaa mwishoni mwa wiki ijayo siku ya jumamosi hii tarehe 31/5/2014 anatarajia kuwasha moto mkubwa katika viunga vya chuo kikuu cha mtakatifu Augustino SAUT Mwanza ,Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa la lililoandaliwa na uongozi wa CHADEMA tawi la SAUT(CHASO SAUT),kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolea na katibu mwenezi wa tawi hilo,alisema dr Slaa atakuwepo kwa ajili ya kutimiza majukumu makubwa mawili,jukumu la kwanza likiwa ni kutoa mada mbalimbali zinazohusu maisha,vijana,siasa na maendeleo na baada ya hapo anatarajiwa pia kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa 3 na 4 ambao kwa mda wote wamekuwa makamanda watiifu wa CHADEMA na Dr Slaa anatarajiwa kuwatunuku vyeti vya kutambua mchango wao ndani ya CDM na ndani ya jamii waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho chuoni hapo,

Katibu mkuu huyo wa CDM anatarajiwa kuambatana na ugeni mzito wa wabunge wa chama hicho,wakiwemo mnazimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa chama hicho Tundu Lissu,mh Halima Mdee, mh Ezekiel Wenje,mh Kiwia,Viongozi wakuu wa mabalaza ya BAVICHA na BAWACHA,viongozi wa CDM kanda ya ziwa na kamanda Mawazo,na katika hatua nyingine Dr Slaa anatarajiwa kuwakabidhi kadi za CDM vijana wasomi wa SAUT zaidi ya 500 ambao mpaka sasa majina yao yapo kwenye uongozi wa chama hicho tawini hapo,ambapo kati ya vijana hao 500,wapo wanachama wapatao 70 wanaokihama chama cha mapinduzi CCM tawini hapo,ikumbukwe kuwa CHASO SAUT iliasisiwa na kuzinduliwa na mwaka 2007 na mwenyekiti wa CHADEMA taifa kamanda wa Anga mh Freeman Aikaeli Mbowe,na mpaka sasa tawi linawanachama hai wapatao 4700 kati ya wanafunzi 11500 wanaosoma chuoni hapo, na miongoni wa viongozi na waasisi maarufu waliopita tawi hilo ni Mh Wenje,mh Mkosamali,mh Machali,Heche na wengneo,tawi hilo la CHADEMA SAUT limekuwa mwiba mkali kwa CCM kanda ya ziwa na kwa nyakati tofauti tofauti wamekuwa wakijaribu kutaka kulimaliza tawi hilo ili kukomesha harakati za makamanda wanafunzi wa CDM SAUT kwani siasa zao zimekuwa zinamadhara makubwa kwa CCM na wanadai imepelekea siasa ya CCM kanda ya Ziwa ipotee,kwani vijana hao wamekuwa wakizungukia maeneo mabalimbali ndani ya kanda ya ziwa kama vile Geita,Sumve,kwimba na nk,hivyo kumekuwepo hujuma mbalimbali zinazoratibiwa kwa ukaribu na viongozi wa CCM taifa , Kinana,Lukuvi ,Mwigulu na makamba kwa kushirikiana na uongozi wa CCM mkoani Mwanza ambapo wamekuwawakitumia mbinu mbalimbali kulivuruga tawi hilo ikiwemo kuwatumia viongozi wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo,kuhonga baadhi ya wanaCDM wanafunzi ili wajiunge nao,ikumbukwe tangu mwaka 2011 serikali ya wanafunzi chuoni hapo imekuwa ikiongozwa na rais ambaye ni mwanachama wa CDM kuanzia kwa kamanda Malisa,Dovakamwene Mcheshi,isipokuwa mwaka huu ambapo kumekuwepo na madai kwamba walimnunua mwanaCDM aliyeshinda urais chuoni hapo ambapo awali alikuwa ni mwanaCDM safi bt akashawishiwa kwa vipande vya pesa kujiunga na CCM na zoezi zima lilikamilishiwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya Nyamagana,ambapo pamoja na mambo mengine aliahidiwa ajira pindi amalizapo chuo,kukutanishwa na Jk ambapo Kinana na Mwiguru waliinjinia hujuma hiyo.

Uptudates, mtoa mada mkuu ni Pamoja na Dr Slaa TUNDU LISSU, SUZAN LYIMO (Waziri kivuli wa elimu) JOHN HECHE (Mwenyekiti BAVICHA)
na uwanja utakuwa ni uwanja wa shule ya msingi Nyamalango

PLZ MODS msiunganishe uzi huu zaidi nitaomba msaada wenu wa kunipangia vizuri bandiko langu*
 
Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,173
1,250
Dr Slaa,Lissu na Mdee kutikisa SAUT Mwanza jumapili ijayo
Ni katika kongamano kubwa litakalofanyika chuoni hapo
Pia atarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya wanaCDM chuoni hapo
wanaCCM zaidi ya 500 kuvua magamba.

Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr Wilbrod Slaa mwishoni mwa wiki ijayo siku ya jumapili tarehe 31/5/2014 anatarajia kuwasha moto mkubwa katika viunga vya chuo kikuu cha mtakatifu Augustino SAUT Mwanza ,Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa la lililoandaliwa na uongozi wa CHADEMA tawi la SAUT(CHASO SAUT),kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolea na katibu mwenezi wa tawi hilo,alisema dr Slaa atakuwepo kwa ajili ya kutimiza majukumu makubwa mawili,jukumu la kwanza likiwa ni kutoa mada mbalimbali zinazohusu maisha,vijana,siasa na maendeleo na baada ya hapo anatarajiwa pia kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa 3 na 4 ambao kwa mda wote wamekuwa makamanda watiifu wa CHADEMA na Dr Slaa anatarajiwa kuwatunuku vyeti vya kutambua mchango wao ndani ya CDM na ndani ya jamii waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho chuoni hapo,

Katibu mkuu huyo wa CDM anatarajiwa kuambatana na ugeni mzito wa wabunge wa chama hicho,wakiwemo mnazimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa chama hicho Tundu Lissu,mh Halima Mdee, mh Ezekiel Wenje,mh Kiwia,Viongozi wakuu wa mabalaza ya BAVICHA na BAWACHA,viongozi wa CDM kanda ya ziwa na kamanda Mawazo,na katika hatua nyingine Dr Slaa anatarajiwa kuwakabidhi kadi za CDM vijana wasomi wa SAUT zaidi ya 500 ambao mpaka sasa majina yao yapo kwenye uongozi wa chama hicho tawini hapo,ambapo kati ya vijana hao 500,wapo wanachama wapatao 70 wanaokihama chama cha mapinduzi CCM tawini hapo,ikumbukwe kuwa CHASO SAUT iliasisiwa na kuzinduliwa na mwaka 2007 na mwenyekiti wa CHADEMA taifa kamanda wa Anga mh Freeman Aikaeli Mbowe,na mpaka sasa tawi linawanachama hai wapatao 4700 kati ya wanafunzi 11500 wanaosoma chuoni hapo, na miongoni wa viongozi na waasisi maarufu waliopita tawi hilo ni Mh Wenje,mh Mkosamali,mh Machali,Heche na wengneo,tawi hilo la CHADEMA SAUT limekuwa mwiba mkali kwa CCM kanda ya ziwa na kwa nyakati tofauti tofauti wamekuwa wakijaribu kutaka kulimaliza tawi hilo ili kukomesha harakati za makamanda wanafunzi wa CDM SAUT kwani siasa zao zimekuwa zinamadhara makubwa kwa CCM na wanadai imepelekea siasa ya CCM kanda ya Ziwa ipotee,kwani vijana hao wamekuwa wakizungukia maeneo mabalimbali ndani ya kanda ya ziwa kama vile Geita,Sumve,kwimba na nk,hivyo kumekuwepo hujuma mbalimbali zinazoratibiwa kwa ukaribu na viongozi wa CCM taifa , Kinana,Lukuvi ,Mwigulu na makamba kwa kushirikiana na uongozi wa CCM mkoani Mwanza ambapo wamekuwawakitumia mbinu mbalimbali kulivuruga tawi hilo ikiwemo kuwatumia viongozi wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo,kuhonga baadhi ya wanaCDM wanafunzi ili wajiunge nao,ikumbukwe tangu mwaka 2011 serikali ya wanafunzi chuoni hapo imekuwa ikiongozwa na rais ambaye ni mwanachama wa CDM kuanzia kwa kamanda Malisa,Dovakamwene Mcheshi,isipokuwa mwaka huu ambapo kumekuwepo na madai kwamba walimnunua mwanaCDM aliyeshinda urais chuoni hapo ambapo awali alikuwa ni mwanaCDM safi bt akashawishiwa kwa vipande vya pesa kujiunga na CCM na zoezi zima lilikamilishiwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya Nyamagana,ambapo pamoja na mambo mengine aliahidiwa ajira pindi amalizapo chuo,kukutanishwa na Jk ambapo Kinana na Mwiguru waliinjinia hujuma hiyo.

CHADEMA ni (UMU)means=Umoja, Mshikamano na Uzalendo( M4C UMU)
0715-926271
niandikie :kilunganicholaus@yahoo.com
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Hongereni sana kwa kuualika uongozi wa chadema taifa chini ya katibu mkuu raisi wetu mtarajiwa.
Iweni na mioyo imara kama chuma,vaeni sura na akili za kishujaa kwani safari ya kuupigania ukombozi wa pili siyo lelemama,naamini wana chaso hamtatuangusha.
Natamani kujongea hiyo siku angalaunimpe mkono rais mtarajiwa lakini majukumu ni kikwazo.
 
Nyamigota

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
365
0
kaka hii hapa nimeipenda sana,kamanda pambana nchi hii inahitaji watu makini na imara km ww na wanatawi wa chaso hapo sauti
Pambaneni Makamanda mapambano daima mbele, cha kuwatieni moyo ni kwamba hata sie tulijiunga na siasa tukiwa vyuo vikuu lakini hadi leo tumeingia makazini hatujawahi kuruhusu ccm ipumue hadi pale tutakapohakikisha imezikwa kabisa kabisa. UKAWA_ TUMAINI LETU TUNATAKA NGAPI_ SERIKALI TATU.
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Kamanda kilunga nilikuwa kibondo juzi,wanakusalimia sana.
Ombi tu usiwaangushe kwenye huu ukombozi wa pili maana 2015 siyo mbali muhambwe na mabadliko mabadiliko na muhambwe toka 2010 hadi kiama.
Viva dk.slaa.
Viva chaso saut.
 
Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,173
1,250
Hongereni sana kwa kuualika uongozi wa chadema taifa chini ya katibu mkuu raisi wetu mtarajiwa.
Iweni na mioyo imara kama chuma,vaeni sura na akili za kishujaa kwani safari ya kuupigania ukombozi wa pili siyo lelemama,naamini wana chaso hamtatuangusha.
Natamani kujongea hiyo siku angalaunimpe mkono rais mtarajiwa lakini majukumu ni kikwazo.

yeah me mwenyewe nitafurahi kupeana mkono na rais wangu ajaye,nitafurahi zaidi kukabidhiwa cheti cha CHASO na dr Slaa mkuu
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
..

....magamba wakisikia hii mambo lazima.... Wadengeruke !!!

hakika machumia tumbo kama msalyani,ifwyeero,ambakorakamwo,linzaboni,westoni msogoro,mwanandiwani, na wengineo kwa staili hii mgao utakuwa nusu,yaani elfu 3500.
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
yeah me mwenyewe nitafurahi kupeana mkono na rais wangu ajaye,nitafurahi zaidi kukabidhiwa cheti cha chaso na dr slaa mkuu

mkuu hebu muone hapa alivyo kaa kama raisi wa dunia.
 
Attachments

 • dk+slaa.jpg
  File size
  25.4 KB
  Views
  387
 • RAIS DK.SLAA.jpg
  File size
  34.6 KB
  Views
  211

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,173
1,250
Kamanda kilunga nilikuwa kibondo juzi,wanakusalimia sana.
Ombi tu usiwaangushe kwenye huu ukombozi wa pili maana 2015 siyo mbali muhambwe na mabadliko mabadiliko na muhambwe toka 2010 hadi kiama.
Viva dk.slaa.
Viva chaso saut.

Mkuu WILL AFRICA

Ni kweli mkuu Kibondo jimbo la Muahambwe ndo napotokea mkuu,kijiji cha Bitale ndo home,nilikuwepo huko Pasaka,bt mbali na matatizo ya uongozi wa CDM kati ya jimbo na wilaya,jimbo na vijana harakati nk,bt Muhambwe kuna wanachama wengi kuliko chama chochote kile,bt nikimaliza chuo mwaka huu natarajia kujikita kwenye operation za kuimarisha chama kuanzia vijijinini,kata kwa kata ili kuhakikisha tunashinda kwa kishindo uchaguzi ujao wa serikali za mitaa,na mwakani tunashinda kwa kishindo nafasi za udiwani,ubunge na urais,na kwa sasa nimepanga kushirikiana na kamanda yeyote atakaeteuliwa na chama kuongoza kijiti kuwania jimbo ama kata ya udiwani bt ikitokea nahitajika basi nitaanza na udiwani ili kwenda kuziba mianya ya rushwa na kumsaidia mbunge atakaechaguliwa na wananchi awe huyu wa sasa Mkosamali ambaye nimedokezwa huenda akarudi CDM ama Mwingne atakae teuliwa na chama changu pendwa
 
Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,173
1,250
mkuu hebu muone hapa alivyo kaa kama raisi wa dunia.

da mkuu hiyo picha imenitoa machozi,lait hawa UWT wangejua wameliumiza sana taifa hili kwa kuruhusu uchakachuzi wa kura za dr Slaa mwaka 2010,kwani bila wao kwa sasa suala la ufisadi wa bilioni 200,twiga ,madawa ya kulevya,mauaji ya albino,mafuta ya taa jkkuzwa bei ya petroli,udini,mambo ya katiba yasingekuwapo kwani kiongozi wangu shujaa Dr Slaa angeshayashughulikia kwa uzalendo na wel;edi mkubwa na kama taifa sasa tungekuwa tunaongoza kwa uchumi imara na unaokuwa kwa kasi east A ---- na Balali asingeendelea kuishi kwa woga kwenye mitaa ya jiji la Califonia
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Chaso saut ni kisima cha siasa za ukombozi hapa tanganyika ,
msikatishwe tamaa na huyo aliyesaliti kambi eti tu kwa kuahidiwa shibe ya tumbo lake asijue kuwa kuna wanyonge wa nchi hii wanaulilia ukombozi usiku na mchana.
Ni mimi.
 
JALUO

Senior Member
Jun 4, 2011
159
225
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr Wilbrod Slaa mwishoni mwa wiki ijayo siku ya jumapili tarehe 31/5/2014 anatarajia kuwasha moto mkubwa katika viunga vya chuo kikuu cha mtakatifu mAugustino SAUT Mwanza ,Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa la lililoandaliwa na uongozi wa CHADEMA tawi la SAUT(CHASO SAUT),kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolea na katibu mwenezi wa tawi hilo,alisema dr Slaa atakuwepo kwa ajili ya kutimiza majukumu makubwa mawili,jukumu la kwanza likiwa ni kutoa mada mbalimbali zinazohusu maisha,vijana,siasa na maendeleo na baada ya hapo anatarajiwa pia kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa 3 na 4 ambao kwa mda wote wamekuwa makamanda watiifu wa CHADEMA na Dr Slaa anatarajiwa kuwatunuku vyeti vya kutambua mchango wao ndani ya CDM na ndani ya jamii waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho chuoni hapo,

Katibu mkuu huyo wa CDM anatarajiwa kuambatana na ugeni mzito wa wabunge wa chama hicho,wakiwemo mnazimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa chama hicho Tundu Lissu,mh Halima Mdee, mh Ezekiel Wenje,mh Kiwia,Viongozi wakuu wa mabalaza ya BAVICHA na BAWACHA,viongozi wa CDM kanda ya ziwa na kamanda Mawazo,na katika hatua nyingine Dr Slaa anatarajiwa kuwakabidhi kadi za CDM vijana wasomi wa SAUT zaidi ya 500 ambao mpaka sasa majina yao yapo kwenye uongozi wa chama hicho tawini hapo,ambapo kati ya vijana hao 500,wapo wanachama wapatao 70 wanaokihama chama cha mapinduzi CCM tawini hapo,ikumbukwe kuwa CHASO SAUT iliasisiwa na kuzinduliwa na mwaka 2007 na mwenyekiti wa CHADEMA taifa kamanda wa Anga mh Freeman Aikaeli Mbowe,na mpaka sasa tawi linawanachama hai wapatao 4700 kati ya wanafunzi 11500 wanaosoma chuoni hapo, na miongoni wa viongozi na waasisi maarufu waliopita tawi hilo ni Mh Wenje,mh Mkosamali,mh Machali,Heche na wengneo,tawi hilo la CHADEMA SAUT limekuwa mwiba mkali kwa CCM kanda ya ziwa na kwa nyakati tofauti tofauti wamekuwa wakijaribu kutaka kulimaliza tawi hilo ili kukomesha harakati za makamanda wanafunzi wa CDM SAUT kwani siasa zao zimekuwa zinamadhara makubwa kwa CCM na wanadai imepelekea siasa ya CCM kanda ya Ziwa ipotee,kwani vijana hao wamekuwa wakizungukia maeneo mabalimbali ndani ya kanda ya ziwa kama vile Geita,Sumve,kwimba na nk,hivyo kumekuwepo hujuma mbalimbali zinazoratibiwa kwa ukaribu na viongozi wa CCM taifa , Kinana,Lukuvi ,Mwigulu na makamba kwa kushirikiana na uongozi wa CCM mkoani Mwanza ambapo wamekuwawakitumia mbinu mbalimbali kulivuruga tawi hilo ikiwemo kuwatumia viongozi wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo,kuhonga baadhi ya wanaCDM wanafunzi ili wajiunge nao,ikumbukwe tangu mwaka 2011 serikali ya wanafunzi chuoni hapo imekuwa ikiongozwa na rais ambaye ni mwanachama wa CDM kuanzia kwa kamanda Malisa,Dovakamwene Mcheshi,isipokuwa mwaka huu ambapo kumekuwepo na madai kwamba walimnunua mwanaCDM aliyeshinda urais chuoni hapo ambapo awali alikuwa ni mwanaCDM safi bt akashawishiwa kwa vipande vya pesa kujiunga na CCM na zoezi zima lilikamilishiwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya Nyamagana,ambapo pamoja na mambo mengine aliahidiwa ajira pindi amalizapo chuo,kukutanishwa na Jk ambapo Kinana na Mwiguru waliinjinia hujuma hiyo.

PLZ MODS msiunganishe uzi huu zaidi nitaomba msaada wenu wa kunipangia vizuri bandiko langu*
duuuhhhh mbona sisi wa masters hamjatuinclude ingawa kadi zetu tulichukulia MTAANI?but tuko hai chini ya kamanda shija?
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,259
2,000
hakika machumia tumbo kama msalyani,ifwyeero,ambakorakamwo,linzaboni,westoni msogoro,mwanandiwani, na wengineo kwa staili hii mgao utakuwa nusu,yaani elfu 3500.

Hata hivyo hali ya kifedha huko Lumumba inatia mashaka ndio maana sasa hivi wanalazimisha Halmashauri za wilaya kugharamia ziara ya Kinana katika kukodi mafuso, kulipia malazi na chakula na kukodi mapikipiki bila kujali kuwa fedha hizo za halmashauri ni kwa ajili ya huduma za kijamii mahospitalini na mashuleni.
Ki ukweli hali ni mbaya na sitashangaa wale Buku 7 wakaanza kulipwa shilingi 2000 per day.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom