huwezi kuasi kanisa kwa
tamaa za kimwili halafu Mungu akakuchekelea tu. mbaya zaidi unazidi
kumuudhi kwa kuendekeza uzinifu
jinga kweli.
huwezi kuasi kanisa kwa
tamaa za kimwili halafu Mungu akakuchekelea tu. mbaya zaidi unazidi
kumuudhi kwa kuendekeza uzinifu
mwambie apitie na VOICE OF AMERICA.
Wandugu mlete hizi habari polepole , kwani wanaotarajia kugombea Urais kupitia CCM wanaumia sana mnapoleta habari nzuri kuhusu Dr slaa.
hapo hawezi kutia timu
hivi huko marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
Hizi breaking news nyingine ni dalili ya Chadema kuishiwa hoja...
What is breaking about this news...
acha porojo wewe! dr slaa hajawahi kuwa na mke hata mahakama inajua hivyo. yeye mwendo wa kuwa na vimada na kuzaa watoto wa nje ya ndoa. huyu dr hajui ndoa inakuwaje wala utamu wa honeymoon haujui. na huyo Josephine atamtelekeza tu kwa maana huyu dr amelaaniwa
Kipindi kipo online...listen it
Lizaboni kama mwana jukwaa na mwenye bidii ya kujibu kila uzi humu, naomba nichukue nafasi hii kukuomba kama Mtanzania mwenzako kuwa acha kudhalilisha watu wanaokuzidi umri, hekima na busara, dr slaa ni kiongozi kama alivyo mwenyekiti wa chama chako, tukiamua kumkosea heshima hatakuwa na pakukimbilia ila tunamsitahi na kumuheshima na wala hatuongelei familia yake wala watoto wake, kuna watu humu wanayajua mengi ila kwa vile hatujadili watu tunajikita zaidi kwenye hoja ndo maana chama chetu kinazidi kupendwa kila uchwao:
Naona kila uzi unamtusi tu kiongozi wetu bila sababu za msingi, najua mods wako humu kuangalia kama tunakeuka kanuni na taratibu za JF ila mie siko hapa kuwaomba wao wakuwajibishe bali naomba uwe mwelevu walau kidogo, najua unatetea chama chako kwa hali na mali ila usitete chama chako kwa kuwakajeli viongozi au kuwatukana viongozi wa chama unachopingana nacho, kuna kipindi mh mbowe alisema "chadema haitaki siasa za maji taka maana tunazijua sana ila inajali hekima na busara kwa viongozi waandamizi wa serikali japo tunayajua yao mengi tu"
Kuna kipinda mzee makamba alituma watu kwenda kumtafuta mtalaka wa bi-Josephine ili tu kumuambisha dr slaa na kesi ikafunguliwa mahakamani ila bi-josephine akashinda.
Hizi siasa za kutukana watu na kuvunjia viongozi wetu heshima mmekuwa mkizifanya kwa mda mrefu sana, upo wewe Lazaboni,hammyD, the marcopollo, ritz, mwigu, nape, kigwangalla, wairema, job, wassira, lusinde, lukuvi, na wengine wengi na tunawavumilia sana ila mnaiua ccm, sina hira na wewe ila jirekebishe tu ili tusaidiane kulijenga taifa letu kwani ccm au chadema inaweza kufa mda wowote ila Taifa la Tanzania litabaki milele na milele:
Mungu akubariki sana, asante kwa ushirikiano wako
Ni muhimu sana Watanzania wote wanaoipenda Tanzania, kuunganisha nguvu, kwa uwezo wetu wote, wa ndani ya nchi na nje kama tunao, kuhakikisha Dr. Slaa, kwa kudra za mwenyezi mungu, mwaka 2015 anakuwa Rais wa Tanzania. Angalao atuwekee njia ambayo watakaofuatia baadaye watapita. Sasa hivi nchi yetu haieleweki ipoje, kwa namna gani, kwa njia ipi ili kufika wapi. Tunahitaji sana mtu wa kutuongoza kutengeneza njia.
Kuta za kawaida za nyumba zinaweza kujengwa hata na fundi mwanafunzi lakini kama unataka nyumba iliyo nadhifu ni lazima kona zijengwe na mtu makini. Ninashawishika sana kuamini kuwa fundi wa kujenga kona za Taifa letu ni Dr. Slaa. Tukiweza kujenga kona za Taifa, hapo baadaye hata tukipata mafundi wa kawaida, wakianza kupindisha ukuta, tutaweza kuuona ukuta uliopinda kiurahisi maana tuna 'reference', ambayo ni kona iliyojengwa na fundi stadi. Mataifa mengi yamepita katika njia tuliyoipitia, na yalipata mabadiliko ya maendeleo makubwa pale walipompata mtu mmoja makini aliyewawekea misingi imara, kwa Marekani ni George Washington, China ni Mao.
Kwenye hili Watanzania tusifanye mzaha. Kikwete anamaliza muda wake, amefanya alichofanya kadiri ya uwezo wake, Mungu ambariki. Lakini tunavyotaka kumpata kiongozi mwingine, inabidi Watanzania tuachane na ushabiki wa kisiasa, turudi katika uhalisia, ili tuweze kumchagua mtu anayeweza kuleta mabadiliko.
Wapi link.
Slaa ndiye aliyeanzisha siasa za matusi. Mara kadhaa hapa JF amekuwa akimuita Rais wa nchi yetu Mr. Dhaifu. Kwa umri wake, Slaa hapaswi kabisa kutumia lugha za kihuni. Of course hizi lugha amefundishwa na Josephine, lakini matokeo yake yanawagusa wengi.
Wewe kama ni mpenda lugha safi, kwanza kabisa mkemee Slaa anapoandika lugha za kihuni. Juzi alisema JF ni jukwaa la umbea na majungu. Kutukana jitihada za JF wamiliki na wasimamizi wa JF wanaotumia vipaji vyao kuwaunganisha watanzania katika mijadala mbalimbali ni jambo lisilofaa ambalo ili Slaa aendelee kuheshimika hapa jukwaani anatakiwa kuomba radhi.
Jipime nia yako. Kama una nia njema, utagundua kuwa tatizo ni Slaa mwenyewe.
Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
Kibabu kimenogewa na mambo ya Mashumbusi kwi kwiiiiiiiiiih.
Mkuu Dhaifu sio tusi and you know that, nachoongelea hapa ni swala la kuiingia ndani ya familia ya dr slaa na kuanza kuiongelea as a topic while hoja sio familia,inafikia hatua mpk mtoto mdogo jr mnamdiscuss hii ni haki kweli? Huyu mtoto anadhambi gani kwenu? Ama atajitetea wapi mkuu?
Ujumbe wako nimeuelewa na bahati nzr dr ni mwenyeji hapa so, ujumbe wako atausoma na mapungufu atayafanyia kazi:
Pia na ww fanyia kazi ombi langu, from there tunaweza endesha siasa zenye afya kwa taifa letu na vizazi vijavyo