Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
Mkuu ulichofanikiwa hapa JF, ni kudhihirisha kuwa unamchukia Dr. Slaa.

Hilo tulishafahamu na post hii yako haina jipya.
 
kama anashindwa kuwa serious katika jambo la msingi kama ndoa. tumwaminije kumkabidhi nchi? by the way, sheria za kanisa la katoliki linaamini ndoa ndoa moja mke mmoja. naamini hakuna padre wala askofu atakayefungisha ndoa ya dr slaa na Josephine

Wewe unatumia ma------ kufikiri....Nelson Mandela aliachana na winnie na kumuoa Graca...does it make him a bad leader...
 
Kashindwa kuongoza familia ipi? Watoto wake na Rose ni watu wazima na wamesoma!!! Hawajapata ziro au division four kama wale wa yule wa kwenu!!! Na wale waliobahatika kusoma, walikuwa wanaandikiwa madesa chuo!!! Kamwambie huyo short wake kama anajua kujibu hata petition ya mahakama!! Facts zipo, usitake tuangushe hapa watu waumbuke.

kwi kwi kwi kwi.
 
Umeshafika peponi mungu kakuambia hivo? hapo kwenye redi.

huwezi kuasi kanisa kwa tamaa za kimwili halafu Mungu akakuchekelea tu. mbaya zaidi unazidi kumuudhi kwa kuendekeza uzinifu
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Dr. Wilbrod Slaa, katibu mkuu wa Chadema amefanya mahojiano na ya Indianapolis ambayo ndiyo moja ya radio kubwa nchini marekani akisikilizwa na watu zaidi ya millioni 9 huku wengine wakishiriki kwenye mjadala kupitia mitandao ya jamii na simu moja kwa moja.

Kwa asilimia kubwa, wengi wamemkubali na kumuona kama mkombozi, siyo tu wa Tanzania, bali wa bara la Afrika kutokana na jinsi alivyojielezea na pia kuzungumzia mada mbalimbali hasa mikakati yake na chama chake Chadema kumuokoa mtanzania kutokana na ukoloni mamboleo ya CCM. Dr. Slaa amezungumzia kuhusu elimu, kilimo, afya, uwekezaji na fursa nchi zilizopo Tanzania.

Baadae mchana, Dr. Slaa atahojiwa na radio ya jijini Washington DC. Stay tuned...

Mchana huu atahojiwa hapa;..
Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013

Dr. Wilbroad Slaa amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya Washington, D.C., U.S.A. siku ya jumatano October 9, 2013. Saa saba mchana kwa saa za Amerika ya mashariki (1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time).

Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika mpaka hivi sasa.
Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.

Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio

Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013
 
Wewe unatumia ma------
kufikiri....Nelson Mandela aliachana na winnie na kumuoa Graca...does it
make him a bad leader...

we nambie dr slaa alioa lini na lini wameachana na mke wake wa ndoa na ameoa tena lini zaidi ya kuishi na vimada tu
 
MODs wamefanya jambo la busara kubalisha heading ya hii thread maana ilikuwa inanekana ya kimashauzi mno eti "Breaking News"

Itafika wakati hata Slaa "akipumua" walaghaika wake mtasema Breaking News.
 
Mchana huu atahojiwa hapa;..
Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013

Dr. Wilbroad Slaa amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya Washington, D.C., U.S.A. siku ya jumatano October 9, 2013. Saa saba mchana kwa saa za Amerika ya mashariki (1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time).

Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika mpaka hivi sasa.
Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.

Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio

Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013

Nyinyi diaspora ndio Josephine alisema ni refugees. Je, nyinyi refugees mnaruhusiwa kushiriki masuala ya siasa mkiwa kwenye foreign soil?
 
GOD Bless our next Presdent,dr.Wilbroad P.Slaa...
 
Nlikua nashanga eti nape, shonza na mwampamba wanajilinganisha na slaa....wapi na wapi..?
 
kama anashindwa kuwa serious katika jambo la msingi kama ndoa. tumwaminije kumkabidhi nchi? by the way, sheria za kanisa la katoliki linaamini ndoa ndoa moja mke mmoja. naamini hakuna padre wala askofu atakayefungisha ndoa ya dr slaa na Josephine

Serious kwako, kwake, kwetu? kama ni maadili yupi bora anayeacha na kuutangazia umma au yule anayepanda wake na

kuzaa watoto popote aendapo?

Pili kunamaprofesa na watu muhimu chungu mbovu duniani ambao hawana wake au wameachana na wake zao

Tatizo lenu vijana wa ccm mnalinganisha na kulazimisha hoja nyepesi kwa zile nzinto, binafsi na zile za Taifa.

Hapa ndipo mnapokidhalilisha chama kinachowatuma na kukipunguzia umaarufu.

hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?

we mtu umelaaniwa..we unataka akuoe wewe! sisi watz hatuna shida na mke wa rais..shida yetu ni rais makin mfano wa Dr.P.Slaa.full stop! mipasho mingine hatuitaki.
 
we nambie dr slaa alioa lini na lini wameachana na mke wake wa ndoa na ameoa tena lini zaidi ya kuishi na vimada tu

Tena ulivo kilaza.....ukishaishi na mwanamke under one roof and cohabiting for at least six months ....then ni wanandoa mkuu...alafu hauhitaji kujulishwa wewe kwamba dr ameoa...kwa sababu ndoa ni makubaliano ya watu wawili...kama wameandika mkataba wao wawili.....haikuhusu mkuu...JADILI ISSUES Sio masuala ya kitandani ya Dr Slaa...unataka uwe kitandani wewe on behalf ya Josephine....?
 
huwezi kuasi kanisa kwa tamaa za kimwili halafu Mungu akakuchekelea tu. mbaya zaidi unazidi kumuudhi kwa kuendekeza uzinifu

Mimi nakuonea huruma, umeielewa mada ni hii
[h=2]Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio[/h]
Ukianza kujadili mambo ya kanisa nikukosa hekima busara na weledi rudi kwenye mada, otherwise funguwa uzi mpya wa

kujadili ndoa ya Dr slaa
 
Back
Top Bottom