Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Amesema nani mpuuzi wewe. Yaani kufanya interview na radio maria za USA ndio imekuwa miujiza. Mbona hata Flora Mbasha walifanya interview na VOA inayosikika zaidi kuliko hiyo ya Indianapolis.Halafu kuongea na Minority Leader wa Jimbo ni kitu kidogo sana. Huyo kiongozi sio popular. Chadema mnataka kutuaminisha kuwa Slaa ni kiongozi bora wa Africa. Hivyo na ile skendo yake ya kuchukua wake za watu wakiisikia huko watamtimua kama mwrnda kichaa. Kwa kuwa huko kiongozi lazima aee na maadili binafsi ndipo akubalike.

haha...Maccm ni majinga km wale wadudu km nyoka wasio na macho wala sumu...Local radio and Tv station, au hata Localize contents ktk websites ndio most effective sphere ya kuwafikia watu.Dr. kahojina na nyingi sana.

Sijui unajisifu nini hapa...........Hata radio maria yenyewe si mzaha km unavyofiki..ungejua idadi wa wakatoliki tuu inashindana na waislam...sasa km unaona mzaha .....hutatofuatiana na JK alivyoshindwa adabisha serikali yake kuheshimu kanisa catholic.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Dr. Wilbrod Slaa, katibu mkuu wa Chadema amefanya mahojiano na ya Indianapolis ambayo ndiyo moja ya radio kubwa nchini marekani akisikilizwa na watu zaidi ya millioni 9 huku wengine wakishiriki kwenye mjadala kupitia mitandao ya jamii na simu moja kwa moja.

Kwa asilimia kubwa, wengi wamemkubali na kumuona kama mkombozi, siyo tu wa Tanzania, bali wa bara la Afrika kutokana na jinsi alivyojielezea na pia kuzungumzia mada mbalimbali hasa mikakati yake na chama chake Chadema kumuokoa mtanzania kutokana na ukoloni mamboleo ya CCM. Dr. Slaa amezungumzia kuhusu elimu, kilimo, afya, uwekezaji na fursa nchi zilizopo Tanzania.

Baadae mchana, Dr. Slaa atahojiwa na radio ya jijini Washington DC. Stay tuned

attachment.php

Dr. Slaa akiongozwa
attachment.php

Dr. Slaa akifurahia jambop ndani ya studio
attachment.php

Dr. Slaa akijadiliana na Minority leader wa bunge la Indiana​

Sawa,lakini charity begins at home. Personal behaviors za mtu huwa zinaweka wazi characters,kwa hili la kutembea na mchumba dunia nzima,na je anahudumia watoto wa ndoa ya kwanza? Hayo mawili kwa nchi kama USA,huna qualities za good leadership.
 
Naogopa tumia "Black Widow" ....naona umechnaganyikiwa haswa..kunazia kwa Josephine hadi kwa Dr. Slaa......siku hizi hujui kabisa nani ni watanzania na nani si watanzania, hujui tofauti ya mke na mchumba..

Una kintimanyongo wewe mwanamke...sijuiungekuwa mama wa kambo ingekuweje..bora ubaki kimada angalau uwe busy maisha yako yote.

Zaidia mtanzania mmoja akimtuma anapata haki ya kusema nimetumwa na watanzania..ndio maana kampuni ya kichina ikipewa tender ya kujenga barabara ..watanzania husema "barabara hii imejengwa na wachina"..

Babu kasema hizo safari hawajagharamia chadema aka KADIMA sasa wewe tueleze ni Mtanzania yupi aliyemtuma na kwa gharama za nani? sio unakuja na porojo tu.
 
Babu kasema hizo safari hawajagharamia chadema aka KADIMA sasa wewe tueleze ni Mtanzania yupi aliyemtuma na kwa gharama za nani? sio unakuja na porojo tu.

Haha...unataka jibu gani kwa mtu ambaye hajachukua hela ya serikali ?
 
hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?

Hivi wewe una akili kweli,kwanza umri wako wewe ni mtoto wa darasa la pili au una matatizo ya akili maake hata kwenye ukweli unakwenda kinyume mie naona nisema kama huna la maana ni bora usiandike hakuna wa kukulaumukwa kwamba Kwa nini leo hujaandika au ndio hizo buku 7 lol watanzania kweli mnaliwa kijinga sana,vijana msikubali kutumiwa pigeni kazi jitumeni acheni mambo ya kifadhihina
 
Safi sana huyo ni Dr Wilbroad Peter Slaa Dr wa ukweli na sio wakubambikiziwa,yeye ni tumaini la Watanzania wenye akili timamu na sio wale ambao wanategemea rushwa na kuuwa Tembo
 
Babu kasema hizo safari hawajagharamia chadema aka KADIMA sasa wewe tueleze ni Mtanzania yupi aliyemtuma na kwa gharama za nani? sio unakuja na porojo tu.

Wewe mwanamke acha kuleta pumba hapa unaelewe lakini basi tu unataka kuleta ubishi wa Kialshababu au ubishi wa Kigaidi sasa unataka maelezo gani Kwa mtu ambaye hajatumia hela za walipa kodi??????Hivi wewe unafikiria unavyojifanya ati unatete Mafisadi maccm unadhani utapata ubunge wa viti maalum au utateuliwa kuwa balozi ku...m....a.aa.aa.aaa wewe!!!
 
Dr Slaa is a really matured politician, not only a Tanzanian marked personality BUT an international growing figure who has a new outlook for African politics

Hajawa rais ameshaanza ziara za kwenda marekani....
Akiwa rais nadhani atahamia huko huko .
Dah maisha bila unafki hayaendi
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Dr. Wilbrod Slaa, katibu mkuu wa Chadema amefanya mahojiano na ya Indianapolis ambayo ndiyo moja ya radio kubwa nchini marekani akisikilizwa na watu zaidi ya millioni 9 huku wengine wakishiriki kwenye mjadala kupitia mitandao ya jamii na simu moja kwa moja.

Kwa asilimia kubwa, wengi wamemkubali na kumuona kama mkombozi, siyo tu wa Tanzania, bali wa bara la Afrika kutokana na jinsi alivyojielezea na pia kuzungumzia mada mbalimbali hasa mikakati yake na chama chake Chadema kumuokoa mtanzania kutokana na ukoloni mamboleo ya CCM. Dr. Slaa amezungumzia kuhusu elimu, kilimo, afya, uwekezaji na fursa nchi zilizopo Tanzania.

Baadae mchana, Dr. Slaa atahojiwa na radio ya jijini Washington DC. Stay tuned

attachment.php

Dr. Slaa akiongozwa
attachment.php

Dr. Slaa akifurahia jambop ndani ya studio
attachment.php

Dr. Slaa akijadiliana na Minority leader wa bunge la Indiana​

Chama chake tu kinamshinda ... ataweza kuongoza nchi ??
 
Wewe mwanamke acha kuleta pumba hapa unaelewe lakini basi tu unataka kuleta ubishi wa Kialshababu au ubishi wa Kigaidi sasa unataka maelezo gani Kwa mtu ambaye hajatumia hela za walipa kodi??????Hivi wewe unafikiria unavyojifanya ati unatete Mafisadi maccm unadhani utapata ubunge wa viti maalum au utateuliwa kuwa balozi ku...m....a.aa.aa.aaa wewe!!!

Kama hajatumia fedha za chadema, atueleze mfadhili ni nani? hapa tunahakikishiwa kuhusu ufadhili wa nje. Kwa manufaa ya nani?
 
Hajawa rais ameshaanza ziara za kwenda marekani....
Akiwa rais nadhani atahamia huko huko .
Dah maisha bila unafki hayaendi

wewe ni mbulura kweli, hizo zinaitwa study tour,usizifananishe na safari za Vasco Da Gama anayeenda kupiga picha na Bekham,Ronaldo au kubembea na akiulizwa kwa nini Tanzania ni maskini anasema hata yeye hajui,anatudhalirisha sana watanzania.
 
Back
Top Bottom