Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Jamani huu ni muujiza wa Mungu.Dr Slaa kwa sasa anatamba katika siasa za Dunia.

Wanasiasa wengi wa Marekani wamesema Dr Slaa ni mwanasiasa bora zaidi Afrika mbali ya Nelson Mandela na Julius Nyerere.

Mungu azidi kumbariki huyu mzalendo mwana wa Afrika.

ameshindwa kuongoza familia, atakuwaje mkombozi wa afrika? hii ni miujiza ya Mungu.
 
hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?

Leta issue hapa, weka ya rais wako akifanya mambo ya maendeleo. Aliyejidai ni mke wake mbona hakufua dafu? Wewe unamwacha mke wa ujana wako unaenda kwa changudoa halafu ukisikia mke uliyemwacha anakula kwa mrija povu linakutoka!!! Alipohongwa eti akafungue kesi ya madai mbona ilifilia mbali? Leta sera acha kuchemka. Tunataka facts za rais wako kama hizi na kama huna kaa kimya!! Josephine ni mke halali wa Dr, na walishafunga ndoa ya kimila!!! Kuna ndoa za aina tatu kisheria Tanzania, kimila, kisherikali na kidini!!! Sheria imeenda mbali na kutambua hata wale walioishi bila ndoa nilizotaja kwa kuanzia mienzi sita wakikaa pamoja anahesabika mume/mke!!! Zamani ilikuwa kuishi pamoja for two years!! Una linguine? Leta hapa tujadili!!
 
Akisikilizwa na watu milion 9.................Redio inayowafikia watu............................ katika nchi yenye population ya 300Mil+

Kweli Slaa anakubalika:shocked::shocked::shocked:

sipati picha kama kikwete angepewa nafasi kama hii angeongea nini hasa,jamaa kwa pumba ndiye kwake
 
Hizi breaking news nyingine ni dalili ya Chadema kuishiwa hoja...

What is breaking about this news...

Nasikia kimeitishwa kikao cha dharura Lumumba kuzungumzia ziara ya Dr Slaa barani Amerika.
 
Kuna mambo ambayo mtu unapaswa kuyafanya wakati unajenga CV na mambo ya kufanya baada ya kutimiza umri wa kustaafu.

Umri wa kustaafu sio wakati wa kujifunza mambo mapya, ni muda wa kutumia uzoefu ulioukusanya miaka mingi uliyoishi.
 
ameshindwa kuongoza familia, atakuwaje mkombozi wa afrika? hii ni miujiza ya Mungu. eti mzinifu na mpora wake za watu naye awe mkombozi!

Kashindwa kuongoza familia ipi? Watoto wake na Rose ni watu wazima na wamesoma!!! Hawajapata ziro au division four kama wale wa yule wa kwenu!!! Na wale waliobahatika kusoma, walikuwa wanaandikiwa madesa chuo!!! Kamwambie huyo short wake kama anajua kujibu hata petition ya mahakama!! Facts zipo, usitake tuangushe hapa watu waumbuke.
 
SO GREATEST WORDS, HE HAS SHOW HIS MATURITY IN POLITICs BE BLESSED!
 
kama huko wana mkubali, na hapa watu waki mkataa.. hii nchi kamwe haito toka kwenye upu.mbavu na umaskini..... na haitokuja kutokea tena kupata bahati ya kua na mtu kama huyo kwa hivi karibuni.
 
Nasikia kimeitishwa kikao cha dharura Lumumba kuzungumzia ziara ya Dr Slaa barani Amerika.

Molemo,
Naona umerudi hewani tena.

Hahahahahahahahaa

Uliona picha ya zawadi ya NASA aliyopewa Slaa, ambayo mtu mwingine pekee aliyewahi kupewa ni Rais wa Marekani?

Hahahahahahahahahahaha
 
Kuna mambo ambayo mtu unapaswa kuyafanya wakati unajenga CV na mambo ya kufanya baada ya kutimiza umri wa kustaafu.

Umri wa kustaafu sio wakati wa kujifunza mambo mapya, ni muda wa kutumia uzoefu ulioukusanya miaka mingi uliyoishi.
Dr. ZeMarcopolo, wa kwenu ka hit 63 the other day!!! Tupe progressive CV yake!!!! Ni masikitiko!!
 
kama huko wana mkubali, na hapa watu waki mkataa.. hii nchi kamwe haito toka kwenye upu.mbavu na umaskini..... na haitokuja kutokea tena kupata bahati ya kua na mtu kama huyo kwa hivi karibuni.

Hahahahahahaha
Walaghaika kumbe bado mpo!!!
 
Tanzania tunu za uongozi tunazo. CDM mkombozi na muibuzi wa tunu zilizotokomezwa na maccm kupitia ufisadi na uroho wa madaraka kwa kupeana bila kujari nani anaweza . Tanzania tuliyoijua inarudi 2015...athubutu mtu kuturudisha nyuma ndo ajue yeye na familia yake tulivyonuia!
 
Kashindwa kuongoza familia
ipi? Watoto wake na Rose ni watu wazima na wamesoma!!! Hawajapata ziro
au division four kama wale wa yule wa kwenu!!! Na wale waliobahatika
kusoma, walikuwa wanaandikiwa madesa chuo!!! Kamwambie huyo short wake
kama anajua kujibu hata petition ya mahakama!! Facts zipo, usitake
tuangushe hapa watu waumbuke.

kwa akili yako malezi ya familia ni kusomesha tu? hizi kweli ni akili za bavicha. kwanza hao watoto wamesomeshwa na CCM baada ya dr kutelekeza familia yake
 
Back
Top Bottom