Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

Dr. ZeMarcopolo, wa kwenu ka hit 63 the other day!!! Tupe progressive CV yake!!!! Ni masikitiko!!

Unamaanisha yule ambaye akienda shamba jumamosi inabidi kila mtu asimamishe gari lake mpaka apite?
 
hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?

Ndugu kila siku ukonaye hapa. Polisi, jeshi na usalama wa taifa, wewe na chama chako cha ccm mnavimiliki.

Umechukuwa hatuagani? kule USA haya mambo yenu ya umbea, uwongo, unafiki na uzandiki hayawashughulishi,

wewe endelea hapa jukwaani kueneza hizo fikra mgando.
 
I salute you my president Dr. Wilbroad Slaa!!! Hata kama wataendelea kuchakachua but you have fought for Tanzanians!! The World has seen it, and the true citizens of this country have seen it too!! We love and cherish every moment you stand up for Tanzanians. Long Live our brother.
 
Ni muhimu sana Watanzania wote wanaoipenda Tanzania, kuunganisha nguvu, kwa uwezo wetu wote, wa ndani ya nchi na nje kama tunao, kuhakikisha Dr. Slaa, kwa kudra za mwenyezi mungu, mwaka 2015 anakuwa Rais wa Tanzania. Angalao atuwekee njia ambayo watakaofuatia baadaye watapita. Sasa hivi nchi yetu haieleweki ipoje, kwa namna gani, kwa njia ipi ili kufika wapi. Tunahitaji sana mtu wa kutuongoza kutengeneza njia.

Kuta za kawaida za nyumba zinaweza kujengwa hata na fundi mwanafunzi lakini kama unataka nyumba iliyo nadhifu ni lazima kona zijengwe na mtu makini. Ninashawishika sana kuamini kuwa fundi wa kujenga kona za Taifa letu ni Dr. Slaa. Tukiweza kujenga kona za Taifa, hapo baadaye hata tukipata mafundi wa kawaida, wakianza kupindisha ukuta, tutaweza kuuona ukuta uliopinda kiurahisi maana tuna 'reference', ambayo ni kona iliyojengwa na fundi stadi. Mataifa mengi yamepita katika njia tuliyoipitia, na yalipata mabadiliko ya maendeleo makubwa pale walipompata mtu mmoja makini aliyewawekea misingi imara, kwa Marekani ni George Washington, China ni Mao.

Kwenye hili Watanzania tusifanye mzaha. Kikwete anamaliza muda wake, amefanya alichofanya kadiri ya uwezo wake, Mungu ambariki. Lakini tunavyotaka kumpata kiongozi mwingine, inabidi Watanzania tuachane na ushabiki wa kisiasa, turudi katika uhalisia, ili tuweze kumchagua mtu anayeweza kuleta mabadiliko.
 
Waelezu naona mpo... mnaendelea kuitaabisha nchi kwa njaa na tamaa zenu za madaraka huku mkiwa hamna uwezo wa kuongoza wala ki utawala.

Hahahahahahaha
Walaghaika kumbe bado mpo!!!
 
Unamaanisha yule ambaye akienda shamba jumamosi inabidi kila mtu asimamishe gari lake mpaka apite?

Anayo mashamba mengi, unazungumzia lipi haswa!!!??? Hata akiwa Chalinze au Bagamoyo si lazima tusimame apite? Cha msingi I don't care iwe anaenda shamba au la maana ni masuala yake binafsi, what matters to me ni kwa jinsi gani anatumia angalau zile siku tano za wiki kuangalia masuala muhimu ya mustakabali wa taifa hili ambalo kwa sasa limejaa chuki, wizi, ufisadi, utapeli (kila siku tuna maofisa wa TISS fake, TRA, Polisi, Jeshi, Uhamiaji, you name all). Hapa sijaelezea mpasuko wa dini na ukabila katika angle zote za idara za serikali!!! take it from me!!! Ni kweli!!
 
kwa akili yako malezi ya familia ni kusomesha tu? hizi kweli ni akili za bavicha. kwanza hao watoto wamesomeshwa na CCM baada ya dr kutelekeza familia yake
Hakuwahi kutelekeza familia, na wanawe walikana na ndiyo maana mama yao alishindwa kesi!!!!!! Mama anatumika kisiasa wakati analala na kula CDM!!! Hakuna mahali watoto wake wamelalamika, tena wameshafuatwa sana na SSM ili wapokee chochote wamgeuke baba yao na walikataaa!!! Chezea weye!!Data zipo!!!! Elimu is everything!!! Ukiwa na brain utakuwa na muda hata wa kufikiri jambo!!! Kama ulipata Pass unategemea nini!!!! Chezea Dr. Slaa weye!!
 
Anayo mashamba mengi, unazungumzia lipi haswa!!!??? Hata akiwa Chalinze au Bagamoyo si lazima tusimame apite? Cha msingi I don't care iwe anaenda shamba au la maana ni masuala yake binafsi, what matters to me ni kwa jinsi gani anatumia angalau zile siku tano za wiki kuangalia masuala muhimu ya mustakabali wa taifa hili ambalo kwa sasa limejaa chuki, wizi, ufisadi, utapeli (kila siku tuna maofisa wa TISS fake, TRA, Polisi, Jeshi, Uhamiaji, you name all). Hapa sijaelezea mpasuko wa dini na ukabila katika angle zote za idara za serikali!!! take it from me!!! Ni kweli!!

Sasa nani mjanja hapo? Yeye anayeamua wewe usihi vipi au wewe unayelalamika jinsi alivyoamua uishi?
 
Ndugu kila siku ukonaye hapa. Polisi, jeshi na usalama wa taifa, wewe na chama chako cha ccm mnavimiliki.

Umechukuwa hatuagani? kule USA haya mambo yenu ya umbea, uwongo, unafiki na uzandiki hayawashughulishi,

wewe endelea hapa jukwaani kueneza hizo fikra mgando.

mkuu, nimeuliza tu. haki ya ndoa hata huko Marekani wanaijua na ndo maana wanahalalisha mpaka ndoa ya jinsia moja. hivyo hata dr awaeleze tu ukweli kuwa huyo Josephine si mali yake na HATA Rose Kamili hakuwa mke wake bali ni kimada tu
 
I salute you my president
Dr. Wilbroad Slaa!!! Hata kama wataendelea kuchakachua but you have
fought for Tanzanians!! The World has seen it, and the true citizens of
this country have seen it too!! We love and cherish every moment you
stand up for Tanzanians. Long Live our brother.

Kha! eti mzinifu naye ni president! labda president wa wafuasi wa shetani kama wewe
 
Hakuwahi kutelekeza
familia, na wanawe walikana na ndiyo maana mama yao alishindwa
kesi!!!!!! Mama anatumika kisiasa wakati analala na kula CDM!!! Hakuna
mahali watoto wake wamelalamika, tena wameshafuatwa sana na SSM ili
wapokee chochote wamgeuke baba yao na walikataaa!!! Chezea weye!!Data
zipo!!!! Elimu is everything!!! Ukiwa na brain utakuwa na muda hata wa
kufikiri jambo!!! Kama ulipata Pass unategemea nini!!!! Chezea Dr. Slaa
weye!!

acha porojo wewe! dr slaa hajawahi kuwa na mke hata mahakama inajua hivyo. yeye mwendo wa kuwa na vimada na kuzaa watoto wa nje ya ndoa. huyu dr hajui ndoa inakuwaje wala utamu wa honeymoon haujui. na huyo Josephine atamtelekeza tu kwa maana huyu dr amelaaniwa
 
Tanzania tunu za
uongozi tunazo. CDM mkombozi na muibuzi wa tunu zilizotokomezwa na maccm
kupitia ufisadi na uroho wa madaraka kwa kupeana bila kujari nani
anaweza . Tanzania tuliyoijua inarudi 2015...athubutu mtu kuturudisha
nyuma ndo ajue yeye na familia yake tulivyonuia!

tatizo chama chenu kinaendekeza uongo, uzushi, unafiki na uzandiki
 
mkuu, nimeuliza tu. haki ya ndoa hata huko Marekani wanaijua na ndo maana wanahalalisha mpaka ndoa ya jinsia moja. hivyo hata dr awaeleze tu ukweli kuwa huyo Josephine si mali yake na HATA Rose Kamili hakuwa mke wake bali ni kimada tu
Wenzako wa buku 7 wapo wapi, naona upo pekee yako. Njaa bwanaa!!!
 
mkuu, nimeuliza tu. haki ya ndoa hata huko Marekani wanaijua na ndo maana wanahalalisha mpaka ndoa ya jinsia moja. hivyo hata dr awaeleze tu ukweli kuwa huyo Josephine si mali yake na HATA Rose Kamili hakuwa mke wake bali ni kimada tu

Ndugu, tunaendeshwa na vipaumbele, mwanadamu yeyote huweka vipaumbele.Ndoa na familia zinamahala pake.

Ndoa ya slaa nikwamanufaa yake kwa kiasi kikubwa, katika agenda zake hilo sio kipaumbele, maana kama ni bibie anayeubavuni aeleze nini?

Nakama unaona kwako linaumuhimu nenda maelezo kaeleze , kwetu matatizo ya jamii kwaujumla wake ndiyo

msingi wa kujifunza katika ziara ile.

kule USA haya mambo yenu ya umbea, uwongo, unafiki na uzandiki hayawashughulishi,

wewe endelea hapa jukwaani kueneza hizo fikra mgando.
 
acha porojo wewe! dr slaa hajawahi kuwa na mke hata mahakama inajua hivyo. yeye mwendo wa kuwa na vimada na kuzaa watoto wa nje ya ndoa. huyu dr hajui ndoa inakuwaje wala utamu wa honeymoon haujui. na huyo Josephine atamtelekeza tu kwa maana huyu dr amelaaniwa

Umeshafika peponi mungu kakuambia hivo? hapo kwenye redi.
 
ameshindwa kuongoza familia, atakuwaje mkombozi wa afrika? hii ni miujiza ya Mungu. eti mzinifu na mpora wake za watu naye awe mkombozi!

mtaweweseka sana nyie makuzi maccm doc wa ukweli anachapa kaz na tutampangisha magogon kwa miaka kumi ijayo.
 
Ndugu, tunaendeshwa na
vipaumbele, mwanadamu yeyote huweka vipaumbele.Ndoa na familia
zinamahala pake.

Ndoa ya slaa nikwamanufaa yake kwa kiasi kikubwa, katika agenda zake
hilo sio kipaumbele, maana kama ni bibie anayeubavuni aeleze nini?

Nakama unaona kwako linaumuhimu nenda maelezo kaeleze , kwetu
matatizo ya jamii kwaujumla wake ndiyo

msingi wa kujifunza katika ziara ile.

kule USA haya mambo yenu ya umbea, uwongo, unafiki na uzandiki
hayawashughulishi,

wewe endelea hapa jukwaani kueneza hizo fikra mgando.

kama anashindwa kuwa serious katika jambo la msingi kama ndoa. tumwaminije kumkabidhi nchi? by the way, sheria za kanisa la katoliki linaamini ndoa ndoa moja mke mmoja. naamini hakuna padre wala askofu atakayefungisha ndoa ya dr slaa na Josephine
 
Kuna mambo ambayo mtu unapaswa kuyafanya wakati unajenga CV na mambo ya kufanya baada ya kutimiza umri wa kustaafu.

Umri wa kustaafu sio wakati wa kujifunza mambo mapya, ni muda wa kutumia uzoefu ulioukusanya miaka mingi uliyoishi.

So what wewe Mburula? then ukikusanya unafanya nini? akili za kivivu za MaCCM hizo...Maishani ni kujifunza kila siku hadi siku mtu unakufa...
 
Back
Top Bottom