Ritz,
Utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na Taarifa
Sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na Wajapani nyumbani, pamoja na kuwa Dr Slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi Juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za Mama Slaa alipokuwa Japan basi. Isitoshe picha za safari ya Mama Slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye FB yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.
2. Ah! Kumbe ujenzi wa Hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda Kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya CCBRT mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, Hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) Afrika South of Sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika Ardhi tuliyopewa na Serikali ya JMT. Sasa hivi, tunajenga Hospitali kubwa ya Mama na Mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na Serikali. hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama CCBRT imepata cheti cha TRA, Kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia CCBRT. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!
Mkuu Pasco
Ni hayawani tu ndiye atakayekosa usingizi kwa ajili ya slaa; tatizo kinachoongelewa hapa sio hospitali au ushuru tatizo ni watu kutumia taasisi za kidini kukwepa kodi na kutumia misamaha ya kodi kwa matumizi yao binafsi; siku zote nategemea mwandishi wa habari aliyebobea kama wewe kuandika vitu vyenye utafiti wa kina; kauli kama hii angeitoa Mohamedi Mtoi; Molemo; Matola au Mwita Maranya nisingeshangaa sana wala nisingepoteza muda kuijibu; mkuu hilo neno unalolisubiri 2015 halipo ni rahisi sana kwa shoga/------ kupata mimba kuliko slaa kuwa raisi wa JMT; sasa kama uliwahi kusikia shoga kupata mimba basi hilo neno unalolisubiri litatimia!
huo ni udhaifu wa serikali gani katika kusimamia misamaha ya kodi inatumika ipasavyo?ipo chini ya chama gani tawala kama kinavyojiita?
nakutakia maisha marefu sana , ili uje uone shoga akijifungua .
Kamanda mbona unataka kulazimisha CCBRT siyo mali ya Dr.Slaa ameteuliwa tu mjumbe wa bodi.nimemuuliza alete sifa za CCBRT,wamekwepa kodi?,maisha ya kina mama,watoto wenye mtindio wa ubongo,fistula wanatibiwa pale!sasa kama Dr.Slaa ataanzisha hospital nyingine kuna ubaya gani?ana uzoefu wa huduma za jamii!!!kakaa kimya!JK kafanya nini?hana la kujibu
ritz,
utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na taarifa
sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na wajapani nyumbani, pamoja na kuwa dr slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za mama slaa alipokuwa japan basi. Isitoshe picha za safari ya mama slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye fb yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.
2. Ah! Kumbe ujenzi wa hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya ccbrt mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) afrika south of sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika ardhi tuliyopewa na serikali ya jmt. Sasa hivi, tunajenga hospitali kubwa ya mama na mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na serikali. Hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama ccbrt imepata cheti cha tra, kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? Ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia ccbrt. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!
Huyu alioandika haya eti nae anataka kugombea ubunge, teh teh teh.Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.
Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?
Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!
Bwana Ritz nenda kasome incime Tax act alafuburudi tena...
ndugu yangu hata uwaelimishe vp na ushahidi utoe hutoeleweka watu washampenda.......chongo wanaliita kengeza.......Nadhani hakuna anayepinga ili jambo la kujenga hospitali watu wanachapinga ukwepaji kodi.
Kwani ile meli iliyoshikwa na madawa ya kulevya huko Italy mmelipa kodi kwa TRA? Ni bora hao wanaokwepa kodi kwa ajili ya kujenga hospitali ambayo itawasaidia wananchi kuliko nyinyi na ile mizigo yenu waliyokamwatwa nayo akina Masongange
Kukwepa kulipa kodi ni kosa kubwa sana kisheria. Huyu mzee hana tofauti na akina mama Rwakatale wanaotumia kanisa vibaya huku akiuza madawa ya kulevya. Haiwezekani kuigeuza nyumba ya ibada ni pango la kupitishia magendo yake. Huyu ndie rais mtarajiwa wa makamanda! Mungu atuepushie hatari kubwa hii inayokuja na kuchafua taifa letu. Nilikuwa nasikia kuwa huyu mzee na wahaini wengine ndio waliokuwa wanasafirisha 'MALIASILI' zetu kinyemela kuzipeleka ulaya hasa ITALY na baadae wanaenda na kupewa vijimisaada kwa mgongo wa kanisa. Sasa naamini hazikuwa allegations ila ni ukweli mtupu.
Ritz,
Utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na Taarifa
Sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na Wajapani nyumbani, pamoja na kuwa Dr Slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi Juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za Mama Slaa alipokuwa Japan basi. Isitoshe picha za safari ya Mama Slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye FB yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.
2. Ah! Kumbe ujenzi wa Hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda Kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya CCBRT mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, Hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) Afrika South of Sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika Ardhi tuliyopewa na Serikali ya JMT. Sasa hivi, tunajenga Hospitali kubwa ya Mama na Mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na Serikali. hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama CCBRT imepata cheti cha TRA, Kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia CCBRT. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!
Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.H
Hivi kwenye mafundisho yako ya upadri, mkeo kumbe anaweza kuwa mama yako ? Nashkuru kwa kunifumbua ujinga huu.