magnificent
Senior Member
- Jun 25, 2011
- 110
- 16
Islamic fundamentalism km hii duh, hatari sana. nadhani ww ni mmoja wa member wa kikundi cha al shabab hapa bongo.Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana