Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Peoples..........................................
Power.............................................!
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama= Chama cha MABWEPANDE!!! limejaaa wivu hilooo!!
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

Nadhan wewe Hata Darasani ulifeli!! Kwa kawaida kama kitongoji Kina watu 100,000 na ukaitishwa Mkutano na Turn out ikawa watu 70,000, hii ni 70% ya wakazi wamehudhuria!! na kama mji kama Dar Kuna watu 4,000,000 na ukaitisha Mkutano wakaja watu 100,000 Kati ya Hii mikutano upi umevunja Historia? Simple mathematics!! Ukiangalia Mkutano wa dar turn over ni 4% na Kwingine ni 70%. Amka ndugu yangu usiwe bado umedose!! Bravo Malemo!!
 
Siyo lazima mpaka uone au uyashuhudie ndo utoe ushuhuda! Hata kwa kusikia na kufuatilia habari tu. Chama wa Gongo la Mboto huna jipya hapa! Katika medani za siasa hapa TZ kwa upinzani, CDM imepiga hatua kubwa sana! Usibdeze ukweli kwa sababu tu ya ushabiki na kupinga mambo yaliyo wazi kabisa!
 
Asante mkuu kwa kumpa darasa
 
chama Hizi ndio athari za kunywa mataputapu. Unashindwa kusoma hata kupapasa pia??

aHAAA haaaa mataputapu anakunywa molemo mimi nakunywa vitu vilivyopimwa na watalaam, serikali inajitahidi sana kuwapatia vitu vyenye afya kama chibuku

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkaguzi miminakuona wewe ni gamba.Vua gamba uvae gwanda
Nahisi ww ndo unamatatizo ukisoma vizuri hakuna sehem amesema haiwezi futika katika taifa. Ila kasema ni vigumu kufutika katika uzinduzi wa Operesheni Sangara. Ushabiki usikufumbe Macho
 
Picha hizi zinadhihirisha ni kiasi molemo na kundi lake walivyokuwa wachovu hivi niwaulize kwa mnaokaa Kilombero baada ya saa kazi ngumu za kujenga Taifa kuna social activities gani? Hii mikutano watu na wanatumia kama ni sehemu ya outing tu hata wiki mh. Mrema akienda kuhutubia watajitokeza tu hawana cha kufanya baada ya saa za kazi, si Lema alijaribu Dare salaam, alishindwa hata nyie wapambe mnaoipiga kelele mlikuwa mnashindwa kuhudhuria kwa sababu Dar baada ya saa za kazi ni kujirusha. Na kama sio propaganda na uwongo ni kitu gani huo idadi hiyo kwa molemo imekuwa ni historia kweli watu nyie mna vituko hebu niambieni idadi ya watu wa Kilombero .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
The challenge that CHADEMA HAS is "to protect the votes and the process of voting to make votes count". CCM has the ways of wining through "kura za MARUHANI". Am reading fron crowds in CHADEMA meetings around the country.
 
Zito si mhimu kwa sasa Chadema.Isitoshe anatumiwa na magamba.Ni bora aondoke kuliko kuendelea kupooza vita ya ukombozi. CDM tunayo majembe mengi tu kwa hiyo hawezi kuyumbishaCDM
zitto Kabwe kama kawaida hakuepo....
 
Siyo lazima mpaka uone au uyashuhudie ndo utoe ushuhuda! Hata kwa kusikia na kufuatilia habari tu. Chama wa Gongo la Mboto huna jipya hapa! Katika medani za siasa hapa TZ kwa upinzani, CDM imepiga hatua kubwa sana! Usibdeze ukweli kwa sababu tu ya ushabiki na kupinga mambo yaliyo wazi kabisa!

Kweli mmepiga hatua kubwa si chama kimeguka saccos? Ombeni na nyie angalau mwende shule mjifunze namna ya kupambanua mambo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
watu wanakwenda kusikiliza mipasho na vijenbe,hao hao ukiwaambia kesho kuna semina ya ujasiamari ili wajiajiri hutwaona wote wamelewa,wakiambiwa mipasho na matumaini ya uongo wanajazana.

Mkuu hii point yako naikubali ingawa mimi ni mwana CDM, ukitoa semina tena ya bure ya jinsi ya kujiajiri hutamuona mtu
 
Nadhan wewe Hata Darasani ulifeli!! Kwa kawaida kama kitongoji Kina watu 100,000 na ukaitishwa Mkutano na Turn out ikawa watu 70,000, hii ni 70% ya wakazi wamehudhuria!! na kama mji kama Dar Kuna watu 4,000,000 na ukaitisha Mkutano wakaja watu 100,000 Kati ya Hii mikutano upi umevunja Historia? Simple mathematics!! Ukiangalia Mkutano wa dar turn over ni 4% na Kwingine ni 70%. Amka ndugu yangu usiwe bado umedose!! Bravo Malemo!!

Tanzania darasa la saba hakuna kupasi wala kufeli kuna kuchaguliwa na kutokuchaguliwa ; hebu nipe idadi ya watu Kilombero nikufundishea namna ya kuanisha mambo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama,

Cha Majambazi eeh? Mijitu ya Chama Cha Mabwepande itaijua tu!

Hakika wewe unaonekana una IQ ya kuku haswa! Unapozungumzia idadi ya watu waliohudhuria inategemea idadi hiyo with reference to the same incidence at that particular area. Nakushangaa unapohusisha idadi ya watu zaidi ya milioni 40 walioko Tanzania na mahudhurio ya Kilombero! Je,Ulitaka watanzania wote waende Kilombero kwenye mkutano wa CDM ndiyo ukubali kwamba mkutano huo umeweka historia????????

Acha ubishi wa kipuuzi,ujingaujinga na ushabiki wa CCM: Chama Cha Majuha,Chama Cha Mafisadi,Chama Cha Majambazi na sasa Chama Cha Mabwepande. Hizo ndizo sifa cha Chama chako! Unatakiwa ujifunze kwamba katika dunia hii mahali popote na wakti wowote mtu hata kama ni adui yako akifanya vizuri jaribu kukubali na kumpongeza pale alipokuzidi maana haikugharimu chochote.

Bila shaka umenipata mhe.Chama.

Nipe idadi ya wakazi wa Kilombero hapo ndipo utajiona wewe ni chizi kiasi gani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Bado utaona chama ni kichanga kwani vipeperushi na bendera hakuna. Nawasihi viongozi wa CDM waliangalie hilo! Identity any where must be seen by eyes continuously ndio fikra ya kukipigia kura chama 2015 itajengeka ndani ya akili za watu. La sivyo kipande cha kanga na pilau basi kura zimekwenda.
 
Back
Top Bottom