Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Si unajua siasa za Tanzania? ni malumbano kwa kwenda mbele. 2010 imekaribia tutayasikia mengi sana!!
Lakini kumbuka huu ni mhimili wa tatu baada ya Bunge na serikali. Yaani habari.
Mimi nitafurahi kama kutakuwa na press conference kila siku maana huko tutapata mengi na vita ya panzi ni furaha ya nani???????
Wanao uhuru wa kusema na wasemee wapi ili watanzania wote tusikie kama tunavyojadili hapa? kwa vyovyote ni pale watakaposema na vyombo vya habari.