Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Inasikitisha kuona watu wenye uelewa wanakataa ukweli. Dr Slaa amejadili mambo kwa kuzingatia mantiki. Awe amechuja hajachuja alichosema kina Mantiki? Tatizo jamii yetu imejaa watu wenye fikra za "Kidaka Tonge". Kutafuna hakiwezi kimebakiza kudaka kile walichotafuna wengine.
 
jibu hoja, usitapetape! Jk amevunja katiba waziwazi kwa kutetea wezi na makosa ya jinai ya waziwazi kabisa!

makosa yasio hata na ushahidi,mshaambiwa escrow si pesa za umma mwenye ushahidi vinginevyo aweke hapa
 
tibaijuka out
maswi out
werema out
muhongo file pending
unamuwekaje pending huku akiendelea kuhudumu ofisi ya umma? Jk hakupaswa kuwa ikulu bali mtaani. Tunategemea rais awe mlinzi mkuu wa raslimali za umma na katiba ya nchi yetu. Lakini kwa jk mmh.
 
lumumba project wakisikia jina slaa wanatokwa povu wanakuja wanafukuzana tu
 
Inasikitisha kuona watu wenye uelewa wanakataa ukweli. Dr Slaa amejadili mambo kwa kuzingatia mantiki. Awe amechuja hajachuja alichosema kina Mantiki? Tatizo jamii yetu imejaa watu wenye fikra za "Kidaka Tonge". Kutafuna hakiwezi kimebakiza kudaka kile walichotafuna wengine.

slaa anatakiwa aseme,huyo ngaluma nani na ni ipi connection yake na escrow,sasa anapotubandikia majina hata haweki ushahidi maana yake anatuona wote vilaza hapa
 
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
How about time n date server nazo zitadanganya
 
TETESI:~kuna id's mpya zaidi 20 tutaziona humu,jukumu la id's hizo ni ku~kukrashi hoja zote zinazoonyesha kuupinga UKOO WA PANYA na VIWAVI JESHI
 
hizi sio sarakasi za mwanzo za slaa kujaribu ku capitalise matukio kwenye media tena kwa kutumia ushahidi fake,na daima huwa anafail kama kawaida

hivi sheria za nchi ukimdhihaki na kumkashfu au kumsingizia rais inasemaje?

je unajua namna ya kutrack email imetumwa kutoka wapi au mnabisha bila uelewa. by the way mtu mjinga hubisha hata asichokijua kwa kujiona anajua. ni vizuri mkipinga kwa vielelezo na si kujibu kwa kumwelezea mtu. pale hatumwangalii slaa bali kinachoangaliwa ni maneno anayoyatoa. hata wanaompinga jk hawampingi yeye ila matendo na maneno yake ndiyo yanayopingwa
 
mwenyekiti ameridhia serikali isijiuzulu
katibu ijiuzulu
what kind of people ?

ndugu, ili tuendelee 2nahitaji mawazo tofauti kutoka kwa watu tofauti, mmoja akitoa idea hii mwingine anatoa ile zinapimwa na 2nachagua the best. tatizo mmezoea ccm mmoja akisema ndo kasema! mnashindwa hata kuwashaur wakuu wenu kubadili baadhi ya mambo yenu ya kitamadun eti mnatumia mfumo wa mwl nyerere kuhu2bia wazee hata kwenye issue znazoitaji uchambuz wa hali ya juu! mngemshauri angalau angeenda kuongea na wanafunzi wa chuo kikuu! ahsante.
 
Slaa ni tatizo kubwa ndani ya nchi

Kweli ni tatizo kubwa sana kwa mafisadi na washirika wao kama wewe.Wananchi wamefunguka akili juu ya ufisadi unaotokea nchini kwetu.Tulieni iwaingie sawasawa
 
Hana jipya nI sehemu ya tatizo katika jamii yetu ya wasomi wasiotumia elimu walioipata kwa manufaa ya nchi. Kazi kupiga majungu tu na kufitinisha watu.
 
wanahangaika sana eti escrow iwatoe,utasikia mara,albert marwa,hujakaa sawa ,kibena bado hata hawajakupa ushahidi wanabandika jina jingine,sasa ni sijui ngalima.
wanatafuta kura kwa kutumia udanganyifu,wastage of time
inshort jk ameshindwa kuilinda katiba kama alivyoapa kuilinda mwaka 2010 pale uwanja wa uhuru.
 
Back
Top Bottom