mbona sisi waislam huku zanzibar twampa kura zetu zote maana tumechoka na hiki chama cha maescrow!!
vzr broo! ahsante sana! huyu "laisi" wao ndo si mzinzi? mmmh, maskini babu seyaaaaaaaaaaaaaa!
mbona sisi waislam huku zanzibar twampa kura zetu zote maana tumechoka na hiki chama cha maescrow!!
How about time n date server nazo zitadanganya
ingekuwa ccm ile ya zamani, jk angekipata kama kilichompata jumbe 1984.Hivi sisi Tanzania sijui tunaishi sayari ya Mars au ?????
Maana hatuna uwezo hata wa kujifunza kwa wenzetu.
Rais anaomba kuongea na wazee halafu anazomewa bado anashindwa kuona mapungufu yake??????
Halafu watu mnakaa hapa kushabikia upumbavu unaofanywa na serikali ya CCM!!!!
Huyu Tezi Dume anakiua chama chenu kwa ameona wana CCM wote ni mazuzu..
mbona Mbowe hamhoji ku2mia pesa za ruzuku kama saccos? MNAFIKI!Inasikitisha kuona
watu wenye uelewa wanakataa ukweli. Dr Slaa amejadili mambo kwa
kuzingatia mantiki. Awe amechuja hajachuja alichosema kina Mantiki?
Tatizo jamii yetu imejaa watu wenye fikra za "Kidaka Tonge". Kutafuna
hakiwezi kimebakiza kudaka kile walichotafuna wengine.
Hana jipya nI sehemu ya tatizo katika jamii yetu ya wasomi wasiotumia elimu walioipata kwa manufaa ya nchi. Kazi kupiga majungu tu na kufitinisha watu.
mbona Mbowe hamhoji ku2mia pesa za ruzuku kama saccos? MNAFIKI!
huna hoja! Jk amepotea jumla ameshindwa hata kuilinda katiba aliyoapa kuilinda.Slaa kaishiwa hana jipya, anasafiria nyota ya wenzake, amepotea.
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
Hao wasomi kina Prof.Muongo ndio wanajenga nchi kwa kudalalia rasilimali zetu!Kweli mmejitoa ufahamu.Hili la Escrow limewaigilia pabaya.
mbona Mbowe hamhoji ku2mia pesa za ruzuku kama saccos? MNAFIKI!
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
point less! Huna hoja zaidi ya mipasho!Kama biblia takatifu ilikushida leo hutuba ya rais wa jamuhuri ya tanzania utaweza wapi mini nakushahuri rudi kijiji kwenu ukamchambuwe baba yako maisha anayoishi kwa shida
jk kachuja zaidi na kupoteza mwelekeo kabisa, yaani rais mzima anaogopa mafisadi. Duh..
kama slaa hana chuki na mhongo atuambie nin kosa la mhongo!Msikilize Dr.Slaa live
ITV akiongelea sakata la Escrow na hotuba ya Kiwete.
Dr.Slaa, anamlaumu raisi Kikwete kwa kukosa uzalendo kwa jinsi
anavyoshughulikia sakata hili la Escrow na kumlaumu kwa kuvunja katiba.
Dr.Slaa amlaumu Kikwete kwa double standard.Yaani kumuondoa Tibaijuka
kazini na kumuweka kiporo Muhongo.Pia, amehoji utaratibu wa kumuweka
mwanasiasa kiporo.
Dr.Slaa anasema Kikwete anapuuza bunge na kwamba hivi sasa ni serikali
inayolisimamia bunge na si bunge linaisimamia serikali.
Dr.Slaa anasema Seth anastahili kuwa amekamatwa kwa kugushi nyaraka na
pia kutolipa kodi na kwamba raisi anafumbia macho.
Dr.Slaa anasema singasinga huyu ana uhusiano na Ikulu kwa muda mrefu na
ndio maana hachukuliwi hatua.
Pia,Dr.Slaa ameishaangaa polisi kupewa msaada wa fedha na singa singa.
Dr.Slaa pia anashangaa raisi kuwasiliana kwa email na mtuhumiwa mmoja na
huku mtuhumiwa huyo akimwita raisi "dear".
Dr.Slaa anungana na maaskofu katika mahubiri ya jana kuwa kwa sakata
hili la Esrow,hata raisi anapaswa kujiuzulu.
Dr.Slaa amemalizia kwa kusema hawana chuki binafsi na Muhongo wa
raisi.
haa haa, unajidanganya sema wewe humpi kwa ubaguzi wako. Siwezi mtetea jk kwa kuvunja katiba waziwazi eti kisa ni dini moja!wallahi.Wewe wacha porojo, padri mzinzi Waislaam hatumpi kura. Hilo ni wazi na ukweli.
hivi sheria za nchi ukimdhihaki na kumkashfu au kumsingizia rais inasemaje?
je unajua namna ya kutrack email imetumwa kutoka wapi au mnabisha bila uelewa. by the way mtu mjinga hubisha hata asichokijua kwa kujiona anajua. ni vizuri mkipinga kwa vielelezo na si kujibu kwa kumwelezea mtu. pale hatumwangalii slaa bali kinachoangaliwa ni maneno anayoyatoa. hata wanaompinga jk hawampingi yeye ila matendo na maneno yake ndiyo yanayopingwa
Slaa kaishiwa hana jipya, anasafiria nyota ya wenzake, amepotea.