nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Kujibu hoja za dr. Slaa kunahitaji umakini mkubwa sana, vinginevyo utaishia kutoa vihoja na porojo tu!
tatizo ni uelewa wako!kwa kuwa peke yako ndo unaangaliaga itv
TOka kwenye box ufungue uelewa wako, kiko wazi maridhiano aliyofanya mwenyekti kwa nafasi yake yuko sawa, lakni hoja ya Dr. Slaa kama mtendaji mkuu na msimamizi wa taratibu na sheria anafuata sheria, sio maridhiano. timu moja namba za uwanjani tofauti, very nice.
hivi huyo Slaa mbona hajiuzulu kwa uzinzi anaofanya? Watoto wake wote wamepatikana kwa njia ya uzinzi
Huyo babu Sola wa josefina , kazi yake ni kudandia mada za watu, hazijuwi kichwa wala miguu, yeye akisikia anadandia.
Kwisha kazi yake, akalee kijukuu alichobambikiwa na josefina.
mbona wote wamevaa gwanda?View attachment 213957
Ni ITV na sio Star TV
dk Slaa kudai kuwa serikali ya Kikwete ijiuzulu kuhusu sakata la escrow Nikutaka kupata sifa aonekane mtendaji.
Kiongozi wake ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mh mbowe aliridhia waziri mkuu asijiuzulu na kimsingi mh mbowe aliridhia serikali isijiuzulu
hve dk slaa mwenyekiti wako hajakupa briefing ya yaliojiri bungeni.
dk slaa yeye hawezi diplomasia wala kukompromise na ndio maana hawezi kuwa a national leader.
bunge liliazimia maazimio manane hv dk hukuyasoma?. nilitaraji ujikite ktk utekelezaji wa maazimio hayo na si kuongea kujiuzulu kwa serikali nzm ambapo mh mbowe alikubali bungeni kuwa lisitokee
chanzo itv
anamfanyaje mkuu? funguka zaidi
mwenyekiti ameridhia serikali isijiuzulu
katibu ijiuzulu
what kind of people ?
wapi? Dr. Slaa yuko vizuri, anaonyesha mapungufu yaliyoko kwenye hotuba ya rais jk, kama huelewi ni tatizo lako binafsi.Ni vema kupata mawazo ya kila mtu lakini mawazo mengine ata ukisoma uoni mtu alitaka kusema nini au kulenga nini. Hapo hapana cha kujifunza
Slaa ni tatizo kubwa ndani ya nchi
mama yupi?Huyu mama ni tatizo kubwa
Slaa ni tatizo kubwa ndani ya nchi
mbona wote wamevaa gwanda?
Kwani wewe mkuu unajua umepatikana kwa njia ipi¿hivi huyo Slaa mbona hajiuzulu kwa uzinzi anaofanya? Watoto wake wote wamepatikana kwa njia ya uzinzi