Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

Kwa mbali nauona ukomboz kwa wazalendo wa nchi hii ukitukarbia "EE MUNGU ZIDI KUTUSAIDIA"
 
Hvi Kyela nako kuna shida ya maji? Iweje chadema hiyo hiyo chini ya kamanda Mnyika inashindwa kuleta maji ubungo?

Walishindwa watawala kuleta maji hapa ubungo kwa muda wa miaka 53, itakuwa huyo mbunge wa upinzani? Fikiri kwanza ndugu.
 
Mkuu molemo Mungu akubariki sana kwa habari hii njema sana kwa sisi wanakyela , japokuwa sijapata lunch bado lakini kwa uzi huu nahisi kushiba mno ! Asante Dr Slaa kwa kuwarudishia wana kyela japo muda wako tu , ikumbukwe kwamba Dr slaa ni rais wa kyela , ALISHINDA KWA KISHINDO 2010 .

Maneno yako yamenibariki sana Kamanda Erythrocyte
 
Last edited by a moderator:
Iulize serikali yenu ya escrow inayoongoza Kinondoni. Hapa tunazungumzia serikali ya mji mdogo kyela ambayo inaongozwa na cdm!

Filipo asipokuelewa tena huyu basi akatambike!
 
Last edited by a moderator:
kila la heri rais wa awamu ya tano tanzania
watu kama wewe ni shida sana kueleweka; nimekuona kwenye uzi mwengine ukichangia kuwa rais mwaka huu kutoka ccm lazima awe mkirsto, lakini huku umekuja kivingine. hivi huu udini utawafikisha wapi?
hata kama ni hao wakirisito, wameongoza miaka mingapi na leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani? tena machofanya ni kuiba tu. mmeiba pesa za escrow kama vile mmeenda kuchota kwenye parokia. kuanzia viongozi wenu, waumini mpaka na kenki yenu. hapa unakuja na singo ya udini badala ya kiongozi muadilifu. hivi huko kwenye nyumba zenu za ibana mnafundishwa kuiba na kudhulumu?
 
Kwa hasizindue kwanza UBUNGO ambako ni Karibu anaenda mbali kote huko aanze kwanza ubungo ndiyo aende mikoani
 
Back
Top Bottom