Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Yaani kazi yako wewe ni kumchafua Dr wa ukweli Willibrod Slaa kwani maandiko yako yote ni kumlenga Dr Slaa tu hata ukiangalia avatar yako inadhihisha hilo. Take care!
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kuzindua visima sita vya maji katika jimbo la Kyela.

Akizungumza na wanahabari kiongozi wa Chadema Kyela na Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa Abraham Mwamanyaki amesema visima hivyo vimefufuliwa na Chadema mara tu baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa Vijiji na kufanikiwa kuongoza halmashauri ya mji wa Kyela.

Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na CCM yenye madiwani wengi walishindwa kufufua visima hivyo kwa madai hamna hela kutokana na ufisadi mkubwa uliopo ndani ya Halmashauri hiyo.

Dr Slaa amealikwa kuzindua visima hivyo kutokana na maombi ya wananchi wa Kyela ambao wana imani kubwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.
Mkuu Molemo kwani UKAWA tayari wana mgombea?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo kwani UKAWA tayari wana mgombea?

Kimbunga mbona hueleweki? Unachanganya maharage na mawe kaka!

Mimi nimemtangaza mgombea wa Ukawa hapa? Nimeeleza walichosema wananchi kwamba wanaamini Dr Slaa ndiye Rais ajaye.Kosa langu ni nini? Mimi ni mwandishi tu.
 
Last edited by a moderator:
Visima 6 ndio miradi ya maji? acheni utani hii nchi kubwa hata Sabodo aliwapa mtonyo wa visima 100. Watu wa Kyela kweli siku hizi ndio wamekuwa wepesi hivi, siamini kule wako vizuri na kukarabati visima sita ndio mudhalilishe hivi mkiwajengea barabara ya lami si ndio mtawavua na nguo kabisa.
 
mbona MWAKYEMBE na CHAMA CHAKAVU WAMESHINDWA HATA KUKARABATI KIMOJA TU ? SISI WANA KYELA TUNATAMBUA UWEZO WA CDM , WIKI 2 VISIMA 6 ! JE MIAKA MITANO ?
 
Ni vizuri umetambua kuwa ni kinyume cha sheria anayezindua miradi yote iliyotokana na serikali ni mwakilishi wa serikali.

Umeambiwa visima vilivyozinduliwa na CHADEMA sasa hayo ya serikali yanakujaje?
 
Visima 6 ndio miradi ya maji? acheni utani hii nchi kubwa hata Sabodo aliwapa mtonyo wa visima 100. Watu wa Kyela kweli siku hizi ndio wamekuwa wepesi hivi, siamini kule wako vizuri na kukarabati visima sita ndio mudhalilishe hivi mkiwajengea barabara ya lami si ndio mtawavua na nguo kabisa.

Mm ni mmoja kati ya familia nyingi zilizo kuwa zimeathirika kwa kukosa maji hapa Kyela Mbugani nyumbani kwangu!Tulikuwa tunaamka saa 8 usiku kwenda kutafuta maji!

CHADEMA ndani ya week maji kila sehemu yapo,naamka saa 1 asubuhi maji yapo na hakuna tena kuamka usiku na giza totoro

Kwa hili walilofanya CHADEMA ndani ya week wanastahili mno pongezi maana CCM liliwashinda kwa miaka

At least sasa tunafaidi ndoa zetu maana "Mama" hatuamki tena usiku wa mnene kutafuta maji tukiwaacha wake zetu vitandani
 
At least sasa tunafaidi ndoa zetu maana "Mama" hatuamki tena usiku wa mnene kutafuta maji tukiwaacha wake zetu vitandani[/QUOTE]. We malafyale wewe, mmekarabatiwa visima 6 mnataka mtu atoke Dar kuzindua mkijengewa bwawa si mtataka Mungu aje kuwazindulia.
 
Uzinduzi wa namna hii ni muhimu mno na hauna ubaya wowote sema kuna nukuu moja ya muhimu hukuiona "walikuwa wanaamka saa nane usiku kutafuta maji.....CCM wameshindwa kwa miaka". Hii ni zaidi ya kuzindua barabara, binadamu unaweza kuishi bila barabara hata shule au stendi au Machinga complex lakini 'UTAHITAJI MAJI KUISHI'.

Mwisho ukumbuke Mungu hadhiakiwi.....twendeleee

At least sasa tunafaidi ndoa zetu maana "Mama" hatuamki tena usiku wa mnene kutafuta maji tukiwaacha wake zetu vitandani
. We malafyale wewe, mmekarabatiwa visima 6 mnataka mtu atoke Dar kuzindua mkijengewa bwawa si mtataka Mungu aje kuwazindulia.[/QUOTE]
 
Km hela ya sabodo imeweza kuchimba visima 6 nawanakyela wakaondokana nashda y maji inamana wakichukua nchi,tz yote neema
 
hongera dr slaa nakumbuka enzi zile karatu ccm walisema maji karatu hakuna.uliposhda ubunge ukatuletea maji.hongera sna
 
Back
Top Bottom