Nsongola - mabunga
Senior Member
- Oct 7, 2014
- 140
- 43
Karatu ndiyo Jimbo pekee Tanzania ambalo shida ya maji ni historia.Kazi iliyofanywa na Dr Slaa.
dr.slaa ndo habari ya mjini
Karatu ndiyo Jimbo pekee Tanzania ambalo shida ya maji ni historia.Kazi iliyofanywa na Dr Slaa.
dr.slaa ndo habari ya mjini
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?
Imeshindwa kitambo sana , serikali mpya ya UKAWA inayotawala mji mdogo wa kyela haitaki kabisa ujinga huu .
Hiyo onjeni muone chadema imenifurahisha sana ! Asante kamanda kwa kibwagizo kikali .
Vipi kuhusu wizi wa Escrow ni Jokes au Serious?
Vipi kuhusu wizi wa Escrow ni Jokes au Serious?
....Hapa itakuwa Msoga wana shida ya maji ile mbaya mbuzi , mbwa na binadam kisima kimoja !!!
![]()
....Hapa itakuwa Msoga wana shida ya maji ile mbaya mbuzi , mbwa na binadam kisima kimoja !!!
![]()
Mkuu samahani naomba kuuliza.
Hivi hizi sifa mnazommwagia Slaa huwa ni jokes au mko Serious?