Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Amekuwa Mwigulu!?
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Hebu tuwekane sawa. Hivi halmashauri inaongozwa na wenyeviti wa mitaa? Wapi nafasi ya madiwani?
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?
Hvi Kyela nako kuna shida ya maji? Iweje chadema hiyo hiyo chini ya kamanda Mnyika inashindwa kuleta maji ubungo?
Chadema wameshindwa kuzindua miradi ya maji Ubungo kwenye shida ya maji wanaenda Kyela ambako hamna shida ya maji. Kyela hamna shida ya maji
Hvi Kyela nako kuna shida ya maji? Iweje chadema hiyo hiyo chini ya kamanda Mnyika inashindwa kuleta maji ubungo?
Kwani ni wapi serikali yenu imeweza kupeleka Maji? Au kwa vile unakaa Moshi unaenjoy mafanikio ya cdm ndio unadhani ni kila mahali? Tulieni tuwaoneshe kazi zinavyofanywa kwa vitendo!
Mkuu molemo Mungu akubariki sana kwa habari hii njema sana kwa sisi wanakyela , japokuwa sijapata lunch bado lakini kwa uzi huu nahisi kushiba mno ! Asante Dr Slaa kwa kuwarudishia wana kyela japo muda wako tu , ikumbukwe kwamba Dr slaa ni rais wa kyela , ALISHINDA KWA KISHINDO 2010 .Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kuzindua visima sita vya maji katika jimbo la Kyela.
Akizungumza na wanahabari kiongozi wa Chadema Kyela na Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa Abraham Mwamanyaki amesema visima hivyo vimefufuliwa na Chadema mara tu baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa Vijiji na kufanikiwa kuongoza halmashauri ya mji wa Kyela.
Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na CCM yenye madiwani wengi walishindwa kufufua visima hivyo kwa madai hamna hela kutokana na ufisadi mkubwa uliopo ndani ya Halmashauri hiyo.
Dr Slaa amealikwa kuzindua visima hivyo kutokana na maombi ya wananchi wa Kyela ambao wana imani kubwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
ni makubaliano yao,
tunamtaka Dk, sio hao waliokupa hela ujitoe akili na kutetea wanaonunua urais,
atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Asante kamanda tuwaimezi watu ukombozi upo karibuAsanteni Sana wana Kyela....Kwa wale wanaomtaka Mwakyembe Waambieni wambebe Kyela hamu mtaki tena.....
VIVA CHADEMA.
Kamfuata mama yako kyelaAtakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Kamfuata mama yako KyelaAtakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Mwakyembe yule mbunge wa treni na meli za dar es salaam ? Huku imebaki stori .Asanteni Sana wana Kyela....Kwa wale wanaomtaka Mwakyembe Waambieni wambebe Kyela hamu mtaki tena.....
VIVA CHADEMA.
Iulize serikali yenu ya escrow inayoongoza Kinondoni. Hapa tunazungumzia serikali ya mji mdogo kyela ambayo inaongozwa na cdm!
Big up CHADEMA,Dr. W.P.Slaa ndio rais wangu wa awamu ya tano. No one like him!