Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,482
- 286,930
Ni bahati kubwa sana kwa wana Kyela kutembelewa na mkombozi huyu , huyu mtu anatakiwa kila mahali kwenye nchi hii , Mungu amlinde sana .hongera dr slaa nakumbuka enzi zile karatu ccm walisema maji karatu hakuna.uliposhda ubunge ukatuletea maji.hongera sna