Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
Hebu tuwekane sawa. Hivi halmashauri inaongozwa na wenyeviti wa mitaa? Wapi nafasi ya madiwani?
....Serikali za Mitaa zinaongozwa na Chadema na hiyo ndo serikali madiwani chimangabu !!!!
Hebu tuwekane sawa. Hivi halmashauri inaongozwa na wenyeviti wa mitaa? Wapi nafasi ya madiwani?
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kuzindua visima sita vya maji katika jimbo la Kyela.
Akizungumza na wanahabari kiongozi wa Chadema Kyela na Mjumbecwa mkutano mkuu amesema visima hivyo vimefufuliwa na Chadema mara tu baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa Vijiji na kufanikiwa kuongoza halmashauri ya mji wa Kyela.
Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na CCM yenye madiwani wengi walishindwa kufufua visima hivyo kwa madai hamna hela kutokana na ufisadi mkubwa uliopo ndani ya Halmashauri hiyo.
Dr Slaa amealikwa kuzindua visima hivyo kutokana na maombi ya wananchi wa Kyela ambao wana imani kubwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.
Vile "vilivyojengwa" kwa pesa ya SABODO vinazinduliwa lini?
Nani Wile, labda rais wa wazinzi.
Huko mnajisumbua tu.
Dalili zakukata tamaa
Nani akata tamaa wakati chama langu liko madarakani? Mnaota na huyo kikongwe wenu
Mbona unatoka povu kama unajiamini tulia sindano ikuingie
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.