Nani Wile, labda rais wa wazinzi.
Povu la nini? Ukoo wa panya mwisho wake october mwaka huu
Nani Wile, labda rais wa wazinzi.
hii maana yake serikali imeshindwa kazi
Sina povu mkuu namhurumia babu slaa na uzee wake ndiyo anashtuka mzee wa failure upadri na urais pia mtamuua mzee wa watu
nchi inaendeshwa kama genge la mama lishe kazi wanayojua ni kuweka na kupasha viporo
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?
Unajua hata Ngombe akichinjwa wakati roho inatoka anarusha rusha miguu nilishasema huu moto nimpaka uchaguzi mkuu
Baada ya uchaguzi atakuwepo mh EL huyo msimchukulie poa poa kama JK mtakufa kibudu
Kumbe wewe ndio wale kundi la El pole sana maana kipindi hiki nikipindi cha Ukawa tuu
Mkuu ukawa ndiyo nini? Au ni kitu gani? Kwahiyo chadema umaarufu hakuna wameamua kujificha nyuma ya ukawa?
Hvi Kyela nako kuna shida ya maji? Iweje chadema hiyo hiyo chini ya kamanda Mnyika inashindwa kuleta maji ubungo?
Hvi Kyela nako kuna shida ya maji? Iweje chadema hiyo hiyo chini ya kamanda Mnyika inashindwa kuleta maji ubungo?
Hebu tuwekane sawa. Hivi halmashauri inaongozwa na wenyeviti wa mitaa? Wapi nafasi ya madiwani?
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?
ChabrumaHvi Kyela nako kuna shida ya maji? Iweje chadema hiyo hiyo chini ya kamanda Mnyika inashindwa kuleta maji ubungo?
Shirikisha ubongo siyo Makalio