Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

Hiyo inaitwa onjeni muone chadema ilivyo nzuri. CCM imeshika nchi hii miaka 35 maji bado tatizo ubungo...achana na vijiji pembezoni! Nayalivyo makorofi yanawatesa wanaubungo kwa sababu za ovyo kabisa.

Hivi mnafitini Mnyika ili mweke nani nafasi hiyo.....hata hamwezi kuona umuhimu wa Mnyika Bungeni?...Tusipokuwa macho ccm watajaza mazezeta bungeni!
 
acha slaa aanze kula mazoezi ya mwanzomwanzo kabla hajawa mkulu
 
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.

Hivi JK yeye anawake wangapi? maana mnachonga sana!!! kama sio kumi!! wooote hapo ikulu ni pendapenda!!! UKAWA ni safi!!
 
Kwa hasizindue kwanza UBUNGO ambako ni Karibu anaenda mbali kote huko aanze kwanza ubungo ndiyo aende mikoani

miaka 53 ya Uhuru kwann icho chama chako cha mafisadi kimeshindwa kuleta maji ya uhakika ubungo ndio iyoiyo ccm escrow inakuja kudai maji??? mlishindwa nn kuleta maji nyie maccm??? badala yake mmeleta ufisadi wa kila jina Mara rada,dowans,epa,meremeta,kagoda,buzwagi,Richmond,escrow nk.amelaaniwa yule awateteaye mafisadi ccm.
 
Bundi linawaandama CCM kila kona ya nchi... Yaani Mwakyembe na mshiko wote wa kubinafsisha bandari ya mtwara ameshindwa kusimamia uchaguzi jimboni kwake?... safi sana, kumbe si kila mahala fedha zinaweza kununua wapiga kura ....
 
Atakuwa anatafuta mke mwingine wa mtu kazi yake kuvizia wake za watu.

Kwani mama yako ameshapata mume?mwambie Dr Slaa huyo anakuja km vipi ajipitishe tu.
 
Kiongozi anayeaminika na wananchi walio wengi Tanzania ni Dr. Slaa, huyu Dr. ni rais mbadala wa watanzania
 
Thank u sana, hili sasa limetimia!!

unajua baada ya mtandao wa maji ya msaada kutoka DENMAK ( DANIDA ) kuuawa makUsudi watu wa kyela tulipata shida sana , sisi wanakijiji cha MBAKO tulitegemea kijimFEREJI dhaifu chenye kichocho kinachoitwa KANJELE , sasa hawa cdm ni kama vile wameletwa na MUNGU KUTUNUSURU .
 
Hiyo inaitwa onjeni muone chadema ilivyo nzuri. CCM imeshika nchi hii miaka 35 maji bado tatizo ubungo...achana na vijiji pembezoni! Nayalivyo makorofi yanawatesa wanaubungo kwa sababu za ovyo kabisa.

Hivi mnafitini Mnyika ili mweke nani nafasi hiyo.....hata hamwezi kuona umuhimu wa Mnyika Bungeni?...Tusipokuwa macho ccm watajaza mazezeta bungeni!
Mkuu, Le Mutuz ndiyo ana mpango wa kuichukua Ubungo!

Tanzania is the greatest nation in the world! Anything is possible!
 
Back
Top Bottom