Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Wao wakeshe JF sisi kwa wananchi na kupiga kazi tu...Hahahaa, PURESHA inapanda inashuka 🙂
Last edited by a moderator:
Wao wakeshe JF sisi kwa wananchi na kupiga kazi tu...Hahahaa, PURESHA inapanda inashuka 🙂
Wao wakeshe JF sisi kwa wananchi na kupiga kazi tu...
Mkuu Crashwise hata kwenye Mitandao wapo wachache sana lakini wana ID nyingi sana mods wakiziunganisha utaweza kukuta wapo watano tuuWao wakeshe JF sisi kwa wananchi na kupiga kazi tu...
Ndio maana Lemutuz alianza kweka defence before?????
Kipindi kama hichi Mrema alikuwa ameshatekezwa na CCM. Nafikiri hii PHD ya Dr anaitumia vizuri sana kusoma Nyakati na nini sisi wananchi tunahitaji. Sultani kikwete sasa hivi kachuja kuliko Mrema anabebwa na huo Urais wa Kupora kura tu.Crashwise,Hakika ni kweli Dr Slaa anaonekana ana mkakati mzito mwaka huu.Mkakati ambao ni wazi huenda ukakizika chama cha Mapinduzi.
Huwa ninajiuliza mbona Dr Slaa hachuji kisiasa? Ana bahati gani au ni Siri gani iliyoko nyuma ya mvuto wake.?
Anashindana na watoto wa Sutani Makamba(Januari Makamba) wakati anamzidi Januari na miaka 20 kwi! kwi! kwi! teh! teh! wakati wenzake wanasoma yeye alikuwa anakula burgerHuyo Lemutuz ndiye mtu wa kumpuuza kabisa.
Mzee anayekaribia miaka 60 lakini hekima haimo kabisa ndani yake.
Mkuu Mdau35 haitwi Mathayo D Mathayo jina Lake halisi ni Mathayo Cleopa Msuya alibadilisha jina kuficha Usultani wa kupeana vyeoJamani afike basi na huko kwa anayeitwa Mathayo D Mathayo mana kuna hali ngumu
Wao wakeshe JF sisi kwa wananchi na kupiga kazi tu...
Wao wakeshe JF sisi kwa wananchi na kupiga kazi tu...
Yule mama yake wa kambo wa LEMUTUZ atakuwa keshatia timu kutengeneza mambo,mama mchawi sana yule
Hii mbinu ya CDM imetulia,wahakikishe wanapita kijiji hadi kijiji kwenye majimbo yote yanayotawaliwa na maCCM (mwanga,Same magharibi na mashariki,moshi vijijini na Siha). Hii itasaidia 2015 kuyatwaa yote,
kuna takiwa utafiti kwa nn tulipoteza jimbo la moshi vijijini! huwa naamini siku zote tulishinda jimbo hili!!
Chadema Arusha na Kilimanjaro ndiko nyumbani bana.Hii mbinu ya CDM imetulia,wahakikishe wanapita kijiji hadi kijiji kwenye majimbo yote yanayotawaliwa na maCCM (mwanga,Same magharibi na mashariki,moshi vijijini na Siha). Hii itasaidia 2015 kuyatwaa yote,