Dr Slaa kutikisa Same Jumanne

Dr Slaa kutikisa Same Jumanne

Mchawi wake yupo sehemu inaitwa MSARANGA kule Kihurio. Unavuka ziwa Karamba, halafu unakwenda ndani kidogo kama unaelekea Mkundi ya Mnazi. Watu walisha wahi muona akigagula mtupu. Uongozi kaaaazi kweli kweli.

eeh! Akiwa mtupu? My foot. Sina imani na huyu age mate wa Le Mutuz
 
Aende hadio milimani huko asiishie huku mjini tu kule milimani ndio kuna kura sasa
 
anamwambia OCD aache kutumika na maccm,kushusha bendera ya chama na umbumbu wa kichwa!!Dr.ni nouma aisee!!simu yangu ya mchina nashindwa kuupload picha aisee!!
 
anatoa takwimu za elimu jinsi ilivyoshuka!!taida linatengeneza watu mbumbu tu..watoto wa kitanzania wanzidi kuwa maskini..hata sindano hatuwezi kutengeneza..daahh!!
 
Gogo la Choo,
kwa kweli wilaya ya same inasikitisha sana. Same ndiyo tunashika mkia mkoani kilimanjaro katika masuala ya elimu, afya, maji, kilimo, na mazingira. wananchi wana hamasa ya kutafuta maendeleo ila inachokosekana ni uongozi.
 
anamwambia OCD aache kutumika na maccm,kushusha bendera ya chama na umbumbu wa kichwa!!Dr.ni nouma aisee!!simu yangu ya mchina nashindwa kuupload picha aisee!!

Asante mkuu Gogo la choo kwa updates..Endelea kutujuza.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana...haya ndio mambo tunataka kusikia wakuu...CHADEMA bona mwaka huu wetu....
 
Tunamshukuru Dr. Slaa katika harakati hizi za M4C nchi nzima,kwani wananchi wamepata elimu ya uraia itakayowakomboa dhidi ya dhuluma,hila,uonevu na uzandiki unaofanywa na magamba. viva CHADEMA
 
Hongereni makamanda wa Hedaru, hakikisheni CCM inakuwa Chama cha Upinzani kuanzia katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2014. "NYIKA NA VOME"
 
Back
Top Bottom