]
kwani J.mushumbushi ana madaraka gani ya kitaifa CDM?
wana Same tunamuomba Dr.W.Slaa atembelee eneo la Chome ambako kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na mradi wa uchimbaji wa madini ya bauxite. tunaiomba Chadema iliangalie suala hili kwa umakini zaidi kwasababu mazingira ya msitu wa Shengena ambao ndiyo chanzo cha maji kwa wilaya nzima ya Same yanaathiriwa kwa kiasi kikubwa. athari za uharibifu huo wa mazingira umeanza kuonekana katika mto Saseni.
tunawaomba CHADEMA waliwasilishe tena suala hili BUNGENI, pamoja na kwa wanaharakati wa mazingira ndani na nje ya nchi. suala hili lilifika bungeni ambapo mbunge wa Same Mashariki, Mama Kilango Malecela alidai ana video zinazoonyesha uharibifu wa mazingira msitu wa Chome. WAZIRI MKUU alitoa amri bungeni kwamba uchimbaji wa bauxite usimamishwe, kitu ambacho kilifanyika. Muda mfupi baada ya kikao cha bunge kuisha, mwekezaji amekwenda baraza la mazingira na kupata barua ya kutengua agizo la Waziri Mkuu, na sasa hivi uchimbaji unaendelea kwa kasi ya kutisha.
Wananchi tunataka kujua huyu mwekezaji ametoa wapi kiburi cha kutengua amri na maagizo ya Waziri Mkuu? Je, kwanini Waziri Mkuu, Waziri wa Mazingira, pamoja na wabunge wa Same[Malecela, Mathayo] wote wamekaa kimya huku maisha ya wananchi yakiathirika kiasi hiki? Je, viongozi hao wamenunuliwa?? Serikali iko wapi? CCM iko wapi?
Kwasababu wabunge wa CCM wameshindwa kutusaidia wananchi wa Same sasa tunaomba msaada wa Chadema tuone na nyinyi mtatusaidia vipi.
nakala: Zitto, John Mnyika, Mikael P Aweda, Josephine, Molemo, Mwita Maranya, Edwin Mtei, MTENGETI, Nape Nnauye
Mmm, wengine wanaimba mgogoro, wengine wanapeta. Mambo hayo, 2015 tutajua mgogoro ni nini?
All the best kwa makamanda...Kiongozi Mkuu wa Upinzani Nchini ambaye ni Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Peter Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Hedaru-Same Jumanne tarehe 15 January 2013.
Mbali na kuhutubia mkutano wa hadhara Dr Slaa anatarajiwa pia kupokea wanachama wapya wa Chadema,kufungua ofisi za Chadema kata ya Hedaru na kuzindua matawi ya Chadema maeneo ya Hedaru,Makanya na Same.
Tayari mji wote wa Same na vitongoji vyake kuna gumzo kubwa kuhusu Ujio huo wa Dr Slaa ambaye anaonekana kama kiongozi aliyevuka vizingiti vingi vya mahasimu wake huku nyota yake ikizidi kung'aa kila siku kuelekea mwaka 2015
Kwa sasa Katibu Mkuu huyo amejichimbia mkoani Kilimanjaro akiongoza vikao vizito vya Sekretariati yake ikiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa ya kuimarisha chama chake kwa mwaka huu.
Crashwise,Hakika ni kweli Dr Slaa anaonekana ana mkakati mzito mwaka huu.Mkakati ambao ni wazi huenda ukakizika chama cha Mapinduzi.
Huwa ninajiuliza mbona Dr Slaa hachuji kisiasa? Ana bahati gani au ni Siri gani iliyoko nyuma ya mvuto wake.?
Ndio maana Lemutuz alianza kweka defence before?????
Hahahaa, PURESHA inapanda inashuka 🙂
Mkuu Communist watu wanaoimba migogoro na makundi ni mawakala wa Magamba wanaotumwa hapa JF kuchochea mambo ambayo hayapo.
Nimeshangaa kuna mtu mmoja anajiita mwanachadema anaitwa Tuko kaanza kuleta mambo ya CCM hapa eti Chadema ina makundi.
Wao wakipika majungu mtandaoni Dr Slaa yuko busy kuimarisha chama vijijini.
C.c Mwita Maranya, SEBM, Shardcole, Crashwise, Mungi, Ben Saanane.
Mkuu kamanda Molemo twende tu hivyo hivyo tutafika tu. Bahati nzuri Mungu anazidi kutujalia uwezo wa kuwatambua waliovaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.
Kiongozi wetu anazunguka mikoani, wilayani na kwenye kata kujenga na kuimarisha chama kuna watu wanajiita wanachadema wanashabikia operation chaos iliyoanzishwa na inaendelea kuendeshwa na ccm. Tukiwaonya kwamba kwa mienendo yao wanaonyesha si wenzetu wanakimbilia kulialia kwamba tunawachukia, namimi nawaambia tena kwamba wakijenga chama tutawaunga mkono lakini wakileta chokochoko za kuvuriga chama hatutapepesa macho tutawaambia ukweli hata kama hawaupendi kwakuwa huo ndio wajibu wetu.
Chadema kwanza personalities baadae!!
Kiongozi Mkuu wa Upinzani Nchini ambaye ni Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Peter Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Hedaru-Same Jumanne tarehe 15 January 2013.
Mbali na kuhutubia mkutano wa hadhara Dr Slaa anatarajiwa pia kupokea wanachama wapya wa Chadema,kufungua ofisi za Chadema kata ya Hedaru na kuzindua matawi ya Chadema maeneo ya Hedaru,Makanya na Same.
Tayari mji wote wa Same na vitongoji vyake kuna gumzo kubwa kuhusu Ujio huo wa Dr Slaa ambaye anaonekana kama kiongozi aliyevuka vizingiti vingi vya mahasimu wake huku nyota yake ikizidi kung'aa kila siku kuelekea mwaka 2015
Kwa sasa Katibu Mkuu huyo amejichimbia mkoani Kilimanjaro akiongoza vikao vizito vya Sekretariati yake ikiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa ya kuimarisha chama chake kwa mwaka huu.[/QUO
Kiongozi Mkuu wa Upinzani Nchini ambaye ni Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Peter Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Hedaru-Same Jumanne tarehe 15 January 2013.
Mbali na kuhutubia mkutano wa hadhara Dr Slaa anatarajiwa pia kupokea wanachama wapya wa Chadema,kufungua ofisi za Chadema kata ya Hedaru na kuzindua matawi ya Chadema maeneo ya Hedaru,Makanya na Same.
Tayari mji wote wa Same na vitongoji vyake kuna gumzo kubwa kuhusu Ujio huo wa Dr Slaa ambaye anaonekana kama kiongozi aliyevuka vizingiti vingi vya mahasimu wake huku nyota yake ikizidi kung'aa kila siku kuelekea mwaka 2015
Kwa sasa Katibu Mkuu huyo amejichimbia mkoani Kilimanjaro akiongoza vikao vizito vya Sekretariati yake ikiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa ya kuimarisha chama chake kwa mwaka huu.[/QUO haya naaende baba colin mtoto ameanza tambaa
Songa mbele Jembeeezzzzz!! eti sasa hivi wanaombea uzeeke haraka, ustaafu!
...na wameanzisha kitengo cha utabiri kwenye chama chao..."oooh Chadema itasambaratika 2012,Chadema itakufa kabla ya 2015"...aaa wapi!...BINADAMU WA KIKUSHUSHA MUNGU ANAKUINUA...watabiri wote watakufa,Chadema itabaki na itasonga-mbele kuwakombo watanzania...
Safi sana! Kwa hili lazima magamba waitishe kikao cha dharura huko Same ili wapange mikakati ya kuwarubuni wananchi kutojitokeza kwa wingi kwa kuwahonga lakini hawataweza kufanikiwa maana haya ni mapambano baina ya Mungu na Shetani na hakika lazima Mungu ashinde. Chezea nguvu ya UMMA weweee!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums