Dr.SLAA kumbe Kibaraka!

Mie nashangaa WaTz wanavyomshabikia Gadafi. wamesahau alivyowaua ndugu zetu kule Kagera miaka hiyo. anagekuwa anatupenda kama mlivyompenda angemwambia Idi AMIN sitakusaidia kuwapiga Maskini waTanzania na kuiharibu nchi yao na Uchumi wao. Hakufanya hivyo Gadafi alisaidia sisi kupigwa na tulipoteza Watu na Mali ambayo SIDE EFFECT yake inatutafuna hadi leo. Gadafi amekufa sababu ya KIBURI CHAKE. Alishindwa nini kukimbia nchi WaLibya walipomwambia Hawamtaki tangu 24/2/2011? Yeye alibaki kusema Wapinzani wangu Nitawafungulia MAGHALA YA SILAHA wafe wote! Matokeo yake amekuja kuuawawa kama Kibaka, Marais wenzake wa Afrika wakiwa wamefyata mkia. Hakuna aliyesimama kidete kuwapatanisha hao Walibya na kuwaambia Uzuri huu unaosemwa sasa wa Rais wao. Hata hivyo kama Binadamu sijafurahishwa na kifo cha Gadafi wala wananchi wake. mie nasema Mungu Amlaze Anapostahili! RIP GADAFI + YOUR OPPONENTS.
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...

???????????????????????????????????????????diot
 
Back
Top Bottom