Dr.SLAA kumbe Kibaraka!

sasa mtu anajiita greenstar unategemea ashabikie makamanda, huyu bwana ametumia masaburi kufikiri..
 
Ghaddafi anafahamika kua alikua Dikteta.
Unaweza kumsaport kua alitoa huduma mbalimbali bure hivyo ukampa credit zake nyingi tu kama huijui Libya,
Na labda umezoea hapa kwenu bongo kila kitu unalipia hata huduma muhimu, pamoja na kua unavipata kwa magumashi.
Lakini una uhakika kua hicho alichowapa Libya ndicho alichostahili kuwapa kutokana na uchumi wa Libya ulivyo?
Kumsifia Ghaddafi kwa aliyowafanyia Libya ni dalili kua Magamba yamekufilisi mawazo kiasi kwamba hata huduma muhimu ambazo ilitakiwa uzipate bure, wewe unaona ni sawa tu kuzilipia, hivyo nchi nyingine wanaozipata bure wanapendelewa.
Funguka mawazo, chukua mfano kidogo tu kua Tanzania katika kila mapato ya 20Unit, mnagawana na mafisadi 10 kwa 10,
Halafu libya mapato ya 100Units, Wananchi wachukue 30Units na Ghaddaf achukue 70Units, utasema wananchi wa Libya wasichukue hatua kwa kua wamepewa 30units tofauti na 10uliyopewa wewe?
Una uhakika hicho walichoachiwa wananchi wa Libya baada ya Ghaddaf kumega zake ni asilimia ngapi ya mapato yote ya nchi hiyo?
Ukiacha Uchumi na mambo ya Ufisadi alioufanya, unamtoa vipi Gaddaf katika masuala mazima ya kukiuka utu wa mtu kwa mauai aliyoyafanya?
Kama sababu za umasikini wa Tanzania ni pamoja na Vita tulivyopigana na Uganda ambapo yeye alikua dhidi yetu, leo amegeuka Mungu mtu kwa lipi hasa mpaka tumtetee?
Ya Ngoswe, .........!!!!!
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...

Eee Mola msamehe huyu mja wako kwani hajui alisemalo!

Kwa sala hiyo, kifuatacho sasa: Kakojoe ukalale.
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
Duh! kweli hii kali! NAPE awe Rais?
 
Wasikuonee gere dr.we ni urais na urais na wewe hivi kuna raha kama kua rais KAZA BUTI upate ulaji ili mambo yako yawe mwake hah...!!
Halafu mwambie mbowe yeye atagombea 2055 akuachie nafasi wewe aafu hata ukishindwa 2 015 usife moyo endelea kugombea
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...

Ulichosema hapa hakichatosha na wala si uthibitisho kuwa Dr Slaa ni kivuli cha mabepari. Aina hii ya 'reasoning' ni hatari sana! Ni njia mkato mno na inakufanya uwe mvivu wa kufikiri. Yaani, mtu akitofautina mawazo na mtazamo wako au wa watu wengine ni kibaraka? What awkward reasoning!
 
greenstar=nyota ya kijani=CCM COLOR

Sasa WEWE muhuni unaongea nini?
Kwan gadaf hakuisaidia uganda kuipiga tz?
Usaliti wa slaa uko wapi?
Usaliti wa membe hauuoni?
We ni pompopo mkubwa!
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...

Rep Power : 0 = Mr Zero every where
 
@greenstar, unaweza kutupatia maoni ya Dr Asha Rose Migiro kuhusu kifo cha Ghadaffi? Since you are very good kupata mtizamo/maoni ya watu mbalimbali tafadhali tupatie maoni ya huyo mama ili tuweze kuwan na defination sahihi ya neno 'kibaraka'.
 
Libya walimchoka Gaddafi, watanzania wameichoka CCM. Libya walihitaji kiongozi mwingine badala ya Gaddafi, watanzania wanahitaji chama kingine badala ya CCM. Waliompenda Gaddafi walipaswa kumwambia apishe mtu mwingine aiongoze Libya, wanaoipenda CCM wanapaswa kuiambia ikae pembeni ipishe chama kingine. Gaddafi angekaa pembeni mtu mwingine awaye yoyote angeweza chukua madaraka lakini sio Gaddafi na mauti yasingemkuta, Tz wameichoka CCM kwa hiyo mtu yoyote nje ya CCM anaweza kuongoza nchi hii. Umoja wa Afrika wangempenda Gaddafi wangemwambia ukweli wafanyacho kwa sasa Membe na wenzake ni unafiki tu. Hatuwezi kukwepa kwa sasa anayetaka uraisi, ubunge na udiwani ni lazima awe nje ya CCM. Gaddafi ameshindwa na umma hata CCM itashindwa na umma. Kulazimisha ushindi pale CCM inaposhindwa ina mwisho.
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...

ur so pathetic and ths post is crap...!
 
Ghaddafi anafahamika kua alikua Dikteta.
Unaweza kumsaport kua alitoa huduma mbalimbali bure hivyo ukampa credit zake nyingi tu kama huijui Libya,
Na labda umezoea hapa kwenu bongo kila kitu unalipia hata huduma muhimu, pamoja na kua unavipata kwa magumashi.
Lakini una uhakika kua hicho alichowapa Libya ndicho alichostahili kuwapa kutokana na uchumi wa Libya ulivyo?
Kumsifia Ghaddafi kwa aliyowafanyia Libya ni dalili kua Magamba yamekufilisi mawazo kiasi kwamba hata huduma muhimu ambazo ilitakiwa uzipate bure, wewe unaona ni sawa tu kuzilipia, hivyo nchi nyingine wanaozipata bure wanapendelewa.
Funguka mawazo, chukua mfano kidogo tu kua Tanzania katika kila mapato ya 20Unit, mnagawana na mafisadi 10 kwa 10,
Halafu libya mapato ya 100Units, Wananchi wachukue 30Units na Ghaddaf achukue 70Units, utasema wananchi wa Libya wasichukue hatua kwa kua wamepewa 30units tofauti na 10uliyopewa wewe?
Una uhakika hicho walichoachiwa wananchi wa Libya baada ya Ghaddaf kumega zake ni asilimia ngapi ya mapato yote ya nchi hiyo?
Ukiacha Uchumi na mambo ya Ufisadi alioufanya, unamtoa vipi Gaddaf katika masuala mazima ya kukiuka utu wa mtu kwa mauai aliyoyafanya?
Kama sababu za umasikini wa Tanzania ni pamoja na Vita tulivyopigana na Uganda ambapo yeye alikua dhidi yetu, leo amegeuka Mungu mtu kwa lipi hasa mpaka tumtetee?
Ya Ngoswe, .........!!!!!
..ni kweli mkuu. Nadhani watanzania wanamatatizo ya kifikra, uwezo wao wakufikiri ni mdogo haswa ktk mambo muhimu ya maendeleo. Na kwa mtaji huu TZ tusitegemee maendeleo au mabadiliko, kwani kizazi hiki ni waoga na wanapenda uchukulia mambo kwa historia kama vile CCM walivyokuwa wanatisha wapiga kura kwa kuonesha movie za mauaji ya rwanda. Na huu ndiyo mtaji wa CCM, nadhani solution ni kutengeneza masiha tu binafisi lakini siyo kuwafikiria watanzania,
 
Back
Top Bottom