Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Huo ni uoga na kutojikubali, mabadiliko hayaletwi kwa kujificha ficha ughaibuni, waje nyumbani wafanye mabadiliko yale wanayoyaona yanahitajika kufanyika, badala ya kuwa vivuli na kufanya mambo nyuma ya migongo ya watu, ma diaspora wote warudi nyumbani, tunahitaji utaalamu wao, na experience zao kujenga nchi yetu, wakija 500 na wakafanya mambo makubwa hapa nyumbani huoni itakua jambo lamaana?? sio lazima wote waajiriwe serikalini au wote wawe viongozi, hapana wanaweza fanya michango yao wakiwa kwenye sekta binafsi ikaeleweka..fimbo ya mbali haiui nyoka, watafanya vizuri zaidi wakiwa hapa kuliko huko..

Unaandika kama illiterate fulani asiyekua na exposure yoyote.

Naomba kwanza ufuatilie Kenya,Israel,India,China na Nigeria unimbie Diaspora wana mchango kiasi gani kwa mwaka ndiyo uje hapa na hizi rants zako.

Waliopo Ughaibuni watafanya kazi kwa ufanisi ikiwa serikali inaandaa mazingira rafiki

Leo nenda pale BRELA uniambie kuhusu Urasimu Mbaya uliopo wa kusajili Makampuni Kulinganisha na Rwanda au Kenya.

Fikiria nje ya Box
 
Magwanda wanahangaika kweli, hivi hako ka radio kakutangaza kweli? ni aibu, hako kanashika mkia Washington DC Radio rankings.

Source: WASHINGTON FM Radio Stations

Jionee mwenyewe! Poleni magwanda.
 
I thought wewe ni mzalendo na muelewa sana ila siku za karibuni umekuwa so light headed brother huna hoja na majibu ya kueleweka yaani umeingia kundi la wapayukaji per se!!!!!!!!

Wewe unamuita excellency ,wewe unalalamika the incumbent anasafiri sana na matumizi hayajulikani in a second minute unataka mtarajiwa asihojiwe!!!!!! Unakataa nini na una support nini????Umelewa siasa sasa,so sad brother!!!!

Mipasho ni hii unayoleta wewe,hujibu hoja ila unaleta justification ya kuiba mbuzi sababu wewe uliibiwa ng'ombe!!!!!! Is this how you reason????!!!!!

Tuanze na Incumbent Kwanza ambaye anatumia Tax payers money kabla hatujaenda kwingine.Unataka tusahau kumhoji Incumbent na ziara zake zaidi ya 357?Huoni logic hapo au ni ushabiki tu?Grow up brother!
 
Magwanda wanahangaika kweli, hivi hako ka radio kakutangaza kweli? ni aibu, hako kanashika mkia Washington DC Radio rankings.

Source: WASHINGTON FM Radio Stations

Jionee mwenyewe! Poleni magwanda.
Hawa wanafahamika kwa kukuza mambo, utasikia mkutano ulitema haswa kumbe walikua watu kadhaa tu, basi wanapiga picha pale penye watu wengi na kupost humu, ila in reality utakuta mkutano umedoda, hawa ndio chadema..uongo ni sifa kuu na matusi ni utamaduni wao
 
Magwanda wanahangaika kweli, hivi hako ka radio kakutangaza kweli? ni aibu, hako kanashika mkia Washington DC Radio rankings.

Source: WASHINGTON FM Radio Stations

Jionee mwenyewe! Poleni magwanda.

Ni lini ulishawahi kutoka nje ya Tanzania zaidi ya Mombasa na Somalia wewe?Hata Link uliyopewa haina faida kwako maana ina-sound kuwa so technical kwako.
 
Huyo balozi ataeshiriki kwenye hicho kituo atakuwa ni punguani mwingine.

Hata haya hamuoni? eti mahojiano na ubalozi? inahusu nini? kwani kaenda ziara ya Kiserikali huyo? si anajipeleka kuomba-omba huko.
 
Ni lini ulishawahi kutoka nje ya Tanzania zaidi ya Mombasa na Somalia wewe?Hata Link uliyopewa haina faida kwako maana ina-sound kuwa so technical kwako.

Kijana, nimeishi nje muda mrefu kuliko niliyoishi Tanzania, nimeishi nje ya Tanzania kabla hujazaliwa.

Tuambie hiyo link umekuta nini? wacha kubwabwaja.
 
Hawa wanafahamika kwa kukuza mambo, utasikia mkutano ulitema haswa kumbe walikua watu kadhaa tu, basi wanapiga picha pale penye watu wengi na kupost humu, ila in reality utakuta mkutano umedoda, hawa ndio chadema..uongo ni sifa kuu na matusi ni utamaduni wao

Sijawahi kuona fikra za kijinga kama hizi.Unasema hakuna watu wengi then unasema picha huchukuliwa sehemu zenye watu wengi.Hii ndiyo dawa ya ushabiki.
 
Kaingia uwanja wa Football wakasema kapokelewa kifalme, eti wanazuga watu wa uwanjani walienda kumpokea Slaa na mchumba.

Huyo mzee hata football anajuwa inavyochezwa kweli? Tanzania hatujamuona hata siku moja akienda kutazama soccer, huko kaenda kujipendekeza wanakuja kuzuwa "kapokelewa kifalme".

Hii migwanda imezowea uongo, unafik, ufataani, uzandik hakuna zaidi.

Leo wanapamba nyuzi utafikiri bonge la radio station kumbe hata Kibonde ana wasikilizaji wengi kuliko hako ka radio ka upinzani.
 
Unaandika kama illiterate fulani asiyekua na exposure yoyote.

Naomba kwanza ufuatilie Kenya,Israel,India,China na Nigeria unimbie Diaspora wana mchango kiasi gani kwa mwaka ndiyo uje hapa na hizi rants zako.

Waliopo Ughaibuni watafanya kazi kwa ufanisi ikiwa serikali inaandaa mazingira rafiki

Leo nenda pale BRELA uniambie kuhusu Urasimu Mbaya uliopo wa kusajili Makampuni Kulinganisha na Rwanda au Kenya.

Fikiria nje ya Box
hayo unayoyazungumza wewe yanadhihirisha bado una vichembe chembe vya uvivu na kusubiria kila kitu ufanyiwe, kama nani?? serikali si baba wala mama kukuandalia kila kitu, amani pekee ni fursa tosha ambayo itakufanya wewe ufanye utakalo mda wowote, nchi unazozitaja wewe hizo zote wanakosa haya tuliyonayo sisi, sisi tunamtaji mkubwa wa uhuru na kutoingiliwa, hakuna ubaguzi, hakuna kuvurugiwa mambo, hakuna mtu anayemzuia mtu kufanya jambo lolote, imebakia tu kwa kila mtu kujitahidi katika nafasi yake mwenyewe, Brela ilikua zamani ila mfumo umebadilika na mambo yanakwenda haraka kulinganisha na miaka ya nyuma, tukubali kwamba watanzania wengi sio aggressive na wanapenda kubweteka kutokana na malezi waliyopata miaka ya nyuma, ila fursa zipo na nafasi za kutajirika hapa nyumbani zipo, uvivu umewazidi hawa watu, muache kuwadanganya kua serikali inao wajibu wa kuwafanyia kila jambo, waelimisheni waache uvivu na kufanya kazi, mazingira hayaji yanatengenezwa na watu wenyewe, sasa kama watu ni wavivu serikali ianze kuwachapa ili kuwaamsha, you need to tell them the truth badala ya kuwadanganya kuwa mtawafanyia mambo ambayo in reality wao ndio wanatakiwa kuyafanya
 
Somali ni nje ya mipaka ya Tanzania.Unastahili kujivunia!

AlhamduliLllah, kama siyo robo tatu ya dunia basi ni dunia nzima kwani hakuna kontinenti ambalo sijalikanyaga dunia hii.

Hiyo Somalia uisemayo nimekwenda wakati wa Siad Barre sio sasa mlivyoimaliza.
 
mkuu, ahsante sana. Tatizo dr slaa amechanganya ya Kaisari na ya Mungu. kama angeamua kuwa padre kama alivyoanza na akaendelea kuwa hivyo hadi sasa, hizi pressure zinazomkumba sasa angeepukana nazo. huyu kibabu ana mwisho mbaya sana. wenzake wanamaliza na Mungu yeye anamaliza na shetani. na hakuna mwisho mbaya kama kumaliza na shetani
ama kweli ukimchukia mtu hata akifanyaje anaharibu. Dr slaa ndiye mkosefu hapa duniani ila Ndugai na wenzake aa hakuna shida. Pole Rais wangu mtalajiwa tuko pamoja wapenda mabadiriko.
 
Saanane acha kudharau watu kwa kadegree chako cha india kuna watu wana wamesoma na wanaweredi zaidi yako,utoto unakusumbua
 
Sijawahi kuona fikra za kijinga kama hizi.Unasema hakuna watu wengi then unasema picha huchukuliwa sehemu zenye watu wengi.Hii ndiyo dawa ya ushabiki.
Huwa mnanichekesha sana na picha zenu nyingi za uongo....
 
hayo unayoyazungumza wewe yanadhihirisha bado una vichembe chembe vya uvivu na kusubiria kila kitu ufanyiwe, kama nani?? serikali si baba wala mama kukuandalia kila kitu, amani pekee ni fursa tosha ambayo itakufanya wewe ufanye utakalo mda wowote, nchi unazozitaja wewe hizo zote wanakosa haya tuliyonayo sisi, sisi tunamtaji mkubwa wa uhuru na kutoingiliwa, hakuna ubaguzi, hakuna kuvurugiwa mambo, hakuna mtu anayemzuia mtu kufanya jambo lolote, imebakia tu kwa kila mtu kujitahidi katika nafasi yake mwenyewe, Brela ilikua zamani ila mfumo umebadilika na mambo yanakwenda haraka kulinganisha na miaka ya nyuma, tukubali kwamba watanzania wengi sio aggressive na wanapenda kubweteka kutokana na malezi waliyopata miaka ya nyuma, ila fursa zipo na nafasi za kutajirika hapa nyumbani zipo, uvivu umewazidi hawa watu, muache kuwadanganya kua serikali inao wajibu wa kuwafanyia kila jambo, waelimisheni waache uvivu na kufanya kazi, mazingira hayaji yanatengenezwa na watu wenyewe, sasa kama watu ni wavivu serikali ianze kuwachapa ili kuwaamsha, you need to tell them the truth badala ya kuwadanganya kuwa mtawafanyia mambo ambayo in reality wao ndio wanatakiwa kuyafanya

Wewe nawe, umeshindwa kufanya mwenyewe Tanzania ambapo kuna fursa zote unakwenda kuomba-omba wazungu, kwanza kumbuka hayuko huko kuwaombea msaada chaadema, yuko huko kuomba yeye na mchumba, zao wenyewe maana wamesema chadema haihusiki na gharama za safati zao. Cheza na mchumba wewe.

Hako ka radio mshapitia link kuona ranking yake lakini au mnakuja na porojo tu?

Wanawachezea akili misukule yao.
 
Saanane acha kudharau watu kwa kadegree chako cha india kuna watu wana wamesoma na wanaweredi zaidi yako,utoto unakusumbua
Mkuu yeye exposure yake ni India tu mkuu basi yeye ndio kasoma ulaya pekee humu
 
Balozi anasubiri kibali cha kwenda kwenye mahojiano kutoka lumumba street kwa Kanali Ze Dentist Kinana.

Huu ukimya ni dalili kuwa hawajafanikiwa kumuandalia ''possible questions and answers''! Usikute wanafanya mipango ya kimya kimya ya kupatiwa maswali ili balozi ajiandae mapema!

Wakati nasoma kuna wakati tulikuwa tunamuomba ''mwalimu'' atudokezee ''area of concentration'' hasa kwa yale masomo magumu, bila shaka ndicho balozi wetu anachofanya kabla ya kukubali au kukataa!

Mkuu! Yani wacha tu! Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema na ampe nguvu dhabiti Dr.W. Slaa
 
Last edited by a moderator:
Huyo balozi ataeshiriki kwenye hicho kituo atakuwa ni punguani mwingine.

Hata haya hamuoni? eti mahojiano na ubalozi? inahusu nini? kwani kaenda ziara ya Kiserikali huyo? si anajipeleka kuomba-omba huko.

Ni yupi mwenye akili timamu.mliye nae?

Kuna Ombaomba Mkubwa kumshinda Chief Mangungo?Nashangaa anakazana kuondoa ombaomba mjini kipindi alipokuja Obama ansahau yeye ni Ombaomba wa kiwango cha kimataifa.Anaidhalilisha nchi katika kiwango cha kimataifa.

Raia wanaoomba ndani ya nchi yao kwa watanzania wenzao wanawaondoa na kuwanyanyasa.Yeye anaomba hadi anahongwa suti.Hakuna fedheha kubwa zaidi ya hii
 
Back
Top Bottom