Hii sasa ni CHANGE na si CHENGE, ohh sorry, watu balaa, mzee wa kuanguka anapata hizi data kweli? ukiangalia mikutano ya DR Slaa kila mahali, Songea, Iringa, Mbeya, Arusha, Mara, Mwanza, Singida, kilimanjaro, kote ni balaaaa, watuuuuuuz, wengiiiiii, i don't know how to say it, in english Peopleez powerz.
JK anaona hizi picha kweli? Unaweza ukazimia puffffffffffffff....fffffffffffff, leteni maji, majii, where is DR Yahya, mpungeni upepo, hili ni jini, ooohhhh, call Dr Yahya, plse, puffffffffffffff....fffffffffff continue.
31 Oct Dr. Slaa nuru ya matumaini mapya.