msaragambo
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 127
- 17
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, wakipunga mikono kuashiria kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma, ambako alihutubia mkutano wa kampeni
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, katika mkutano wake wa kampeni, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma
PICHA ZA JUU kwa msaada wa JF member Mugumu
Dr Slaa Akimnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Tunduma (Border) chini: