Bungoloshe
Member
- Jan 2, 2014
- 13
- 3
Kafulila ana kinga ya Bunge kwanini Bunge limeshindwa walau kulaani hili? Au sheria inachagua pakufanya kazi? Endeleeni na kiburi cha madaraka lakini mtashika adabu.....
Lakini mkuu usisahau kuwa mweshimiwa Kafulila ameyasema hayo akiwa bungeni na pia kaendelea kuyasema akiwa nje ya bunge. Kwa hy nafikiri kinga yake inakomea ndani ya ukumbi wa bunge tu. Au hata akiwa nje ya bunge( mtaani ) bado anakuwa na hy kinga ya bunge?