Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,891
Mkuu unachanganya mambo! Hajazungumzia kinga ya bunge kwa mbunge. Amesema spika aliagiza shwala hilo kushughulikiwa na takukuru. Hivyo kisheria haliwezi tena kuulizwa mahakamani! Rudia tena Mkuu, hapa umekurupuka!
Mkuu, nadhani madhara ya division 5 yameanza kujitokeza so usichangae cause tutashuhudia mengi zaidi ya hili.