Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

hata kikwete nchi imemshinda tunasubiri amalize muda wake akalima huko kwao ukawa ndo sumu ya kuuwa ccm na vibaraka wake wote ukiwepo na wewe subirini 2015 mtasaga meno

Kusema kweli Kibabu siasa imemshinda, labda atafute dili jingine la utapeli, aendelee kula kwa ulaghai.
 
Ishu ya waziri mkuu na ya Kafulila tofauti kabisa,waziri mkuu alikuwa anakiuka haki za binadamu kama kiongozi wa serikali na ndio maana hata mahakama iliona ana kesi ya kujibu ishu ikaja kwenye uhalali wa watu waliofungua kesi
nenda kacheki afya huenda wewe ni mgonjwa wa akili hujui hata unachokiandika
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa kafulila??
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV alizungumzia kuwa Spika alishatoa maagizo la suala hilo kupelekwa takukuru na Mkaguzi Mkuu wa mahesabu. Suala siyo haki ya Mbunge tu bali kuwa suala liko chini ya maagizo ya bunge. Je kesi hii itaathiri maagizo ya mhimili huu au ni kutaka kugonganisha mihimili hii ya dola?
 
Dr.W.Slaa sio mtu wa maana kabisa! Hafai kuaminika kwa neno lolote linalotoka kinywani mwake.

Aliwahi kuapa kuwa atamtumikia MUNGU kupitia Upadri Maisha yake yote! Lakini akasaliti na sasa ni mwanasiasa Kanjanja!

Hiki kibabu kitu cha ukweli ambacho amewahi kusema ni salamu tu, maana hata jina kule karatu anajulikana kama "braza wile".
 
Last edited by a moderator:
kama humwogopi kwanini ukiona jina unaweweseka dr slaa ndo kiboko wa mafisadi ccm wote ni wahuni na washenzi wakubwa hawana jipya

Kwahiyo hiki kizee kikiropoka uongo wake watu wasiseme?
 
kama humwogopi kwanini ukiona jina unaweweseka dr slaa ndo kiboko wa mafisadi ccm wote ni wahuni na washenzi wakubwa hawana jipya

Nikiona jina, naweweseka kwa hofu kweli, naogopa asijekunichukulia mke wangu, maana hizo ndio zake!
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa kafulila??

Ishu ya waziri mkuu na ya Kafulila tofauti kabisa,waziri mkuu alikuwa anakiuka haki za binadamu kama kiongozi wa serikali na ndio maana hata mahakama iliona ana kesi ya kujibu ishu ikaja kwenye uhalali wa watu waliofungua kesi

Wewe Ghosryder ndiye uliye mnukuu vibaya Dr.Slaa, hakusema hicho utakacho watu waamini ni kweli.

Au labda utuambie chanzo chako cha matamko hayo uyasemayo humu JF.
ngofa yuko sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Hii haiondoi ukweli kwamba Slaa ameshatoka kwenye list ya wanasiasa makini.
Sikiliza tena alichoongea ndipo uje na kashfa zako hapa!

Toka huko MSALANI dada!! Wanaume tupo kibarazani!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unachanganya mambo! Hajazungumzia kinga ya bunge kwa mbunge. Amesema spika aliagiza shwala hilo kushughulikiwa na takukuru. Hivyo kisheria haliwezi tena kuulizwa mahakamani! Rudia tena Mkuu, hapa umekurupuka!

Mkuu Filipo, mi sijakurupuka, kibabu ndio kakurupuka, si unajua anaishi kwa matukio!
 
Last edited by a moderator:
"Kwa nyakati tofauti akiwa ndani ya Bunge na nje ya Bunge Mh. Kafulila alikuwa akitoa maneno ya kukashifu kampuni za Iptl na pap....."
Hiyo nje ya Bunge ndicho kigezo cha hiyo kesi ya madsi.
 
kwa hiyo kikwete akienda bungeni akatamka kuwa kuanzia kesho kamateni wamasai wote wasiotaka kwenda shule chinja, ni sawa na hiyo ya kafulila? wakati mwingine kama unahongwa kumwandama mtu fulani ni lazima wakati mwingine ujue unachoandika. umelipwa kumtukana slaa sasa unashindwa namna ya kuchagua matusi. coward and traitor

Hivi Mhe Kikwete ni mbunge wa jimbo gani? Hebu nikumbushe.
 
Hata Siku Moja Hututegemei Ukamsifia Dr W Slaa, Kwa Hiyo Tumekuzoea Upo Kazini.

Tena kwa malipo ya buku7 hawa inaonekana wapo tayari hata kugegedwa kwa ujira wowote,kweli kutojifaham kubaya unatumika kama mpira wa kiume.
 
Dr.W.Slaa sio mtu wa maana kabisa! Hafai kuaminika kwa neno lolote linalotoka kinywani mwake.Aliwahi kuapa kuwa atamtumikia MUNGU kupitia Upadri Maisha yake yote! Lakini akasaliti na sasa ni mwanasiasa Kanjanja!
Kiapo cha Kikwete akiwa ameshika Korani tukufu kilisemaje? Amefanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV alizungumzia kuwa Spika alishatoa maagizo la suala hilo kupelekwa takukuru na Mkaguzi Mkuu wa mahesabu. Suala siyo haki ya Mbunge tu bali kuwa suala liko chini ya maagizo ya bunge. Je kesi hii itaathiri maagizo ya mhimili huu au ni kutaka kugonganisha mihimili hii ya dola?

Kama swala hili lina maagizo ya mhimili mmoja wa dola (bunge) kwa nini Kafulila kutwa kucha alinadi nje ya bunge ikiwemo mikutanoni na kwenye vyombo vya habari?
 
Kama swala hili lina maagizo ya mhimili mmoja wa dola (bunge) kwa nini Kafulila kutwa kucha alinadi nje ya bunge ikiwemo mikutanoni na kwenye vyombo vya habari?
Nami nikuulize mbona Maswi hakuenda mahakamani?
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa kafulila??

ongeza elimu na ufahamu wako ili upunguze maswali yasiyo ya lazima. Hizo kesi ni tofauti kabisa!
Hukusikia juu ya PCCB kulifanyia kazi jambo hilo? Hata kama zimepelekwa CCM HQs tunataka waseme.
 
Back
Top Bottom