Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

Tena kwa malipo ya buku7 hawa inaonekana wapo tayari hata kugegedwa kwa ujira wowote,kweli kutojifaham kubaya unatumika kama mpira wa kiume.

Shughuli ya kugegeda imefanywa sana na mapadri mpaka papa kaomba radhi, kwa kuwa wewe ni shabiki wa damu wa Dr Slaa, nadhani uko katika nafasi nzuri ya kugegedwa kwani anayo experiance ya kutosha kwa kuwa ni padri.
 
Tatizo lenu Dr Slaa anapounguruma nchi nzima inatetemeka,huku Lumumba mkishindwa kujibu hoja na kuishia kuandika vihoja. copy to Msalani, Lizaboni,Ton Gwanco et all.
 
Slaa wa leo siyo yule wa 2011, huyu kabadilika sana.
Anakula pesa za ruzuku na mvivu wa kufikiri.
 
Kiapo cha Kikwete akiwa ameshika Korani tukufu kilisemaje? Amefanya nini?

Kikwete aliapa kuwatumikia watanzania na anafanya hivyo sasa, na juhudi zake zinaonekana kila mahali. BABU aliapa kumtumikia MUNGU kwa kuchunga kondoo zake lakini tamaa zake za mwili zikamzidi maarifa!
 
Tatizo lenu Dr Slaa anapounguruma nchi nzima inatetemeka,huku Lumumba mkishindwa kujibu hoja na kuishia kuandika vihoja. copy to Msalani, Lizaboni,Ton Gwanco et all.

Anaunguruma utapeli na ulaghai.
 
Tatizo lenu Dr Slaa anapounguruma nchi nzima inatetemeka,huku Lumumba mkishindwa kujibu hoja na kuishia kuandika vihoja. copy to Msalani, Lizaboni,Ton Gwanco et all.

Nchi itetemeke kwa ajili ya porojo za BABU Slaa?
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa kafulila??

Inawezekana hujuwi waziri mkuu alisema nini nakukumbusha "na Mimi nasema wapingwe" haya nimaelekezo Kwa polisi kupiga nikinyume na haki za binadamu Kafulila kahoji matumizi ya fedha Ilivyochukuliwa sasa hapa ambacho hujaelewa nini tumia akili kutafakali nasio makamasi
 
ongeza elimu na ufahamu wako ili upunguze maswali yasiyo ya lazima. Hizo kesi ni tofauti kabisa!
Hukusikia juu ya PCCB kulifanyia kazi jambo hilo? Hata kama zimepelekwa CCM HQs tunataka waseme.

Kama ziko huko, mbona mnazijadili nje ya bunge?
 
Unqulified prevelage
Ni lugha yakisheria ilomruhusu kafulila kuyaongea maneno hayo....
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa kafulila??

Mkuu kwenye yote aliongea Dr. Slaa hilo tu
 
Tatizo sio uongo ni uelewa, mf. Waliokwenda mahakamani kumshita P/Minister ni haki za binadam na wanaharakati. Ila mi , Dr. Slaa na watz tulichukizwa na kauli ovyo ya pinda na tukakemea kwa nguvu zote. Kwa sababu watz wakipigwa ni pamoja na mimi. Ila hao wezi waliotajwa na kafulila ni pamoja na wewe!!!! Kafulila kataja wezi, kazi iliyotakiwa kufuata na PCCB, POLICE NA USALAMA WA TAIFA, Kuchunguza kadhia hiyo. Kwani huenda km kuna ukweli basi ni watanzania wote wameibiwa. HIVYO HATUNA HAJA YA KUFANANISHA UROPOKAJI WA PINDA NA KAFULILA ANAEFICHUA MAFISADI.
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa kafulila??

Jukwaa lakatiba lilitaka mahakama itoe tafsiri ya katiba kuhusu haki za raia zikikiukwa bungeni na mtendaji mkuu wa serikali. Mbunge! bado kinga ya bunge ipo mbunge anapotoa habari za ukweli bungeni au zinazohitaji uchunguzi. Kazi ya mbunge ni kohoji, kuchangia, kurekebisha, kuonya na kukemea.

Kafulila alisema Esrow imeibwa TSHB 200, na akasema anaushahidi. Inabidi bunge liunde kamati ya kimahakama kuchunguza.

Badala ya kuhangaika na kafulila ambaye mtasumbuana mahakamani kwa kinga za Kibunge. Dr Slaa kasema sio 200B bali ni 400B na akaweka na jinsi mlivyokuwa mnagawana. Dr Slaa hana kinga ya bunge, mchukueni mumpeleke kisutu au waambie hao mliowaagizia kwa Kafulila waende kwa Dr Slaa mwenye mpaka account za mgawo wa fedha za wizi mlizovyozigawa.

Haki haigopi mahakama, jela wala kifo. Ukiwa na watu nyuma yako unaushindi. Hamuwezi kuiba na kututisha na mahakama. Keki ya taifa ni yetu wote lazima igawiwe kwa haki.
 
Dr.W.Slaa sio mtu wa maana kabisa! Hafai kuaminika kwa neno lolote linalotoka kinywani mwake.

Aliwahi kuapa kuwa atamtumikia MUNGU kupitia Upadri Maisha yake yote! Lakini akasaliti na sasa ni mwanasiasa Kanjanja!
Upuuzi mtupuuu! Nadhani hapa siyo MAHALA PAKO. Rejea CHOONI ulikotoka ukasaidiane na INZI WENZIO KUKURUPUKIA MADA AMBAYO HAUJAICHAUATA IPASAVYO KICHWANI MWAKO.
 
Last edited by a moderator:
Nchi itetemeke kwa ajili ya porojo za BABU Slaa?

Namwona kinana anapiga simu kuwaamsha buku saba wote wawahi mitandaoni, kila akikohoa lumumba wote mnajamba kwa hofa-chezea Dr Slaa wewe utasoma namba.
 
Siasa bwana yaani anapanda kizimbani hivi hivi.. kesi mwaka mmoja wakati jimboni mwake wanakua wapanga kumpindua yeye atakuwa mahakamani... sitaki siasa aslan
 
Jukwaa lakatiba lilitaka mahakama itoe tafsiri ya katiba kuhusu haki za raia zikikiukwa bungeni na mtendaji mkuu wa serikali. Mbunge! bado kinga ya bunge ipo mbunge anapotoa habari za ukweli bungeni au zinazohitaji uchunguzi. Kazi ya mbunge ni kohoji, kuchangia, kurekebisha, kuonya na kukemea.

Kafulila alisema Esrow imeibwa TSHB 200, na akasema anaushahidi. Inabidi bunge liunde kamati ya kimahakama kuchunguza.

Badala ya kuhangaika na kafulila ambaye mtasumbuana mahakamani kwa kinga za Kibunge. Dr Slaa kasema sio 200B bali ni 400B na akaweka na jinsi mlivyokuwa mnagawana. Dr Slaa hana kinga ya bunge, mchukueni mumpeleke kisutu au waambie hao mliowaagizia kwa Kafulila waende kwa Dr Slaa mwenye mpaka account za mgawo wa fedha za wizi mlizovyozigawa.

Haki haigopi mahakama, jela wala kifo. Ukiwa na watu nyuma yako unaushindi. Hamuwezi kuiba na kututisha na mahakama. Keki ya taifa ni yetu wote lazima igawiwe kwa haki.

Slaa ni "case maniac" nani ampeleke mahakamani!
 
Back
Top Bottom