Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa Kafulila??