Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

Kwani UKAWA ndio ujinga gani? Hata wasiporudi bungeni haijalishi, kwanza hawajasajiliwa kwa shughuli zozote za kisiasa ni genge la wahuni tu.

Aliekuambiwa ukawa wanafanya shughuli za siasa nani?
 
Slaa ni tapeli wa kisiasa na mpiga debe wa saccos.

Kweli mwenyekiti wenu alisema mna mapepo mkaombewe,ona sasa kusikia jina la Dr Slaa mapepo yamewapanda mnaropoka ovyo tuu.kweli ukitaka mapepo ya miccm ipande tamka Dr Slaa hahahaaa!!!!
 
Aliekuambiwa ukawa wanafanya shughuli za siasa nani?

Wewe una majini. Inakuwaje unajitoa akili kiasi hiki? Watu kutwa kucha wako kwenye majukwa wanahutubia siasa we unajifanya mwehu! Astaghfirulaa! Kweli ukiwa msukule ni shida.
 
sisiyem mnayo kazi na inawezekana hakuna majina ya wanasiasa nchi hii yanayowakosesha raha ikiwezekana hata kulala hamuwezi kulala mkisikia Dr. W.SLAA& MBOWE. Wala hatuhitaji muwape Kongole kwa Kuwa misimbo yao hamuwezi kuisimbua . Mnakesha kwa kulipwa ujira mkia wa mbuzi alafu mnajiona wajanja kumbe hamnazo that's why mmeajiriwa kutusi Watu kwenye social network. Shame on you all.

wewe ndio hata hueleweki! Sijui umebugia machalari,mbege, viroba na gongo! We kwako unaona hao ndio wanasiasa wa maana kweli!
 
Aliwahi kuapa kuwa atamtumikia MUNGU kupitia Upadri Maisha yake yote! Lakini akasaliti na sasa ni mwanasiasa Kanjanja!
wewe unakuwa kama shoga yako Shoza, kila siku hoja hizo hizo!! hivi hamna uwezo wa kutunga zingine hata kama ni za kuipondea CDM lakini zikavutia wasomaji walau kidogo!!
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa Kafulila??

Waongo ni hao hapo umekaa nao lumumba mnapiga Majungu tu
 
Hukumwelewa Dr. Slaa,jaribu kutofautisha suala la Kafulila na waziri Mkuu Pinda.Matusi ya nini ukubwani?
 
Dr.W.Slaa sio mtu wa maana kabisa! Hafai kuaminika kwa neno lolote linalotoka kinywani mwake.

Aliwahi kuapa kuwa atamtumikia MUNGU kupitia Upadri Maisha yake yote! Lakini akasaliti na sasa ni mwanasiasa Kanjanja!
Kaka sio hivyo tu, aliwahi kulidanganya kanisa kuwa yeye ni mtumishi mwema huku anaendelea na mchepuko na kutumia sadaka kumnunulia/kumjengea nyumba na matrekta ya biashara mpaka alipoona aibu ndo akachepuka kabisa. Pili alipochepukia kwa mtalaka wake si alimuahidi ataishi naye milele labda kifo kiwatenganishe, na sasa kamuacha na kuhamia kwa mchepuko mwingine eti "mchumba" . Haaminiki hata kidogo. Tena alipotakiwa kugombea urais na akajua kuwa ataukosa ubunge si alitoa sharti la kulipwa mshahara wa mbune, halafu anadai anataka kuwatumikia wadanganyika, hapo unamwamini vp wkt hata uzalendo hana
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa Kafulila??

Kuna mawili, inawezekana hukumweleqa Dr. Slaa alichosema, au umepotoshwa na vyombo vya habari. Mi nilikuwepo kwenye huo mkutano wake, alisema kuwa, anashangazwa na waliomshitaki Kafulila wakati wakijua kuwa tayari suala hilo liko Bungeni na Spika Makinda ameshaagiza PCCB na CAG wahunguze.
 
Nimemcheki ITV leo asubuhi anabwabwaja hadi anatia huruma...
Mnafki sana huyo mzee kasema kafulila ni mbunge wao.... nilikua hotelini nakunywa chai wateja karibia wote wamebaki vinywa wazi kwa kuangua vicheko na kwa hiyo kauli ya babu slaa...
Nawahurumia sana wafuasi wa hicho chama kwa kuongozwa na vichwa panzi kama hao.

asubuhi yote hiyo ulishalipwa buku 7? Mbona umeingia hotelini mapema sana?
 
Mkuu unapata shida tupu, unakazana kumtetea mzinifu, aliyekula kondoo wa bwana, mwizi wa wake za watu, na mla ruzuku za chama, sasa sijui nani mwenye pepo! Mimi au Slaa na wewe!?

Rudisheni pesa za Escrow tu,hizi mboyoyo haziwasaidii! Kuhusu bunge la katiba kubalini kushindwa tu,Wananchi ambao ndio wenye mamlaka ya mwisho hamuwezi kushindana nao mkabaki salama,kubalini tu na muheshimu mawazo ya wananchi kupitia rasmu halali ya katiba iliyowasilishwa na Mh Warioba
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa Kafulila??

naona umekuja na id mpya.
 
wananchi gani wamemtuma Slaa kuhusu rasimu ya katiba? Kama sio kiherehere na kuwaza tamaa ya madaraka tu. Mtu hana jimbo analowakilisha ni lini alikaa na wananchi na wapi na kwa sababu gani walimtuma? Mtu anawaza saccos tu huyo.
 
Yaani unasema unashangazwa na kitendo cha Mh Kafulila kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa bungeni kuhusu fedha za account ya ESCROW, kwa kudai kuwa wakati akisema hao,aliongelea ndani ya bunge hivyo anastahili kinga ya bunge, vipi mh waziri mkuu mlivyomshikia kidedea kwa kauli alizotoa bungeni, kwani yeye sio mbunge? Iweje unashangazwa na kushitakiwa Kafulila??

WE JAMAA VIPI ? KWANI HUJUI KWAMBA KAULI ya WAZIRI MKUU NI KAULI YA SERIKALI , BILA KUJALI ALIPOIONGELEA ?
 
Mkuu, unajua maana ya uchochezi? Alichokisema Kafulila ni uchochezi, maana anawafanya watu washikwe na hasira kwa kudhani wameibiwa fedha zao. Ni wa kuogopwa kama ukimwi.

nyie vijana wa ccm sijui mnafaidikaje na wizi huu maana mnatumia nguvu nyingi kutetea ujambazi huu. hata wakati ule wa EPA philipo malmo alisema Dr slaa ni mchochezi na alistahili kukamatwa na kushtakiwa. kuna aliye mshitaki ? kwenye richmond na buzwagi akina zitto walisimamishwa bungeni nini kilichotokea? na hii ya ESCROW ccm wanakimbilia mahakani ili kuziba watu midomo wasiongee. lakini mwaka huu lazima ccm mvae chupi kichwani. jana dr slaa na yeye alilisema kama mna jeuli nendeni mmkamate mpeleke mahakamani, yaani mwaka huu mtaaibika sana. ccm mmezoea ikifika uchguzi mnaiba hela ya kwenda kuhonga
 
Tatizo lenu chagadema ni kuongezea ulaghai katika kila jambo. Ni wapi alisema ,"ikiwezekana polisi waue"? Usijikombo kwa wenye saccos.

Lazima useme hivi kwa sababu huna nia njema na nchi yetu.
 
Back
Top Bottom