Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
Lakini haukuhudhuria msiba wa mama zzk, hii yote kama mama yake zzk asingekuwa muislam, ama andekuwa mkristo, basi dr.slaa ungeenda, maana dr.slaa wewe ni mdini sana, na kila ufanyapo mikutano, huwa unaongelea dini ya kikristo tu, hii inaonesha huna upendo na dini ya kiislam, nakumbuka kuna siku ulikuja iringa viwanja vya mwembetogwa mwaka jana mwezi wa nne, ulitoa mfano kwa kusema, "sisi wakristo" tena mbele ya umati wa watu na kusahau kuwa pale kuna waislam wengi tu, sasa hii slaa nadhani wewe ni mnafiki wa kukejeri dini ya kiislamu
 
Lakini haukuhudhuria msiba wa mama zzk, hii yote kama mama yake zzk asingekuwa muislam, ama andekuwa mkristo, basi dr.slaa ungeenda, maana dr.slaa wewe ni mdini sana, na kila ufanyapo mikutano, huwa unaongelea dini ya kikristo tu, hii inaonesha huna upendo na dini ya kiislam, nakumbuka kuna siku ulikuja iringa viwanja vya mwembetogwa mwaka jana mwezi wa nne, ulitoa mfano kwa kusema, "sisi wakristo" tena mbele ya umati wa watu na kusahau kuwa pale kuna waislam wengi tu, sasa hii slaa nadhani wewe ni mnafiki wa kukejeri dini ya kiislamu

Mbona kikwete anatoaga mfano sisi Waislam?hatuna tabia ya kukana dini yetu
 
... Nawe pia nakutakia sikukuu yenye amani, furaha, zaha na Baraka tele za Allah S.W.T... Pamoja sana ndugu yangu, ni naamini kuwa dhulma ya kuwanyima Watoto wa Kiislam haki ya Elimu na kuundiwa BAKWATA itafika kikomo pindi CCM watakapo ng'olewa madarani ...
Hii michango nyenu imeonyesha ukomavu unao akisi mafundisho mema ya dini.

Mwenyezi Mungu awabariki nyinyi na familia zenu katika kipindi hiki cha sikukuu ya Eid.

Kila jema na lenye kheri lisiaponyoke.
 
Hakuna jipya hapo drama za Chadema tu.
 
Hakuna jipya hapo drama za Chadema tu.
Kafiri wewe kila mahali unawaka siasa hukui tuu au kwa sababu ya fadhila za kisiasa unazopata/ulizopata.Siasa si kila mahali hata ckukuu kama hizi unataka zimilikiwe na chama chako!Utakuwa lini.
 
Kwenye chama hawawataki, salam za nini?

Nazidi kupata data tu za jinsi mashabiki wa CCM mlivyo wajinga,yaani umeshindwa hata kuficha viwango vyako cha ujinga na chuki?nashindwa kupata picha jinsi mlivyopandikizwa roho ya chuki hata kwa mambo ya kiroho.asingetoa salaam za idd mgesema,ametoa mmesema. wewe mtu wewe,siasa zako za chuki zitakupeleka jehanam wewe, CCM kitu gani wewe?Acha kabisa kupandikiza chuki baina ya waislam na wakristu kwa kuihusisha Chadema.Wewe na mimi tutakufa tu na tutaacha vyama hapa duniani.lakini chuki unayopandikiza itatesa hadi vitukuu vyako kama utabahatika kuwa navyo.
 
ﻭَﺩَّ ﻛَﺜِﻴﺮٌ ﻣِﻦْ ﺃَﻫْﻞِ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏِ ﻟَﻮْ ﻳَﺮُﺩُّﻭﻧَﻜُﻢْ ﻣِﻦْ ﺑَﻌْﺪِ ﺇِﻳﻤَﺎﻧِﻜُﻢْ ﻛُﻔَّﺎﺭًﺍ ﺣَﺴَﺪًﺍ ﻣِﻦْ ﻋِﻨْﺪِ ﺃَﻧْﻔُﺴِﻬِﻢْ ﻣِﻦْ ﺑَﻌْﺪِ ﻣَﺎ ﺗَﺒَﻴَّﻦَ ﻟَﻬُﻢُ ﺍﻟْﺤَﻖُّ ۖ ﻓَﺎﻋْﻔُﻮﺍ ﻭَﺍﺻْﻔَﺤُﻮﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﻳَﺄْﺗِﻲَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺑِﺄَﻣْﺮِﻩِ ۗ ﺇِﻥَّ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻋَﻠَﻰٰ ﻛُﻞِّ ﺷَﻲْءٍ ﻗَﺪِﻳﺮٌ

Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.

ﻭَﻟَﻦْ ﺗَﺮْﺿَﻰٰ ﻋَﻨْﻚَ ﺍﻟْﻴَﻬُﻮﺩُ ﻭَﻻَ ﺍﻟﻨَّﺼَﺎﺭَﻯٰ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺗَﺘَّﺒِﻊَ ﻣِﻠَّﺘَﻬُﻢْ ۗ ﻗُﻞْ ﺇِﻥَّ ﻫُﺪَﻯ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻫُﻮَ ﺍﻟْﻬُﺪَﻯٰ ۗ ﻭَﻟَﺌِﻦِ ﺍﺗَّﺒَﻌْﺖَ ﺃَﻫْﻮَﺍءَﻫُﻢْ ﺑَﻌْﺪَ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺟَﺎءَﻙَ ﻣِﻦَ ﺍﻟْﻌِﻠْﻢِ ۙ ﻣَﺎ ﻟَﻚَ ﻣِﻦَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻣِﻦْ ﻭَﻟِﻲٍّ ﻭَﻻَ ﻧَﺼِﻴﺮٍ

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

Al hujraat
49:13

يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُمْ مِنْ ذَكَرٍ وَأُنْثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِنْدَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ

Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.

- Tuache kuchochea chuki za kidini kwa kuwa mwisho wake hakuna mshindi, ccm ilitumia udini 2010 imetugharimu wote kwa kupandikiza chuki za kidini.

Ukifuata mafundisho ya kipenzi cha mwenyezi Mungu, Muhammad (SAW) utaishi vizuri na kumheshimu kila mtu. Jifunze kuanzia hapo.
 
Allah akulipe kila lililo jema

Katafute dictionary ufasiri maneno haya

"...0 mankind, We have created you from a male and female, and set you up as nations and tribes so you may recognize [and cooperate with] one another. The noblest among you with God is that one of you who best performs his duty; God is Aware, Informed..."

Muwe mnasoma quran na kurudi kwenye hadithi za mtume (SAW) na kufuatilia visa kadhaa halafu mjiulize, jee; mtume Muhammad SAW hajawahi kuishi au kukutana na watu wa dini nyingine?! Je, aliishi nao kwa chuki na jazba kama mnavyo taka kudhihirisha hapa jukwaani?!

Jee dini yetu ndio inavyo taka na ndio inavyo tufundisha?!
 
acha kujiesheua kama demu humu. mbona uislam unatukanwa kila siku humu kwani hao majirani zetu hawaoni? au ni sawa kwa uislam kutukanwa? majuzi kikwete aliteua kiongozi mmoja wa mahakama mkamshambulia sana kisa dini yake, je majirani hawaoni? vipi mfano kule enesesef mnakokutukana kila siku kama vile ndo mfuko wa pension peke yake nchi hii kisa tu kiongozi wa juu ni muislam? nyinyi ni kama mataahira/manyani, hamuwezi ona miku.ndu yenu.

Guys kuna vitu vya kushabikia na vile vya kutanguliza utaifa mbele, Sasa akitokea mtu akaingiza ushabiki kwenye mambo ya kitaifa na kijamii kama haya KUMPUUZA ni jambo la msingi sana

Wala haipendezi kwenye mitandao hii ya kijamii wapo Wakenya,Wauganda,Rwanda nk wanatusoma na kutujaji..Sipati picha wanatuona ni watu wa aina gani? Kama tunaweza kumtusi mtu kwa just salam Kheri na maombi kwa taifa zima basi ni nini KINATUUNGANISHA watanzania?

Ni vema tukawapuuza watu wa namna hii,, Kumpuuza mtu ni fimbo tosha na Karipio kali lisilo tumia nguvu, usipomjibu mtu ktk ujinga wake anao uandika hapa lazima atajigundua kwamba yeye nie mjinga kiasi gani..

Nikushukuru sana Dr Slaa kwa kuwatakia kheri wenzetu Waislam na Watanzania kwa ujumla ktk kusheherekea sikukuu hii muhimu kwa Waislam wote duniani, Niungane pia na Dr kuwatakia wenzetu Waislam sikukuu njema na yenye baraka tele..........Amin

BACK TANGANYIKA
 
kwa nini huo ushauri wako usingeanza na akina revo masanilo, yule shoga aitwaye kigogo, yericko nyerere, honolulu, nicholas, na mungi ambao wako bize kila siku kuutukana uislam na waislam?

Mkuu swala la waislamu kujisikia hawapendwi nchi hii ni kitu ambacho hakina uhalisia na kama ukipewa uhuru wa kwenda kuthibitisha haya kwenye mahakama huru kama za kimataifa wewe mwenyewe ndugu yangu hutakuwa na cha kusema maana ni kitu cha kuambiwa na wala hujawahi kukiishi wewe! Hebu toa experience yako binafsi ni lini na wapi ulishawahi kubaguliwa? Tumekuwa na maraisi wawili wakristo na wawili waislamu, kama kungekuwa na kunyanyasika kwa waislamu au wakristo basi tungekuwa tulishapigana maana kila Raisi angeingia madarakani na kupendelea dini yake na kuwanyanyasa wengine. Kama waislamu kweli wangekuwa wanayanyaswa basi Maraisi wa kiislamu wasingepigiwa kura na wakristo kwa sababu wangehofia kulipiziwa kisasi!

Mkuu tuache kufikiri kama watu ambao hawajaenda darasani maana kama sisi tulioenda darasani tunaanza kuchochea udini kwa maandishi hapa JF basi wale ndugu zetu ambao hawakubahatika kusoma wao watafanya nini? Hawa ni watu wakuambiwa na kutekeleza hawatapata muda hata wa kutafakari athari zake maana tayari kwa umasikini na shida zao hawana cha kupoteza!
Unaweza kuona ni vizuri kutumia propaganda za udini ukidhani unaiharibia chadema lakini kumbuka madhara yake ni zaidi ya kuiharibia chadema, hata hao ccm hawatapata kitu maana kama watu wakijua chadema ni wakristo tu basi wakristo wote wataisupport chadema na hapo ndo utakuwa mmwanzo wa utungu na mtakuwa mmeshachelewa hamtaweza kuwarudisha watu nyuma tena!

Lakini sishangai sana maana wapo watu nadhani hawana matumaini tena , wamefika mwisho na kwao sasa hivi ni "Bora tukose wote"

Kama sisi watu wa kawaida tungejua kinachotafutwa basi tungekuwa makini sana na kauli zetu za kuwagawa watanzania kwa dini zao maana zitatuasili wenyewe na wala sio wengine!
 
leo hii mnakiri kuwa shule za kata zinasaidia kuelemisha wakati siku zote mpo huku kuponda, ama kweli nyie ni manyani na hamwezi kuona mik.undu yenu.
Mkuu kati ya kikwete na Dr. Slaa mwisilamu ni yupi? Tuambie kikweta ana wake wangapi mbona watoto kibao na je mama wa hawa watoto wote alishawahi kuwaoa?

Acha kutumia argument za kitoto hapa sisi ni watu tunaoweza kupambanua mambo! Kawandanganyeni huko vijijini lakini siyo hapa JF! Na huko vijijini siku hizi shule za kata zimeamusha watu mtapata shida sana maana hamwezi kutawala kama mnavyotaka, ni either mkubali kupote heshima yenu na utajiri mlioupta kwa kuwanyonya masikini wa nchi hii or msipo kubali kubadilika mtang'olewa tu ni swala la muda tu and God is watching!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom