Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
Ndugu wawili katika imani ambao walipaswa kutumia mafundisho bora ya imani yao ili kujitofautisha na wengine na hata kuwavuta wengine ili wayajue mafundisho bora yanayopatikana kwenye imani yao haya ndio majibu yao.

Nawaonea huruma watu wa imani zote (dini zote) wenye kutumia ndimi zenye miba na ncha kali kutoa majibu ya hovyo, lakini nawaonea huruma zaidi nyinyi ambao mlipaswa kutumia staha na kuonyesha tofauti na wao.

Kauli hii peke yake imenipa majibu ya kufunga mjadala na nyie "..hakawa..." bila shaka ulimaanisha 'akawa'

Nawatakia mjadala mwema.
Mohamedi Mtoi

Natumai unakumbuka nasaha zangu.

Jee, ulitaka tukipigwa la kushoto tugeuze na la kulia?

Angalia sana usije ukawa ni katika hawa:

Qur'an 2:14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.

15. Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo. ***
 
Last edited by a moderator:
mimi wanita miye kafiri lakini weye utakuwa pagani maadamu ni mtu ambaye hujatahiriwa rohoni.ni govi unatakiwa tohora ya rohoni,mpagani ambaye ni watu wa chuki,wasioheshimu baba zao na mama zao,wafitini,wenye husda,macho yaliyojaa uzinzi,wanaomwabudu kiumbe badala ya MUUMBA na ritz mnajua ukweli lakini mnakataa kutii ile KWELI mpate kuwekwa huru,mkijua hakika watu mnayotenda mambo hayo mnastahili adhabu kali ya MWENYEZI MUNGU lakini mmekuwa vipofu na kuwachochea na wengine kuyatenda hayo kama kina faizafoxy,gs-300
Crackpot....
 
Mohamedi Mtoi

Natumai unakumbuka nasaha zangu.

Jee, ulitaka tukipigwa la kushoto tugeuze na la kulia?

Angalia sana usije ukawa ni katika hawa:

Qur'an 2:14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.

15. Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo. ***
Nasaha njema kabisa kama ana akili basi atazifuata.
 
Last edited by a moderator:
Kama mlivyowalipua wafuasi wenu kule Arusha kwa mabomu na kuwamwagia tindikali raia kule Igunga.

Aaaah! Alhaji vipi mkuu. hebu taja majina ya wale mliowakamata basi halafu unionyeshe kama jina Chintu lipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom