Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
Hii itabidi iwekwe kwenye maajabu 7 ya bongo,Dr slaa na uislam au cdm na uislam,sio nyinyi mnaopongeza hapa mwezi mzima mmeutumia hapa jf kuanzisha Uzi za kashfa na kuponda uislam sio nyinyi?
Eti leo wanasifia nakujifanya wanaupendo mno na uislam,huu ni zaidi ya unafiki

chadema wakiongozwa na YERICKO NYERERE waliutumia mwezi wa ramadhani kuwakashifu waislam
 
Nadhani thatha anaogoza kwa mapato ya kuchangia posti,vipi bado haja jenga tu,nijuzeni mliye karibu naye.
 
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.

mkuu salama hizi nimeandika mimi,umeridhika?
 
siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watu

UMEENDELEA KUDHIHIRISHA weupe wako !
 
unashangaa kwa sababu huti kukubali kuwa slaa kuwatakia waislamu sikukuu njema ni sawa na kumpa fisi alinde bucha

......

PUNGUZO LA BEI YA VITABU VYA MEMKWA

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inapenda kuwataarifu wadau wa elimu nchini kwamba inauza vitabu vinavyotumika katika Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Walioikosa (MEMKWA) kwa makundirika yote.


Kuanzia August 2012, TET imetoa punguzo la asilimia kumi (10%) ya bei ya kila kitabu kwa atakayenunua vitabu hivyo toka katika ofisi za TET zilizoko Mwenge – Dar es Salaam.


 
mkuu, mfa maji haachi kutapatapa, tangu lini slaa akawatakia heri waislam? Kwa maslahi gani? Kwa nini leo ambapo wameunda ukawa?
acha uchochezi usio na maana hapa! Ina maana jk anapotoa salaam za krismas au pasaka ni kwa maslai gani?
 
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
Ni udini tu unakutafuna...
 
Last edited by a moderator:
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
duh, kwa chuki na uchochezi huu hakuna haja ya wewe kufunga kamwe..
 
Last edited by a moderator:
Guys kuna vitu vya kushabikia na vile vya kutanguliza utaifa mbele, Sasa akitokea mtu akaingiza ushabiki kwenye mambo ya kitaifa na kijamii kama haya KUMPUUZA ni jambo la msingi sana

Wala haipendezi kwenye mitandao hii ya kijamii wapo Wakenya,Wauganda,Rwanda nk wanatusoma na kutujaji..Sipati picha wanatuona ni watu wa aina gani? Kama tunaweza kumtusi mtu kwa just salam Kheri na maombi kwa taifa zima basi ni nini KINATUUNGANISHA watanzania?

Ni vema tukawapuuza watu wa namna hii,, Kumpuuza mtu ni fimbo tosha na Karipio kali lisilo tumia nguvu, usipomjibu mtu ktk ujinga wake anao uandika hapa lazima atajigundua kwamba yeye nie mjinga kiasi gani..

Nikushukuru sana Dr Slaa kwa kuwatakia kheri wenzetu Waislam na Watanzania kwa ujumla ktk kusheherekea sikukuu hii muhimu kwa Waislam wote duniani, Niungane pia na Dr kuwatakia wenzetu Waislam sikukuu njema na yenye baraka tele..........Amin

BACK TANGANYIKA
 
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.
kwa uchochezi huu wa wazi siamini kama wewe ni raia mwema kamwe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom