Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
Wapi tumeukashifu Uislamu?
Mara kwa mara, tatizo lenu mnajificha baadae mnajitokeza kuushambulia uislamu
Wapi tumeukashifu Uislamu?
Mkuu kati ya kikwete na Dr. Slaa mwisilamu ni yupi? Tuambie kikweta ana wake wangapi mbona watoto kibao na je mama wa hawa watoto wote alishawahi kuwaoa?Dini yetu haitaki wanafki.mzinzi,mwizi kama huyu slaa wenu
Mkuu kati ya kikwete na Dr. Slaa mwisilamu ni yupi? Tuambie kikweta ana wake wangapi mbona watoto kibao na je mama wa hawa watoto wote alishawahi kuwaoa?
Acha kutumia argument za kitoto hapa sisi ni watu tunaoweza kupambanua mambo! Kawandanganyeni huko vijijini lakini siyo hapa JF! Na huko vijijini siku hizi shule za kata zimeamusha watu mtapata shida sana maana hamwezi kutawala kama mnavyotaka, ni either mkubali kupote heshima yenu na utajiri mlioupta kwa kuwanyonya masikini wa nchi hii or msipo kubali kubadilika mtang'olewa tu ni swala la muda tu and God is watching!
Mnafiki sana huyu mzee, cdm na waislamu wapi na wapi?
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
Mara kwa mara, tatizo lenu mnajificha baadae mnajitokeza kuushambulia uislamu
Mara kwa mara, tatizo lenu mnajificha baadae mnajitokeza kuushambulia uislamu
Tena mnafiki kafiri anaunafuu kwasababu usha mjuwa.kuliko anaejidai mwislamu kumbe nimnafiki mkubwa kama hawa BAKWATA na ccm yao
Yani ww una frustrations zako za siku nyingi unaiparamia cdm. sasa Bakwata inaingiaje hapa?
Waislam mnapenda kulalamika kama akina mama, nyie kila siku ni kuonewa tu?Bakwata na cdm na ccm wote wanafiki raana iwe juu yao.mashekhe wa bakwata hawa ndio anao wasema lisu wala rushwa
Kwa heshima na unyenyekevu, waumini wote walio funga funga za kweli na haki na kujifunza kwa kuyarejerea yale mafunzo mema ya kiislamu niiungane na waumini wengine kote nchini kuipokea salaam na heri ya Eid El Fitri kutoka kwa kiongozi huyu aliye onyesha upendo kwa kuungana na viongozi wengine kututakia sikukuu njema baada ya kuwa kwenye ibada na nguzo muhimu kwenye mafundisho ya dini yetu.
Eid Mubarak
ﻭَﺩَّ ﻛَﺜِﻴﺮٌ ﻣِﻦْ ﺃَﻫْﻞِ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏِ ﻟَﻮْ ﻳَﺮُﺩُّﻭﻧَﻜُﻢْ ﻣِﻦْ ﺑَﻌْﺪِ ﺇِﻳﻤَﺎﻧِﻜُﻢْ ﻛُﻔَّﺎﺭًﺍ ﺣَﺴَﺪًﺍ ﻣِﻦْ ﻋِﻨْﺪِ ﺃَﻧْﻔُﺴِﻬِﻢْ ﻣِﻦْ ﺑَﻌْﺪِ ﻣَﺎ ﺗَﺒَﻴَّﻦَ ﻟَﻬُﻢُ ﺍﻟْﺤَﻖُّ ۖ ﻓَﺎﻋْﻔُﻮﺍ ﻭَﺍﺻْﻔَﺤُﻮﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﻳَﺄْﺗِﻲَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺑِﺄَﻣْﺮِﻩِ ۗ ﺇِﻥَّ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻋَﻠَﻰٰ ﻛُﻞِّ ﺷَﻲْءٍ ﻗَﺪِﻳﺮٌ
Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.
ﻭَﻟَﻦْ ﺗَﺮْﺿَﻰٰ ﻋَﻨْﻚَ ﺍﻟْﻴَﻬُﻮﺩُ ﻭَﻻَ ﺍﻟﻨَّﺼَﺎﺭَﻯٰ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺗَﺘَّﺒِﻊَ ﻣِﻠَّﺘَﻬُﻢْ ۗ ﻗُﻞْ ﺇِﻥَّ ﻫُﺪَﻯ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻫُﻮَ ﺍﻟْﻬُﺪَﻯٰ ۗ ﻭَﻟَﺌِﻦِ ﺍﺗَّﺒَﻌْﺖَ ﺃَﻫْﻮَﺍءَﻫُﻢْ ﺑَﻌْﺪَ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺟَﺎءَﻙَ ﻣِﻦَ ﺍﻟْﻌِﻠْﻢِ ۙ ﻣَﺎ ﻟَﻚَ ﻣِﻦَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻣِﻦْ ﻭَﻟِﻲٍّ ﻭَﻻَ ﻧَﺼِﻴﺮٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Mi nikiwa subiani,
Au jini makatani,
Slaa atakuwa nani?
Si kama pepo jamani?
Pepo silika ya Nyani,
Haoni la kalioni,
Shingwe afanya unyani,
Haoni lilo takoni.
Timu ya Ufipani,
Nyota wake nyani,
Mzee wetu Makani,
Akumbukwa si utani.
Slaa wa Kinondoni,
Ni vampya jamani,
Yu dhaifu kwa Satini,
Muasi wa kanisani
Nani wani'ta Shetani?
Wewe mlala jaani?
Kilaza wa Ufipani,
Zukule la kaskazini.
Mimi nikiwa shetani,
Slaa atakuwa nani?
Alokimbia kanisani,
Kwa kushikwa ugoni,
Kwa kushikwa ugoni,
Akakimbia kanisani,
Kazamia bungeni,
Kaibukia Ufipani,
Kaibukia Ufipani,
Huyu Bwana fanani,
Uchumba waisha lini?
Ndoa atafunga lini?
Ndoa atafunga lini?
Au ni TIMU KUZINI?
Tumpeleke Magogoni,
Huyu Padri fanani?
Huyu Padri ni fanani,
Katu si mtu makini,
Tena tusimuamini,
Afadhali ya Nyani.
Wamtaka punguani?
Mwenye matobo rasini?
Alotoka kanisani,
Kaibukia Bungeni
Kaibukia bungeni,
Huyo ndio punguani,
Hana cha mno rasini
Ana matobo kichwani.
Ana matobo kichwani,
Kaacha demuye ndani,
Kaenda zake kuzini,
Kwa kahaba Josefini,
Kwa kahaba Josefini,
Aso na haya usoni
Mwenye mke kabaini,
Kaingizwa mjini.
Hajaenda Magogoni,
Amekuwa firauni,
Akifika Magogoni,
Atakuwa ni Jununi,
Atakuwa ni Jununi
Tena kubwa Maluuni,
Kuzidi Nduli Amini,
Aso faa kanisani.
Aso faa kanisani,
Na pia msikitini,
Mahala pake jaani,
Autimize uhayawani,
Autimize uhayawani,
Atie ndimi puani,
Kama ngo'mbe bomani,
Au mbuzi wa zizini.
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.
Mara kwa mara, tatizo lenu mnajificha baadae mnajitokeza kuushambulia uislamu
ALLAH akubariki Dr. W. SLAA.
Aameen!!
Bakwata na cdm na ccm wote wanafiki raana iwe juu yao.mashekhe wa bakwata hawa ndio anao wasema lisu wala rushwa
wewe ndio dr.slaa?