Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
Mohamedi Mtoi,, asante kwanza kwa kutokuwa na jazba na uwezo wa kufafanua hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa vijana wanaokipenda chama chao.. toeni ufafanuzi kwa staha bika matusi kama ulivyofanya,,,, maana wengi tumekosa ukweli mambo mengi ya chadema,, ukiiuliza humu unaambiwa wewe si maCCM chadema inakuhusu nini,, utafikiri kwenye kupiga kura lazima uwe mwanachama ,,, kwa sasa CDM iweke mazingira hata ya kupigiwa kura na CCM ,,mimi nimepiga kura toka 1995 lakini sijapata kupenda chama japo kwa mbaali nilipenda CUF

Mkuu.

Nashukuru. Kama una lolote nje ya mnakasha huu ambalo unataka kupata ufafanuzi tafadhari usisite tuwasiliane.

Twitter ¤mohamedimtoi
Facebook: facebook.com/mouddymtoi

Ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
mohamed mtoi=

ENYI MLIOAMINI! MSIWAFANYE MAYAHUDI NA WAKRISTO KUWA MARAFIKI (WA KUWAPA SIRI ZENU); WAO KWA WAO NI MARAFIKI. NA MIONGONI MWENU ATAKAYEFANYA URAFIKI HUO NAO, BASSI HUYO ATAKUWA PAMOJA NAO. HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAWAONGOZI(NJIA YA KHERI) WATU MADHALIMU.

slaa,yericko nyerere,ben wa 8 namakafiri wengine unaowapa siri zako je wamesilimu?
 
mohamed mtoi=

ENYI MLIOAMINI! MSIWAFANYE MAYAHUDI NA WAKRISTO KUWA MARAFIKI (WA KUWAPA SIRI ZENU); WAO KWA WAO NI MARAFIKI. NA MIONGONI MWENU ATAKAYEFANYA URAFIKI HUO NAO, BASSI HUYO ATAKUWA PAMOJA NAO. HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAWAONGOZI(NJIA YA KHERI) WATU MADHALIMU. 6:51 qur-ani

kafiri ni familia yako na ukoo wako,laana ya mababu zako imekukalia utalaaniwa hapa duniani mpaka mbinguni wewe,mwabudu nyota na mwezi.shame on you
 
mohamed mtoi
Wewe ni mnafiki
Unakula sahani moja na wanatukana uisilamu kila siku hapa jf
Hao ni @yerick nyerere ngogo

Hawa makhabi..th pamoja na wewe msitegemee kura za waisilamu wana tambua uisilamu wao

Nadhani wewe ni mwana ulielelewa na makhabithi kama hao w
 
Last edited by a moderator:
1) Si kazi yangu kuwahubiria Waislam wajiunge chama kipi cha siasa.

2) Wote wanafik.

3) Kila mtu uzuri wake ni ucha Mungu wake, awe Muislam awe Mkristo. Sio leo unazini na mke wa mtu, kinyume na mafundisho ya vitabu vyote, halafu wanafik wakuone wewe wa maana kwa kuwa umetoa salaam za Eid.

Huo ni unafik na kudhihaki wacha Mungu.
 
wewe umechelewa utabakia kusema ametembea namke wa mtu wakati yeye kashatubu kwa Mungu wake nanimsafi labda uniambie wewe ni mungu mpaka ukae kuhesabia makosa ya watu tena ya miaka mingi pole sana
 
mohamed mtoi=

ENYI MLIOAMINI! MSIWAFANYE MAYAHUDI NA WAKRISTO KUWA MARAFIKI (WA KUWAPA SIRI ZENU); WAO KWA WAO NI MARAFIKI. NA MIONGONI MWENU ATAKAYEFANYA URAFIKI HUO NAO, BASSI HUYO ATAKUWA PAMOJA NAO. HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAWAONGOZI(NJIA YA KHERI) WATU MADHALIMU. 6:51 qur-ani

slaa,yericko nyerere,ben wa 8 namakafiri wengine unaowapa siri zako je wamesilimu?

Mkuu.

Kama ndio uwezo na upeo wako wa kuitafsiri Quran umeishia hapa basi unahitaji kurudi na kusoma upya kujijalizia maarifa.

Na unapo sema siri unamaanisha siri zipi?!
 
kafiri ni familia yako na ukoo wako,laana ya mababu zako imekukalia utalaaniwa hapa duniani mpaka mbinguni wewe,mwabudu nyota na mwezi.shame on you

Wewe kauzu kweli nakujibu kutokana na majibu yako wewe umeongelea malezi yangu nani alinilea?

Msalimie Josephine na Junior kauzu wewe.

Hebu fanya comperative analysis uone majibu yako naya huyo hapo juu uone yanatofauti gani. Sasa huyo anaweza kujifunza jema lipi kutoka kwako ili limnufaishe kama sio wote mtaonekana mna ukame wa maono?!
 
Mkuu.

Kama ndio uwezo na upeo wako wa kuitafsiri Quran umeishia hapa basi unahitaji kurudi na kusoma upya kujijalizia maarifa.

Na unapo sema siri unamaanisha siri zipi?!

Hiyo aya sijaongeza hata nukta.jipime na utafakari.siri inayosemwa hapo ni ipi.
 
1) Si kazi yangu kuwahubiria Waislam wajiunge chama kipi cha siasa.

2) Wote wanafik.

3) Kila mtu uzuri wake ni ucha Mungu wake, awe Muislam awe Mkristo. Sio leo unazini na mke wa mtu, kinyume na mafundisho ya vitabu vyote, halafu wanafik wakuone wewe wa maana kwa kuwa umetoa salaam za Eid.

Huo ni unafik na kudhihaki wacha Mungu.

Haya ndio majibu uliyojibu ambayo bila shaka hayaachi chembe ya shaka kifuani mwako?!
 
Wewe kauzu kweli Uislam ni dini inayojisimamia yenyewe wala Uislam hauitaji mtu kuutangaza Uslam ni dini inayokuwa kwa kasi duniani kila pembe ya dunia Uislam unaota mizizi wala Uislam haitaji upendwe na wanadiki kama nyie wa Chadema kila siku Uislam unatukanwa humu JF upo kimya watu wakiwajibu povu linawatoka...ukiona Muislam anapendwa na maadui wa Uislam jiulize mara mbili.

...duh, unahasira! samahani mkuu, bado napenda kuishi - usije ukanilipukia.
 
1) Si kazi yangu kuwahubiria Waislam wajiunge chama kipi cha siasa.

2) Wote wanafik.

3) Kila mtu uzuri wake ni ucha Mungu wake, awe Muislam awe Mkristo. Sio leo unazini na mke wa mtu, kinyume na mafundisho ya vitabu vyote, halafu wanafik wakuone wewe wa maana kwa kuwa umetoa salaam za Eid.

Huo ni unafik na kudhihaki wacha Mungu.

...Ritz anasema ninyi akina mama mkilea watoto peke yenu, watoto wanakuwa wanafiki. Ni kweli?
 
Kweli, watoto wasiojuwa baba zao utawajuwa tu, wewe unamjuwa baba'ko au baba zako?
Teh teh teh majibu mujarabu kabisa haiwezekani mtoto wa zinaa hakawa na heshima.
 
...duh, unahasira! samahani mkuu, bado napenda kuishi - usije ukanilipukia.
Kama mlivyowalipua wafuasi wenu kule Arusha kwa mabomu na kuwamwagia tindikali raia kule Igunga.
 
Hebu fanya comperative analysis uone majibu yako naya huyo hapo juu uone yanatofauti gani. Sasa huyo anaweza kujifunza jema lipi kutoka kwako ili limnufaishe kama sio wote mtaonekana mna ukame wa maono?!
Huyo kafiri anakusifia wewe nakupa muda jiulize na kutafakari kwa nini wewe makafiri wengi wanakupenda.
 
Kweli, watoto wasiojuwa baba zao utawajuwa tu, wewe unamjuwa baba'ko au baba zako?

Teh teh teh majibu mujarabu kabisa haiwezekani mtoto wa zinaa hakawa na heshima.

Ndugu wawili katika imani ambao walipaswa kutumia mafundisho bora ya imani yao ili kujitofautisha na wengine na hata kuwavuta wengine ili wayajue mafundisho bora yanayopatikana kwenye imani yao haya ndio majibu yao.

Nawaonea huruma watu wa imani zote (dini zote) wenye kutumia ndimi zenye miba na ncha kali kutoa majibu ya hovyo, lakini nawaonea huruma zaidi nyinyi ambao mlipaswa kutumia staha na kuonyesha tofauti na wao.

Kauli hii peke yake imenipa majibu ya kufunga mjadala na nyie "..hakawa..." bila shaka ulimaanisha 'akawa'

Nawatakia mjadala mwema.
 
Huyo kafiri anakusifia wewe nakupa muda jiulize na kutafakari kwa nini wewe makafiri wengi wanakupenda.

mimi wanita miye kafiri lakini weye utakuwa pagani maadamu ni mtu ambaye hujatahiriwa rohoni.ni govi unatakiwa tohora ya rohoni,mpagani ambaye ni watu wa chuki,wasioheshimu baba zao na mama zao,wafitini,wenye husda,macho yaliyojaa uzinzi,wanaomwabudu kiumbe badala ya MUUMBA na ritz mnajua ukweli lakini mnakataa kutii ile KWELI mpate kuwekwa huru,mkijua hakika watu mnayotenda mambo hayo mnastahili adhabu kali ya MWENYEZI MUNGU lakini mmekuwa vipofu na kuwachochea na wengine kuyatenda hayo kama kina faizafoxy,gs-300
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom