unataka waanzee kujilipua badala ya kueleza kwa mdomo kile kinachowakwaza? to alternative basi kama umechoka njia hiyo. maana hata huko kanisani patakuwa hapaendeki.Waislam mnapenda kulalamika kama akina mama, nyie kila siku ni kuonewa tu?

Al hujraat
49:13
يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُمْ مِنْ ذَكَرٍ وَأُنْثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِنْدَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.
- Tuache kuchochea chuki za kidini kwa kuwa mwisho wake hakuna mshindi, ccm ilitumia udini 2010 imetugharimu wote kwa kupandikiza chuki za kidini.
Ukifuata mafundisho ya kipenzi cha mwenyezi Mungu, Muhammad (SAW) utaishi vizuri na kumheshimu kila mtu. Jifunze kuanzia hapo.
Katafute dictionary ufasiri maneno haya
"...0 mankind, We have created you from a male and female, and set you up as nations and tribes so you may recognize [and cooperate with] one another. The noblest among you with God is that one of you who best performs his duty; God is Aware, Informed..."
Muwe mnasoma quran na kurudi kwenye hadithi za mtume (SAW) na kufuatilia visa kadhaa halafu mjiulize, jee; mtume Muhammad SAW hajawahi kuishi au kukutana na watu wa dini nyingine?! Je, aliishi nao kwa chuki na jazba kama mnavyo taka kudhihirisha hapa jukwaani?!
Jee dini yetu ndio inavyo taka na ndio inavyo tufundisha?!
..Hufai na unachochea udini hapa mtandaoni kwa faida yako au kundi lako.Na huu ni upumbavu mkubwa ambao hauvumiliki.kwa namna yeyote Dr.Slaa kama binadamu alikuwa na haki ya kuwatakia waislam na watanzania wote heri ya EID bila kuzodolewa,ukiaja mbali wadhifa wake wa kuwa kiongozi.Mbona papa Francis ametutakia heri ya EID na haujasema?Dr.Slaa ndo iwe nongwa?.imefika wakati wa kuwatetea hawa viongozi wetu wanaozodolewa na wapumbavu wenye lengo la kuwagawa Watz ktk mitandao ya kijamii.Huyu Mzee hana undugu wa kweli na waislamu, kwahiyo hizi salamu zake ni za kinafiki!
wewe kibaraka endelea kutetea kitumbua chako tu ili mkono uende kinywani. nani asiyejua ni jinsi gani slaa alivyobebwa na kanisa? mbona akina mtikila walisema waziwazi bila kificho kuwa pale ikulu hatakiwi muislamu (rejea mwananchi 27/5/2010) miezi michache tu kabla ya uchaguzi. ukiachilia mbali ule waraka feki wa kanisa kuna waraka halisi ulitolewa kwa ajili ya wakirsto tu tena ukiwa monitored kupitia kwa viongozi tu. mbona hata wakristo wanaeleza waziwazi jinsi slaa alivyopita makanisani. hata mwigulu pamoja na kuwa ni mkirsto hafichi hilo. hujiulizi kwa nini slaa alipata kura tu kwenye maeneo yenye wakristo wengi? umesahau hata zitto alivyobaguliwa kwa sababu ya uislam wake tu na wakirsto kwenye jimbo lake 2010?
mtoi utakuwa na matatizo wewe. hakuna anayeichukia tu chadema bila sababu. kuna kitu hawajafanya sawa. na sasa wako bize kuwafukuza waislam na kuwabakisha vibaraka wachache kama nyinyi ili ku-justify upuuzi wao.
hebu wabadilike kama kuna mtu atawachukia. watu wengi tumeichoka ccm lakini kupigia kura yangu chadema bora nipigie jiwe kabisa nijue moja. na wengi tuko hivyo. wataendelea kushinda tu huko huko kwao, na hata hayo maeneo ya wakirsto wengi wakiwashitukia tu kuwa hawa jamaa wanaenda kuvunja umoja wetu kama ilivyotokea kule kalenga wanawatoselea mbali. na hilo litakuwa kaburi lenu rasmi.
tunataka chama cha kuwaunganisha watanzania na sio cha kuwafarakanisha. mtasubiri sana na huyo slaa wenu, na huku kwetu hajawahi kanyaga hata siku moja hatumjui na wala hatumhitaji.
huyo atakuwa rais wa wabaka wake za watu
Ndugu waislaamu, na Watanzania wote kwa ujumla,
Awali yote napenda kutoa salaam za pekee kwa ndugu zetu Waislaamu ambao wanaungana na wenzao wa Dunia nzima kusherehekea sikukuu ya Eid baada ya kumalizia Mfungo Mtukufu wa Mwezi wa Ramadhan. Ni Imani yangu kuwa kutokana na Mfungo huo kila Muislam amepata Rehema zinazoambatana na Mfungo huo Mtukufu, lakini pia Nina Imani Taifa letu katika ujumla wake limenufaika na Rehema na Baraka za Mfungo huo Mtukufu. Tunamshukuru Mwenyeenzi Mungu kwa kila mmoja aliyejaliwa kufunga kumalizia Mfungo vizuri na kutekeleza nguzo hii muhimu katika Imani ya ki-Islamu.
Ninawatakia pia Watanzania wenzangu wote tuungane na ndugu zetu Waislamu kuungana kwa Upendo wa Mwenyeenzi Mungu katika kusherehekea sikukuu hii kwa Amani na Upendo Kama ilivyo desturi ya Watanzania. Kwa utamaduni wa kitanzania, tumezoea kusherehekea Sikukuu pamoja Kama ndugu, marafiki, majirani na jamii kwa ujumla. Hiki ni kipindi ambapo watoto wetu hutoka Mitaani wakicheza na kufurahia pamoja. Watoto wakila na kucheza pamoja kusherehekea sikukuu mbali mbali .
Ni Imani yangu kuwa sikukuu hii ya Eid itazidi kutuunganisha Watanzania kwa Upendo mkubwa na mshikamano, itatuleta pamoja kutafakari rehema za Mwenyeenzi Mungu na kutafuta namna ya kuondoa Tofauti zetu ndogondogo tukizingatia kuwa sisi sote ni viumbe wa Mwenyenzi Mungu! Ni kipindi cha kuonyesha Upendo wetu kwa wote wenye kuhitaji zaidi na kipindi cha kurejesha Amani na matumaini kwa walio katika hatari ya kukata tamaa katika maisha yao ya kila siku.
Nawatakia wote Heri ya Eid el Fitr.
Idd Mbarak!
Dr. W.P.Slaa
siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watu
acha kujiesheua kama demu humu. mbona uislam unatukanwa kila siku humu kwani hao majirani zetu hawaoni? au ni sawa kwa uislam kutukanwa? majuzi kikwete aliteua kiongozi mmoja wa mahakama mkamshambulia sana kisa dini yake, je majirani hawaoni? vipi mfano kule enesesef mnakokutukana kila siku kama vile ndo mfuko wa pension peke yake nchi hii kisa tu kiongozi wa juu ni muislam? nyinyi ni kama mataahira/manyani, hamuwezi ona miku.ndu yenu.
Mkuu.
Anza kufuatilia mambo kwa ukamilifu wake na jifunze kuwa wa hoja.
Unapoaema Slaa alitumwa na kanisa uwe specific kuwa alitumwa na kanisa gani na hayo makanisa mengine yalimtuma nani.
Ona kwa mfano, wenzetu wakristo wana madhehebu zaidi ya 7 hapa Tanzania na imefika mahali kuna watu wana mpaka makanisa yao binafsi. Unapo sema alitumwa na kanisa ni kanisa lipi?! Roman, Lutheran, sabato, sabato masalia, kakobe au kanisa gani?!
Sikatai huenda kuna kampeni zimefanyika kanisani, kama jinsi ambavyo sitakataa kuwa hakuna kampeni zilifanyika msikitini. Mfano msikiti wa ijumaa barabara 8 Tanga, waumini waliambiwa kabisa siku ya kura mkampigie kura muislamu mwenzetu (maneno hayo yakitoka kwenye kinywa cha kiongozi mkubwa tu), watu wakauliza muislamu yupi maana wako wawili Cuf na ccm).
Hayo yote yalifanywa kama makosa ya kiufundi wakati wa uchaguzi na kama u-mtu makini utakumbuka hao unao waita 'kanisa' ndio walisema "....ni chaguo la Mungu.."
Huu sio wakati wa kunyoosheana vidole bali wakati wa kufungamana na kushirikiana na kuondoa unafiki wa kujifanya unachukia salamu za kheri ya eid za Dr Slaa huku unakubali salamu na mawaidha ya Baraza la Eid ya Peter Mizengo Pinda.
Ndugu waislaamu, na Watanzania wote kwa ujumla,
Awali yote napenda kutoa salaam za pekee kwa ndugu zetu Waislaamu ambao wanaungana na wenzao wa Dunia nzima kusherehekea sikukuu ya Eid baada ya kumalizia Mfungo Mtukufu wa Mwezi wa Ramadhan. Ni Imani yangu kuwa kutokana na Mfungo huo kila Muislam amepata Rehema zinazoambatana na Mfungo huo Mtukufu, lakini pia Nina Imani Taifa letu katika ujumla wake limenufaika na Rehema na Baraka za Mfungo huo Mtukufu. Tunamshukuru Mwenyeenzi Mungu kwa kila mmoja aliyejaliwa kufunga kumalizia Mfungo vizuri na kutekeleza nguzo hii muhimu katika Imani ya ki-Islamu.
Ninawatakia pia Watanzania wenzangu wote tuungane na ndugu zetu Waislamu kuungana kwa Upendo wa Mwenyeenzi Mungu katika kusherehekea sikukuu hii kwa Amani na Upendo Kama ilivyo desturi ya Watanzania. Kwa utamaduni wa kitanzania, tumezoea kusherehekea Sikukuu pamoja Kama ndugu, marafiki, majirani na jamii kwa ujumla. Hiki ni kipindi ambapo watoto wetu hutoka Mitaani wakicheza na kufurahia pamoja. Watoto wakila na kucheza pamoja kusherehekea sikukuu mbali mbali .
Ni Imani yangu kuwa sikukuu hii ya Eid itazidi kutuunganisha Watanzania kwa Upendo mkubwa na mshikamano, itatuleta pamoja kutafakari rehema za Mwenyeenzi Mungu na kutafuta namna ya kuondoa Tofauti zetu ndogondogo tukizingatia kuwa sisi sote ni viumbe wa Mwenyenzi Mungu! Ni kipindi cha kuonyesha Upendo wetu kwa wote wenye kuhitaji zaidi na kipindi cha kurejesha Amani na matumaini kwa walio katika hatari ya kukata tamaa katika maisha yao ya kila siku.
Nawatakia wote Heri ya Eid el Fitr.
Idd Mbarak!
Dr. W.P.Slaa
Mkuu Mohamedi Mtoi Nikushukuru sana kwa bandiko lako hili
Unajua sisi binadamu pamoja na kupewa akiri za kutambua mema na mabaya lakini bado tumepungukiwa mambo kadha wa kadha kulingana na kila MWANADAMU.
Tunasahau kuwa tunapo mnyooshea jirani kidole kimoja vidole vinne hubaki kukuuliza wewe umefanya nini? Laiti tungelikuwa wepesi kutambua makosa yetu tungelikuwa wagumu kuwanyooshea kidole. majirani zetu.
BACK TANGANYIKA
Shukrani ndugu, namwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, akusaidie kujua mapungufu yako. Kwani mimi niliye mwanadamu nitakuhukumu kwa kutumia kipimo cha ubinadam wangu, lakini tumwache yeye mwenye kuhukumu kwa haki akuonyeshe pale ulipo pungukuwa
Lakini mbona bandiko langu liko dhahiri, nimesema tuwapuuze wale wote wa wenye kutoa matusi kwenye mada za kitaifa na kijamii kama hizi, Je ni wapi nimechagua kwamba hawa wapuuzwe na wale wasipuuzwe? Huu ulikua ushauri wangu tu maana mtu anaye comment ujinga ukimpuuza bila kumjibu atajigundua kwamba anaandika ujinga lakini ukimjibu ujinga yule anae comment ujinga wewe hutakuwa mjinga tena bali Mp.u.mbavu hili liko dhahiri
Halafu umepata wapi kuniona mimi nikiushambulia Uislam humu ndani? Kwanini uniunganishe na watu wengine kwa mambo nisiyofanya kwa kigezo tu kwamba ninamlego mmoja wa kiimani au kiitikadi na wale wanaofanya hivyo?
Hebu angalia unavyotukana hapa, je mimi niwaunganishe Waislam wote safi kama kina Mtoi kwasababu ya mtu mmoja kama wewe? Au nijiaminishe kwamba kiongozi wako wa dini ndie aliyekufundisha haya wakati najua kuwa kunawaislam wenye tabia njema na wala hawajui matusi ni lugha za namna gani.
Watu kama ninyi ni wale tunaosema mmekosa malezi mwafaka katika utoto wenu na wala hatuwezi kuhangaika nanyi. Zaidi tunazidisha maombi kwa Mungu apate kuwakirimia roho wake wa hekma na upole kwa manufaa ya jamii nzima
Wasalaaam.....
BACK TANGANYIKA
Mkuu.
Anza kufuatilia mambo kwa ukamilifu wake na jifunze kuwa wa hoja.
Unapoaema Slaa alitumwa na kanisa uwe specific kuwa alitumwa na kanisa gani na hayo makanisa mengine yalimtuma nani.
Ona kwa mfano, wenzetu wakristo wana madhehebu zaidi ya 7 hapa Tanzania na imefika mahali kuna watu wana mpaka makanisa yao binafsi. Unapo sema alitumwa na kanisa ni kanisa lipi?! Roman, Lutheran, sabato, sabato masalia, kakobe au kanisa gani?!
Sikatai huenda kuna kampeni zimefanyika kanisani, kama jinsi ambavyo sitakataa kuwa hakuna kampeni zilifanyika msikitini. Mfano msikiti wa ijumaa barabara 8 Tanga, waumini waliambiwa kabisa siku ya kura mkampigie kura muislamu mwenzetu (maneno hayo yakitoka kwenye kinywa cha kiongozi mkubwa tu), watu wakauliza muislamu yupi maana wako wawili Cuf na ccm).
Hayo yote yalifanywa kama makosa ya kiufundi wakati wa uchaguzi na kama u-mtu makini utakumbuka hao unao waita 'kanisa' ndio walisema "....ni chaguo la Mungu.."
Huu sio wakati wa kunyoosheana vidole bali wakati wa kufungamana na kushirikiana na kuondoa unafiki wa kujifanya unachukia salamu za kheri ya eid za Dr Slaa huku unakubali salamu na mawaidha ya Baraza la Eid ya Peter Mizengo Pinda.
Asante Rais Mtarajiwa
kuna jamii iliyostaarabika hapa Tanzania zaidi ya waislam kwa kuwajali watanzania wote? hivi hujiulizi jinsi mwalimu alivyopokelewa na waislam na bado wakamfanya kiongozi wao? pamoja na kumlipa mshahara na kikaptula alikovaa na akiwa hajui kiswahili vizuri lakini hawakulijali hilo? lakini ni nini kilifuata baada ya kupata ukuu? sote ni mashahidi wangine hatujui walienda wapi, akina bibi Titi Mohamed waliishia kufungwa jela, akina Dosa Aziz waliotoa magari yao kwa nyerere kuzunguka nchi nzima walipotezewa. hata katibu mkuu wake wa kwanza wa tanu mzee sykes wakati nyerere akiwa mwenyekiti alipotezewa na wala familia yao hatuwaoni kwenye historia ya nchi hii. leo hii mnapata wapi courage ya kusema eti waislam ni wabaguzi kama nyinyi mnavyofanya? badilikeni. najua fika hata hao akina mtoi mnawatumia tu kama ngazi mkifika juu bussiness as usual. endeleeni tu kututukana kama mnavyofanya na akina yericko, nicholas, mungi, rev masenilo kwa kutaja wachache na wengineo wengi.
Babu mnafiki...na huyu Babu anachuki sana na waislam salam za kinafki hizi kwanza ndani ya chama hawawataki waislam kabisa
wapeni nafasi waislamu ndani ya chama ili tuwe na imani na myasemayo otherwise hii ni sawa na kumpaka mtoto uji mdomoni wakati umeunywa wewe