nina wasiwasi na ubinadamu wako!
siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watuwe love dr. Slaa wa ukweli. Mungu mbariki dr. Aishi miaka mingi ibariki tanzania aaameeen.
unashangaa kwa sababu huti kukubali kuwa slaa kuwatakia waislamu sikukuu njema ni sawa na kumpa fisi alinde bucha
makene kazi unayo, unajiandikia halafu unajiita slaa?ndugu waislaamu, na watanzania wote kwa ujumla,
awali yote napenda kutoa salaam za pekee kwa ndugu zetu waislaamu ambao wanaungana na wenzao wa dunia nzima kusherehekea sikukuu ya eid baada ya kumalizia mfungo mtukufu wa mwezi wa ramadhan. Ni imani yangu kuwa kutokana na mfungo huo kila muislam amepata rehema zinazoambatana na mfungo huo mtukufu, lakini pia nina imani taifa letu katika ujumla wake limenufaika na rehema na baraka za mfungo huo mtukufu. Tunamshukuru mwenyeenzi mungu kwa kila mmoja aliyejaliwa kufunga kumalizia mfungo vizuri na kutekeleza nguzo hii muhimu katika imani ya ki-islamu.
Ninawatakia pia watanzania wenzangu wote tuungane na ndugu zetu waislamu kuungana kwa upendo wa mwenyeenzi mungu katika kusherehekea sikukuu hii kwa amani na upendo kama ilivyo desturi ya watanzania. Kwa utamaduni wa kitanzania, tumezoea kusherehekea sikukuu pamoja kama ndugu, marafiki, majirani na jamii kwa ujumla. Hiki ni kipindi ambapo watoto wetu hutoka mitaani wakicheza na kufurahia pamoja. Watoto wakila na kucheza pamoja kusherehekea sikukuu mbali mbali .
Ni imani yangu kuwa sikukuu hii ya eid itazidi kutuunganisha watanzania kwa upendo mkubwa na mshikamano, itatuleta pamoja kutafakari rehema za mwenyeenzi mungu na kutafuta namna ya kuondoa tofauti zetu ndogondogo tukizingatia kuwa sisi sote ni viumbe wa mwenyenzi mungu! Ni kipindi cha kuonyesha upendo wetu kwa wote wenye kuhitaji zaidi na kipindi cha kurejesha amani na matumaini kwa walio katika hatari ya kukata tamaa katika maisha yao ya kila siku.
Nawatakia wote heri ya eid el fitr.
Idd mbarak!
Dr. W.p.slaa
...you deserve to run the govt of Tz as our president...
anawatakia idd njema waislamu wa jf?ndugu waislaamu, na watanzania wote kwa ujumla,

kisa ametoa salam za eid!?
mpeni matumaini afe kifo kisicho cha uchungu
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.Hii itabidi iwekwe kwenye maajabu 7 ya bongo,Dr slaa na uislam au cdm na uislam,sio nyinyi mnaopongeza hapa mwezi mzima mmeutumia hapa jf kuanzisha Uzi za kashfa na kuponda uislam sio nyinyi?
Eti leo wanasifia nakujifanya wanaupendo mno na uislam,huu ni zaidi ya unafiki
Kwenye chama hawawataki, salam za nini?
.ina maana hata pasipo na sifa? Hatutaki nafasi kama hizo kamwe! Waislamu ni watanzania kama wengine, wana nafasi sawa ndani ya chama na jamii kiujumla!wapeni nafasi waislamu ndani ya chama ili tuwe na imani na myasemayo otherwise hii ni sawa na kumpaka mtoto uji mdomoni wakati umeunywa wewe
kivip? Fafanua vinginevyo ni chuki binafsi!unashangaa kwa sababu huti kukubali kuwa slaa kuwatakia waislamu sikukuu njema ni sawa na kumpa fisi alinde bucha
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
kumbe unamkubali yule dada, ni jembe sana
huyo atakuwa rais wa wabaka wake za watu
wapeni nafasi waislamu ndani ya chama ili tuwe na imani na myasemayo otherwise hii ni sawa na kumpaka mtoto uji mdomoni wakati umeunywa wewe
Ni lini utajadili hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja? Kazi kweli kweli!Huyu Mzee hana undugu wa kweli na waislamu, kwahiyo hizi salamu zake ni za kinafiki!
..duh, kweli ni mwanadamu kweli wewe? Maana ni zaidi ya unafiki kwa kweli!siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watu