D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,958
- 1,190
hapa muhamad kaingiaje? we twaghuut. na kufar unatakiwa umjib ritz kama ritz
Huyu kafiri anatakiwa apelekwe milembe
hapa muhamad kaingiaje? we twaghuut. na kufar unatakiwa umjib ritz kama ritz
Inamkubali Mnafiki JK aliyewaahidi mahakama ya Kadhi na hajawapa? inamkubali Mzinzi kama JK kila mtoto na Mama yake bila kuwaoa?.Dini yetu haitaki wanafki.mzinzi,mwizi kama huyu slaa wenu
Huyu kafiri anatakiwa apelekwe milembe
Huyu Mzee hana undugu wa kweli na waislamu, kwahiyo hizi salamu zake ni za kinafiki!
Inamkubali Mnafiki JK aliyewaahidi mahakama ya Kadhi na hajawapa? inamkubali Mzinzi kama JK kila mtoto na Mama yake bila kuwaoa?.
Ndugu waislaamu, na Watanzania wote kwa ujumla,
Awali yote napenda kutoa salaam za pekee kwa ndugu zetu Waislaamu ambao wanaungana na wenzao wa Dunia nzima kusherehekea sikukuu ya Eid baada ya kumalizia Mfungo Mtukufu wa Mwezi wa Ramadhan. Ni Imani yangu kuwa kutokana na Mfungo huo kila Muislam amepata Rehema zinazoambatana na Mfungo huo Mtukufu, lakini pia Nina Imani Taifa letu katika ujumla wake limenufaika na Rehema na Baraka za Mfungo huo Mtukufu. Tunamshukuru Mwenyeenzi Mungu kwa kila mmoja aliyejaliwa kufunga kumalizia Mfungo vizuri na kutekeleza nguzo hii muhimu katika Imani ya ki-Islamu.
Ninawatakia pia Watanzania wenzangu wote tuungane na ndugu zetu Waislamu kuungana kwa Upendo wa Mwenyeenzi Mungu katika kusherehekea sikukuu hii kwa Amani na Upendo Kama ilivyo desturi ya Watanzania. Kwa utamaduni wa kitanzania, tumezoea kusherehekea Sikukuu pamoja Kama ndugu, marafiki, majirani na jamii kwa ujumla. Hiki ni kipindi ambapo watoto wetu hutoka Mitaani wakicheza na kufurahia pamoja. Watoto wakila na kucheza pamoja kusherehekea sikukuu mbali mbali .
Ni Imani yangu kuwa sikukuu hii ya Eid itazidi kutuunganisha Watanzania kwa Upendo mkubwa na mshikamano, itatuleta pamoja kutafakari rehema za Mwenyeenzi Mungu na kutafuta namna ya kuondoa Tofauti zetu ndogondogo tukizingatia kuwa sisi sote ni viumbe wa Mwenyenzi Mungu! Ni kipindi cha kuonyesha Upendo wetu kwa wote wenye kuhitaji zaidi na kipindi cha kurejesha Amani na matumaini kwa walio katika hatari ya kukata tamaa katika maisha yao ya kila siku.
Nawatakia wote Heri ya Eid el Fitr.
Idd Mbarak!
Dr. W.P.Slaa
Ujui uliandika nini?uliposema Unafiki nikakukumbusha Unafiki wa JK kuhusu mahakama ya Kadhi.alafu unasema kaaingiaje?Ila WAZINIFU na Wanafiki wakiwa WAISLAMU kama JK ruksa.Jk kaingiaje hapa?huyu slaa alikabiziwa waraka na kanisa 2010.sissi waislamu hatutaki wazinifu
Ni udi tu unawatafuna. Hamna lolote..Huyu kafiri anatakiwa apelekwe milembe
Kweli salamu hizi ilibidi tuzichukue kwa uzito wake wala sio kuzibeza,hivi kama dokta ni kafiri kutokana ukristo wake,je pinda kesho anayehutibia baraza la IDD ni nani?
Hapa ni kuondoa chuki na kupokea salamu.
Pia tukumbuke ndoa ni nn?
Ujui uliandika nini?uliposema Unafiki nikakukumbusha Unafiki wa JK kuhusu mahakama ya Kadhi.alafu unasema kaaingiaje?Ila WAZINIFU na Wanafiki wakiwa WAISLAMU kama JK ruksa.
Pinda na slaa wote makafiri.salam zao ni zakinafiki
teh teh, mbona unarukaruka, mamaako ndo kaolewa na slaa bado unazuga hapa, halafu unaramba viatu vya mafisadi badala ya kumheshimu mtu aliyekuolea mama ako, we pimbi kweli..Mama ako aliziniwa na slaa ukazaliwa wewe mtoto sio riziki wewe bwabwa wewe
hueleweki, acha kujitoa ufahamu.. Jibu swali..Wote niwalewale tu.cdm,ccm,cuf,nccr
..mpelelwe wote, unakwepa nin?Huyu kafiri anatakiwa apelekwe milembe
.. Unachoongea hukijui pole sana, sema wewe, sio sisi, ebo!Jk kaingiaje hapa?huyu slaa alikabiziwa waraka na kanisa 2010.sissi waislamu hatutaki wazinifu
..mkuu umesema yaliyo kweli tupu, tunakataa hiki kwa mkono wa kushoto, kisha tunapokea kwa mkono wa kulia!Kweli salamu hizi ilibidi tuzichukue kwa uzito wake wala sio kuzibeza,hivi kama dokta ni kafiri kutokana ukristo wake,je pinda kesho anayehutibia baraza la IDD ni nani?
Hapa ni kuondoa chuki na kupokea salamu.
Pia tukumbuke ndoa ni nn?
unajua maana ya unafiki?Pinda na slaa wote makafiri.salam zao ni zakinafiki
Sasa hapo ndipo ninapopata jibu kwamba nyie ni wanafiki sana hamuwezi kumualika kafiri huku mkifahamu hilo