Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!


- The Ishu is Chadema na Slaa wanahitaji kukanusha au kukubali kwamba Slaa anailipia Kadi, si unajua kwamba Uongo wa Siasa usipojibiwa haraka huwa unageuka kuwa ukweli, halafu in the wake ya Chadema kuwafukuza watoto wadogo kwamba ni Mamluki wa CCM na huku mna Kiongozi anayefahamika wazi kwamba ana kadi ya CCM na yeye mwenyewe kukubali in the public kwamba anayo, hamuoni kwamba hamukitenedi haki chama chenu?

le mutuz
 
Hivi mtu mzima mwenye akili timamu unaweza jiita "THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA"Kweli mzee malecela amekula hasara.

Inasemekana huyu zuzu ndio aliyeweka zile picha mtandaoni za kumdhalilisha Jakaya eti kwasababu alichukua nafasi ya baba yake ya kuwa Rais!!! CCM inalijua hilo na mbinu za kutaka kumtumia Nape VUVUZELA kujisafisha ili kupata uongozi huko kwenye chama zimegonga ukuta kama jitihata zao yeye na mama yake wa kambo zinavyodhihilisha!! Nape kawaingiza CHAKA na amekula mapesa yao bure.
 
- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?

le mutuz

Mjinga kama wewe ndiye anaamini hivyo, ila wewe endelea kueneza chuki zinazomjenga zaidi Dr Slaa sisi tupo kitaa tunaendelea kuwaelimisha wanawanchi ili 2015 mshangae.
 

- Well, Operation Chaos ni mkakati wangu mwenye Le Big Shoow, maana yake ni kuwashambulia na kuwavuruga Chadema as much as I can nikiwa na nia na moja tu nayo ni kuwaona mnaingia uchaguzi wa 2014 na 2015 mkiwa dhaifu kama mlivyo sasa, it is working maana majuzi nimekutana na Viongozi wenu wa Taifa kule Moshi wakaninunia sana na kulia lia kwamba nawamaliza na Mitandao,

- It was great news kwangu kuwasikia Viongozi wenu wa Taifa wakilia lia kwamba Le Big Show nawamaliza na Mitandao, na bado naendelea na hiyo Operation ya kuwashambulia Chadema kila kona za Mitandao na kwa njia mbali mbali ila one thing sisemi uongo na wala sivunji sheria, ni haki yangu kama mwananchi kufanya hivyo, na nitaendelea kuwavuruga I loooove it na ninajua kwamba nina Big effect maana toka nianzishe huu uzi ni masaa matatu tu yaliyopita tayari sasa tuneelekea kwenye 10 pages!

- Pamoja na maneno mengi mnayojibu hakuna anayejibu hoja kwamba kwanini Slaa hajakanusha, nitamheshimu mtu akisema nitaenda kumuuliza lakini wengi wenu mnaonekana kumtetea maana mmezoea kutetea mediocre, Slaa asimame ajibu hii ishu ni kwa nini hajakanusha wala kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM, ikiwa na maana ya kwamba ameilipia hata mwezi uliopita?

- Mambo ya baba zenu na majinsia yenu na uwezo wenu mdogo na mkubwa wa kufikiri hayahusu hapa, na inaonekana wengi wenu ni mameneja makazini mwenu kwa jinsi mnavyoponda kazi za wengine, lakini cha ajabu ni jinsi mnavyokimbia hoja kwamba Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba anailipia kadi ya CCM na yeye ni Katibu na Mgombea Urais wa Chadema, WHY?

le mutuz!!
 

hiiiiiii.... hiiiiii.... hiiiiiii..... sikubali, wameondoa madoli yangu.... sikubali, mbona Dr Slaa yeye bado yupo lakini madoli yangu yameondolewa? hiiiiii ....hiiiiiii ...it is not fair!

kadi anayo, na sasa ataiwekea frame na kutundukia ukatani, hutaki jinyonge!
 

- hoja nzito hainzi na inasemekana ina maana huna uhakika na unchosema!1

le mutuz
 
Hatua nzuri sio Dr Slaa kukanusha umiliki na ulipiaji wa kadi ya CCM. Hatua nzuri ni "kumfukuza" uanachama wa CCM Dr Slaa kwenye mkutano wa hadhara kwa kuwa amekuwa akiitesa sana CCM na viongozi wake kwa kuwaumbua na kuwadhalilisha hadharani. Tena mumrudishie na hizo ada zake hata kwa M au TigoPesa. Naisubiri kwa hamu hiyo siku.
 

Kama huko ndio kuwavuruga chadema basi unahitaji machine ya oxygen duh nakuonea huruma
 

Aise wewe ni zero kabisa, hivi ulisomaaa au ulihudhuria darasani tu!
 
Mjinga kama wewe ndiye anaamini hivyo, ila wewe endelea kueneza chuki zinazomjenga zaidi Dr Slaa sisi tupo kitaa tunaendelea kuwaelimisha wanawanchi ili 2015 mshangae.

- Ndio maana hamuwezi kupata Urais kwa sababu mnalugha chafu sana za kuita wajinga wananchi wote wasiokubali mawazo yenu ya mediocre, poleni sana mnatia huruma sana!! na kwa mara ya kwanza ngoja nicheke you know! ha! ha! ha! ha! ha!

le mutuz
 

Hivi we mzee una jinsia ya kiume au ya kike?Zee zima kama wewe unakuja na hoja za kipuuzi namna hii kweli?Hakika unastahili kufungwa jiwe shingoni utoswe baharini.Unatumia kichwa kufikiri au makalio?
 

- So mnawaonea dagaa kumbe gombe mnaogopa? Mnawafukuza watoto wadogo wasio na makosa lakini wakubwa kina Slaa mnawaogopa? Sasa mkishika nchi itakuwaje?

le mutuz
 
Hivi we mzee una jinsia ya kiume au ya kike?Zee zima kama wewe unakuja na hoja za kipuuzi namna hii kweli?Hakika unastahili kufungwa jiwe shingoni utoswe baharini.Unatumia kichwa kufikiri au makalio?

- Labda ungeanza na Katibu wako Mkuu maana umri wake umeenda sana sasa atagombea vipi Urais na yeye sasa ni Babu? ha! ha1 ha! ha! halafu vipi anaathirika na uzee nini maana sio kawaida kwa Babu wa umri wake kulipia kadi ya CCM na huku yeye ni Katibu Chadema, wakuu mnatisha sana unajua!! ha! ha! ha!


le mutuz
 
Kweli wewe una degree mbili ,nilikuwa siamini ila sasa naamini .Hebu nidokeza ulizipata wapi ili tufananishe ubora wa hivyo vyuo coz puzzle ya kuwa unazo hizo degree ama huna nishapata jibu.
 
Come on Willy, wewe ni mtu mzima.
I believe you still have a copy of your university card, are you still in that school? I still have my primary, secondary, university and even former employee ID cards. Most of them have expired (you understand they have expiry date) but I still keep them for pride, remembrance etc. Multiparty started hardly some 20 years ago and the first multiparty election was in 1995 otherwise before that almost all current old politicians were CCM/ Tanu members!!

I understand you are CCM and you will still be CCM but trade careful with your thoughts, we might think hujaenda shule kama mbumbumbu wengine. Sisi vijana tuliopata elimu, exposure and we have an income tulete mada za kuendeleza nchi na vijana wengine instead of discussing cards.....laminated pieces of paper!!! Wasira is a chadema founder member so atakua bado ana kadi. Shibuda joined Chadema hardly 3 years ago so I guess he still has a CCM card.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…