- Kwanza ni matusi ya kizamani, and then back to the ishu Slaa aseme kama analipia au halipii kadi yake ya CCM?
le
mutuz
Nyie ambao mnapata shida na yeye kulipia hiyo kadi ndio mtoe uthibitisho au mumkataze kulipia hiyo kadi au mumfukuze uanachama. Yeye hana muda mchafu wa kufanya hivyo, nyie mnaodhulika na ulipiaji kadi wake na kutokwa na mapovu ndio mnatakiwa kuthibitisha, na pia kumkataza kulipia kadi. Dr kwashika pabaya mwaka huu, hamlali...- The point ni wakati sasa ni muafaka kwa Slaa kujibu kama analipia au halipii kadi yake ya CCM, hayo mengine mengi hapa sio pahala pake if you dont mind!!
le mutuz
Kama Slaa yuko chadema na anakadi ya CCM, mfukuzeni uanachama wa CCM ili akome! very simple
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!
- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?
Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!
le mutuz
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!
- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!
Le Mutuz
Achana nao,Dr.SLAA anafaa kuwa MBUNGE na sivinginevyo ! Arudi mjengoni kuwasha moto kama TUNDU LISSU,CCM itaendelea kutoa MARAIS wenye UZALENDO na HEKIMA za KIUNGOZI...Hadi Upinzani upate VITI vya WABUNGE 150 ndipo RAIS atatoka kwenye UPINZANI- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!
- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?
Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!
le mutuz
Sasa je! Wanamfuga wa kazi gani huko sisiemu?
Hivi mtu mzima mwenye akili timamu unaweza jiita "THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA"Kweli mzee malecela amekula hasara.
Kwa definitions za CDM kuwa na kadi mbili sio umamluki kwa kuwa kadi ya pili ilifuta uhalali wa kadi ya kwanza. Hawa watoto mamluki wamefukuzwa kwa kuwa walikuwa wanafanya umamluki, wewe Mbumbumbu Le Mutuz, mamluki kwa chama ni yule anayekaa na watu wa CCM kupanga mikakati ya kudhohofisha CDM. J.Shonza alilala kwa Mwigulu Dodoma na kukaa faragha na mzee wa Gombe, adhabu yake kufukuzwa. Mchange na Mwampamba nao walianzisha kundi lisilo halali la PM7 au Masalia au Pindua Mbowe7, fukuzilia mbali. Pia hawa vijana walikwenda kwa mganga wa kienyeji kula yamini wasisalitiane. wanaweza kuloga hata panya ukiwachekea. CDM haichezi na nyani, kama mnawahurumia wachukueni nyie Magamba- Look here lets say nina Miaka 70, now what that has anything na Slaa kutokanusha kulipia kadi yake ya CCM, mbona alikubali kuwa anayo kwenye kulipia mbona yupo kimya na huku mnafukuza watoto wadogo kuwa ni mamluki mbona kama Slaa hapa ndio mamluki wa kweli?
le mutuz
- And then lets get back to the ishu, Slaa ana kadi ya CCM na a nailipia sasa kwa nini hamjamfukuza mmefukuza watoto wadogo?
le mutuz........
- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?
le mutuz
........
- Ok lakini ana kadi ya matahira na anailipia kila mwezi? So who is tahira hapa?
le mutuz
Umekuwa mkweli mno ndugu yangu. Tatizo huyo unaempa ushauri sio msikivu kihivyo!Mzee Wiliam tumia muda wako kujisomea na kuongeza maarifa.Bado huwezi kupambana na chadema,upo shallow sana mzee.Au kama vp mpe password mama kilango akusaidiage,angalau yeye huwa anasomasoma.We ni empty mno mzee.
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com