King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,609
Kweli kuwa Shabiki wa Chadema lazima uvute bangi
CDM ina wapenzi na si mashabiki kwahyo hao wavuta bangi unaowazungumzia itakuwa ni wapenzi wa CCM
Kweli kuwa Shabiki wa Chadema lazima uvute bangi
Zile anazozikusanya wao walipewa bure?
Chama
Gongo la mboto DSM
hautaishi kwa kupandikiza chuki na kugawa watu kwa mithili ya kidini au ukabila ID unayotumia sio kinga dhidi ya laana itakayokupata
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.
Wale watu wamepeleka kwa hiari yao kwa sababu hawataki kuwa na kumbukumbu ya ccm maishani mwao ingawa kadi hizo ni mali yao,mtu mzima unawezaje kumlazimisha akachukue kadi yake ali pohifadhi ije ichomwe?Tukirudi kwenye mada,umeelewa sasa kuwa kadi ni mali ya mtu na sio chama hivyo CCM hawana mamlaka kisheria kudai "kadi yao"?Kama umeelewa basi mshukuru Dr kwa kutoa tuisheni ya bure pia mwambie Nape hivi alirudisha lini cheti cha ubatizo cha kanisa la Lutheran alipobatizwa akingali mtoto?kwa sababu hivi sasa najua amebatizwa upya kwa maji mengi katika kanisa la EAGT ingawa "ulokole" wake una madoa mengi
kwani slaa amejadili mangapi ya kipuuzi na kuzunguka nchi nzima kuyanadi? jf vp? mnashindwa kupambanuwa mambo?
mbona umeshadanganyika kuwa yupo CCM. maneno yako yanadhihiri uwezo wako kiakili
Kwa hiyo yeye anahitaji zaidi kumbukumbu kuliko hao wenzake?
Chama
Gongo la mboto DSM
huwa naheshimu michango yako lakini linapofika swala la wewe kuweka udini na ukabila hapo ndio huwa nakutoa kwenye fikra zangu kama great thinker. ipo siku mtu wa dini au kabila hilo hilo atakufanya ukumbuke kuwa maeneno yako ni laana na ningependa itokee kabla ya 31st december 2012
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.
Nimedanganyika vipi wakati amekiri mwenyewe kuwa kadi anayo... wakati huo yeye ni bingwa wa kukusanya za wenzake? How comes ukusanye za wenzako halafu wewe ya kwako usiichanganye na hizo, na ukabaki nayo? Halafu anakiri kuwa anayo baada ya kusemwa. Kwa nini asingejisema kabla kuwa yake anabaki na yake ya CCM kwa ajili ya ukumbusho wakati akichoma za wenzake? Au kwa nini asingewaambia wale waliomletea za kwao kutoka vyama vingine wabaki na zao kwa ajili ya ukumbusho wao?
Narudia tena Sidanganyiki....
Babu Huyu ni mamluki kishenzi Hana hoja akishinda kujiudhuru kwa hili hatuwezi kumpa nchi hii maaana ataonyesha uroho aw madaraka Kama alikosa uaminifu kwa dini yake Alizaa 1987 na 1989 Huku akiwa padri Huku ameziudhuru upadri 1992Kwa mujibu wa Star tv kuwa Dr. Slaa amewambia badala ya kujadili mambo ya kitaifa kama wizi wa nyara za serikali kama wizi wa tembo watanzania wanajaditi kadi, badala ya kujadili kwa nini watu wanalala njaa watu wanajadili kadi, watu wanauwawa na polisi watu wanajadili kadi.
Dr. Slaa kawauliza hivi hao wanaotoa matamko mmewachunguza na kuwajua ni kina nani??
Ukiwatazama watu hao ni mbumbumbu wa sheria na hawajui wanachokifanya na tunapoteza taifa kwa mambo ya kipuuzi tunaacha kujadili mambo ya kitaifa na mafisadi wanatumia mwanya huo kuiba zaidi raslimali za taifa
slaa achaa na hizi pumba za kadi, endelea kuwaelemisha wananchi haki zao. kadi kitu gani bana, mi mwenyewe sina hizo kadi lakini nina chama kichwani.Kwa mujibu wa Star tv kuwa Dr. Slaa amewambia badala ya kujadili mambo ya kitaifa kama wizi wa nyara za serikali kama wizi wa tembo watanzania wanajaditi kadi, badala ya kujadili kwa nini watu wanalala njaa watu wanajadili kadi, watu wanauwawa na polisi watu wanajadili kadi.
Dr. Slaa kawauliza hivi hao wanaotoa matamko mmewachunguza na kuwajua ni kina nani??
Ukiwatazama watu hao ni mbumbumbu wa sheria na hawajui wanachokifanya na tunapoteza taifa kwa mambo ya kipuuzi tunaacha kujadili mambo ya kitaifa na mafisadi wanatumia mwanya huo kuiba zaidi raslimali za taifa
Mbona unakimbia mada?bado unaamini kuwa kadi ni mali ya chama?
Alipewa au alinunua?ukinunua kitu dukani kinaendelea kuwa ni mali ya mwenye duka?Hao wenzake nao hawataki kumbukumbu? Kadi ya CCM ni mali ya CCM
Chama
Gongo la mboto DSM
.
Kwa hiyo hofu yenu juu ya Dr Slaa ni jinsi anvyozichoma moto kadi za vyama vingine?
Mwache azichome hasa hizi za sisiem kwani hiki chama kimetuingiza katika umasikini wa kifikra hadi wa material.
.