Jidulamabambase
Member
- Nov 28, 2010
- 31
- 5
zilikuja zikapendwa, zikapendwa zikaenda!
Najaribu kuzikumbuka santuri chache zilizo chezwa humu lakini kwa sasa ukiziweka hata kwenye "Mchina" hazisomi
1. Anaishi na mke wa mtu
2. Ana miriki na kulipia card yake ya ccm
3. Kawekewa pingamizi mahakamani
4. Mchonganishi
zipo nyingi tujikumbushe kwani ndio historia yenyewe ya jinsi cdm inavyo kwenda kulikomboa taifa hili. Na hii cd ya sasa ya Kigaidi itavunjika kabla ya kufanyiwa show!